Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

Kwa kukusaidia tu tena huyo alichelewa. Kutoka dara saa 10 alfajiri alitakiwa dodoma aisome saa nne asubuhi na si zaidi ya hapo kwa mwendo wa Boxer kwa tunaojua kuzikamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi nimeupenda sana. Nataka nijichange nivute pikipiki ya matembezi na bodaboda nkiwa off. Mkuu mleta mada ebu NISHAURI nivute chombo gani yenye uafadhali. Pesa 2.5M
 
Huu uzi nimeupenda sana. Nataka nijichange nivute pikipiki ya matembezi na bodaboda nkiwa off. Mkuu mleta mada ebu NISHAURI nivute chombo gani yenye uafadhali. Pesa 2.5M
Pesa M 2.5 utapata boxer mpya kabisa kama ni kwa kuenjoy sio mbaya sana ila kama utapata hata Baja Honda 250 CC ambayo ipo vizuri utaipenda sema changamoto ya Honda kuna baadhi ya mikoa spea zinasumbua
 
Hapo unaongelea boxer gani? Na
Changamoto zake kwenye mishe mishe ni zipi?

Mm nipo Moro labda spea zipo kwa hiyo Honda.
 
Niliwahi kupewa lift ya pikipiki mwaka 2010 kutoka Kidahwe mwisho wa lami hadi Kibondo mjini takribani kilometa 200 na ushee.
Nilikua sina koti na dereva alikua na koti zito.

Barabara ni ya vumbi balaa halafu nyembamba. Dereva alitumia masaa 6 alikua na pikipiki ya kichina. Nmefika Kibondo natetemeka balaa halafu nmejaa vumbi.

Nilioga nikalala kama masaa 3 nikapiga misele kesho yake nikapanda gari kuelekea Kahama.

Siwezi kusahau hii safari.
 
Dactari mmoja alisema kutembea kwa pikipiki mda mrefu kuna dhofisha nguvu za kiume, kwamba madereva bodaboda wapo kwenye hatari hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dactari mmoja alisema kutembea kwa pikipiki mda mrefu kuna dhofisha nguvu za kiume, kwamba madereva bodaboda wapo kwenye hatari hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nieleweshe hapa. Unatumia dk 50s kwa km 20? Huu mbona mwendo mdogo sana kwa pikipiki? Au nmekuelewa vibaya?

Kabisa... Maybe barabara ni ya mahandaki. Watu tunazungumzia 100 kms kwa saa yaani dk 60. Yeye anasema 20 mins kwa dk 50s? Na anasisitiza kuwa yupo fit sana ?

Mm mwenyewe nimeshangaa, labda road ni mbaya,

Hapo si unakamua speed ya 70/h ndani ya dakk 15 ushaimaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…