Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
😂😂😂Haiko hivyo katembee uone hata huko Katavi, Songwe, Rukwa, Ruvuma one haiko kama unavyofikiriUelewa bado, ni sehemu chache sana zinazoweza kuwa uwezekano wa ushindi kati ya chama tawala na upinzani.
Mikoa chini ya kumi kwa Tanzania Bara na Zanzibar ni yote.
Kwa kutaja bila mpangilio maalum ni Zanzibar, Kilimanjaro, Dare salaam, Mbeya, Kigoma, Kagera, Arusha, Mwanza na Mara.
Bado kazi kubwa inahitajika kuamsha fikra za wananchi kuhusu demokrasia.