Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 717
- 666
Wivu tu! 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu tu! 😂
Misheni kama hizo Demu atakucheleweshaUngepata na demu hapo safari yako ingependeza sana
Hahahaha. Jibu saafi kabisa.Kikubwa wewe umesoma wengine achana nao
kama chombo haina shida unatoboa vizuri kabisa dodoma hakuna changamoto sanaJamani me Nina tvs 150x hili toleo jipya natoka kwenda dodoma kutoka hapa dar . Vipi tafika kweli na hii chombo au ndo itanifia njiani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri ila mazingira yalinilazimisha lazima nitembee muda ule, ila mtu asikwambie boxer imetulia sana barabarani kuliko pikipiki nyingi halafu barabara ya vumbi mashine inachanja mbuga balaa nadhani kuna baadhi ya vijiji watakuwa walikuwa wanadhani labda imeibiwa sehemu.Uzuri mwingine wa boxer haina mitetemo so haichoshi kivile ukienda nayo umbali mrefu.
Next time usitembee usiku bora uweke malengo ya sehemu ya kulala, lala utapokua umefika at 6 PM.
Hongera sana mtoa mada.
Hahahahaha ukisafiri na mwanamke kwenye pikipiki lazima akuzingue tuMisheni kama hizo Demu atakuchelewesha
Kwa mambo ya Baby punguza mwendo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana mkuu hiyo safari ni klm ngapi makadirio?Kila kitu kinawezekena sema sisi watanzania ni woga sana..
Mmi nimesafiri mara nne kwa pikipiki kutoka mbeya -bukoba via tabora na kwakuwa barabara ya sikonge ni mbovu majuzi nmenyookea singida-dom-iringa. chombo kikiwa ni pikipiki ya kichina aina ya SINORAY 150.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdau humu amesema kimebakia kipande kidogo sana ila wakati ule napita mie ilikuwa vumbi tuMkuu hivi kile kipande cha vumbi kimeshatiwa lami chote?
hahahahahahUtalii wa hivo nimefanya na baskeli kilometa 300+ siku moja ila gharama yan unakula zaidi ya nauli ya hiyo sehemu
Ongezea nyama kidogo mkuuSintakaa nimsahau yule kenge polisi alie vua mkanda wake akanitupia shingoni (nikaukwepa) hili anitupe chini n ya tairi la kruza wote tukiwa kwenye mwendo mkali! Ndio kipindi mchina anatoa piki piki polisi waliachana na magar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sio hapo kumbuka hata ule muda ambao nilifika Tabora nilifika sawa na mabasi yanayotoka Dar lengo halikuwa kushindana na muda mwenyewe katika safari yangu nilikuwa na target zangu hasa kwenye mwendo na usalama wangu mwenyewe ukizingatia usafiri niliokuwa nautumia , halafu kuna hali ya bara bara dar to dom magari ni mengi barabarani kuliko ukitoka pale dom kuelekea singida kidogo kule gari zinapungua barabaraniAta mm nmeona..yaani katumia saa Saba dar to Dom sawa na shabiby au kimbinyiko au ata private cars