Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii agenda alikuja nayo Mbunge mmoja kutoka Tabora sikumbuki ni wa jimbo gani, ila alikuwa anaitwa Lucas Selelii kama sikosei, hata hivyo alionekana ni mwiba kwa hiyo awamu tajwaRais aliyejua mahitaji ya watanzania ni Jakaya Mrisho Kikwete. Mwaka 2010 alikuja na ajenda ya kuunganisha mikoa kupitia makao makuu ya mikoa. Vilevile aliunganisha nchi yetu na nchi za jirani kupitia mipaka yetu.
Kwa hiyo nilivyosema kusini unajua ni mtwara tu?Kusini itabeba vitu gani? Mazao ama? Kumbe kilichokuuma ni kutofika kusini ila siyo kwamba huitaki, haya iliyokuwepo ilibeba vitu gani kutoka mwanza to dar? Hv hiyo sgr ni ya mizigo tu ama ipo na ya abiria?
Reli kwa Africa ni usafiri wa mizigo, usafiri wa watu( wagonjwa, wenye mikokoteni, baiskeli,bodaboda, nk) ni barabara. Kama umewahi kuishi maeneo aliyotaja mtoa maada utakuwa umeelewaSGR inapita katika mikoa 10. Kwa nini unaona haiwagusi watanzania wengi...!? Au bado unataka tubaki enzi za chukuchuku train......!!?
Reli inalipa kusafirisha mizigo. Mizigo hipatika kwa kuwa na uzalishaji wa viwanda au wa kilimo au uvunaji wa rasilimali. Sie tuna uzalishaji upi ikiwa hata liganga na mchuchuma zimetushindaKule tuna Reli ya Tazara ambayo haitumiwi vema na nchi zetu za Zambia na Tanzania, huwa nasikitika kuona kijana hajui faida ya Reli
Watu wengine hawapendi kufikiria mbona hasema ndege zinaenda mikoa 5 au 6 tu au alitaka pia mikoa yote? SGR ni mradi wa kimkakati ni mradi bora sana kwa future ya nchi hii.Umetumwa na wamiliki wa Malori weye hivi mfano mizigo makontena 100 yavutwe na kichwa 1 Cha treni kutoka Dar Hadi labda Itigi Kisha Malori yapeleke huko wilayani huoni gharama kubwa inakuwa imeokolewa au Makonte yaende Hadi Mwanza hata mafuta yakisafurishwa Kwa Reli bei inapungua kuliko Kwa Njia ya barabara, duniani kote usafiri wa Reli ni WA nafuu zaidi
Tatizo sio Mwanza elewa Kaka ,,,Tunachosema hapa Ni kuwa Serikali inadili kupeleka matrilioni kwny miradi ya miaka 10 nzima wakati Kuna wilaya toka Uhuru mpk leo hazina maji Wala barabara ...wakati Kuna maeneo haya wanayokazania SGR Yana lami,maji ,umeme ,viwanja vya ndege na reli ...huu Ni upuuzi na unapaswa kupigiwa Kelele ukomeshwe..Kusini itabeba vitu gani? Mazao ama? Kumbe kilichokuuma ni kutofika kusini ila siyo kwamba huitaki, haya iliyokuwepo ilibeba vitu gani kutoka mwanza to dar? Hv hiyo sgr ni ya mizigo tu ama ipo na ya abiria?
Hivi unaelewa tunachokisema hapa..au ndio kazi ya wapiga mapambio tu...Ambavyo hauko organized katika hoja zao inaonyesha huna uelewa wa mambo. Mambo ya maji hayana uhusiano na Wizara inyaohuiska na mambo ya uchukuzi na usafirishaji. Kuhusu kujenga SGR haina maana kuwa hawajengi barababara; mambo yanakwenda pamoja. Kama wewe hupendi mradi huo usiseme watanzania wengi hawautaki. Tabia ya kutaka kila mtu afurahishwe na mambo yanayofanwa na serikali ni upuuzi. Ukaisema umalize kujenga barabara zote, by the time unamaliza kujenga ile barabara ya mwisho, wale walipata barabara ya kwanza watakuwa wanalalamika kuwa birabara imeshabomoka. Utakuwa unauridia yale yale.
Train ya kawaida sio SGR kutoka dar to Morogoro kwa kawaida ni masaa 6 hadi 8 kama sijakosea halafu nauli nikaambiwa 8700 halafu ya bus elfu 8 ukipanda coaster elfu 7 ilikuwa mwezi wa 3[emoji23][emoji23][emoji23]Ya SGR? Au train ya kawaida na ilikuwa daraja lipi?
Ungemsikiliza mwenzako alichokisema usingenicrush. Ila kumbuka kuna miradi ya muda mrefu na ya muda mfupi so SGR acha ikae kwenye long term na barabara ztashughulikiwa kila mwaka kulingana na uhitaji. Wilaya zisizo na maji mbona serikali inapambana nayo kila mwaka kwenye bajet za wizara ya maji. Tena zingepunguziwa bajeti sawa lkn bajet zake hupanda kila mwaka so ztafikiwa tu.Tatizo sio Mwanza elewa Kaka ,,,Tunachosema hapa Ni kuwa Serikali inadili kupeleka matrilioni kwny miradi ya miaka 10 nzima wakati Kuna wilaya toka Uhuru mpk leo hazina maji Wala barabara ...wakati Kuna maeneo haya wanayokazania SGR Yana lami,maji ,umeme ,viwanja vya ndege na reli ...huu Ni upuuzi na unapaswa kupigiwa Kelele ukomeshwe..
Kwenye post yako ujmemzungumzia waziri Mbarawa kama vile ndiye ana wajibika na mambo yote hayo. Kuna anayowajibika nayo ambamo kubwa ni hilo la SGR, lakini pia kuna barabara na viwanja vya ndege, na aliyaongelea yote; l lakini wewe hutaki kusikia akiongelea SGR kwa vile ilianzishwa na Magufuli.Hivi unaelewa tunachokisema hapa..au ndio kazi ya wapiga mapambio tu...
Tunachokisema hapa sio hatuutaki mradi wa SGR...TATIZO Ni ule ukasumba wa viongozi kuelekeza miaradi yote upande mmoja huku Tena ya Matrilioni ya pesa wakati maeneo mengine hayapelekwi...
Mfano huku mnakolazimisha kwenda SGR YENU..Kuna maji,umeme,barabara nzuri ,viwanja vya ndege na reli ya awali...huku maeneo au mikoa mingine hata maji Wala barabara huu Ni upuuzi lazima upigiwe kelele
Upeo wake mdogo huyoSGR inapita katika mikoa 10. Kwa nini unaona haiwagusi watanzania wengi...!? Au bado unataka tubaki enzi za chukuchuku train......!!?
Kama dar to kanda ya ziwa itajaza sana ni sawa. Muda huo inajengwa si tunbuni miradi ya kutoka kanda ya ziwa kwenda dar maana ni fursa hiyo.Kwa hiyo nilivyosema kusini unajua ni mtwara tu?
Unafahamu lango kuu la nchi za sadc ni huko kusini
Payback ya Sgr itategemea sana mizigo sio abiria na duniani kote formula ya vyombo vya usafiri ni hiyo
Mkuu Kwanza Sijamzungumzia Mbarawa,,lkn pia usinitamkishe maneno Mimi Sina ugomvi na Magufuli na Hakuna comment yangu utakayoiona nimemsema vibaya...Kwenye post yako ujmemzungumzia waziri Mbarawa kama vile ndiye ana wajibika na mambo yote hayo. Kuna anayowajibika nayo ambamo kubwa ni hilo la SGR, lakini pia kuna barabara na viwanja vya ndege, na aliyaongelea yote; l lakini wewe hutaki kusikia akiongelea SGR kwa vile ilianzishwa na Magufuli.
kuna mwingine humu ndani naye alikuja na argument ya kwamba haoni umuhimu wa kuwa na treni na akahitaji takwimu mm nilimwona ni kituko cha mwaka kwa mtu mwenye akili timamu kubeza usafiri wa treni.wakoloni hawakuwa wajinga kujenga reli ya kati lkn leo mtu anaona reli haina umuhimu lkn anachokiona cha muhimu ni bara bara.hafahamu ili kusafirisha mizigo mizito unahitaji reli.na hajui kuwa malori ya mizigo yanharibu bar bara.Umetumwa na wamiliki wa Malori weye hivi mfano mizigo makontena 100 yavutwe na kichwa 1 Cha treni kutoka Dar Hadi labda Itigi Kisha Malori yapeleke huko wilayani huoni gharama kubwa inakuwa imeokolewa au Makonte yaende Hadi Mwanza hata mafuta yakisafurishwa Kwa Reli bei inapungua kuliko Kwa Njia ya barabara, duniani kote usafiri wa Reli ni WA nafuu zaidi
Tatizo ni nchi kuwa na vijana wasiosoma mambo ya usafirshaji na kuelewa barabara ni gharama tungeneza na kuzitunza ni kazi sana Kila baada ya miaka kadhaa lazima ufanye matenegezokuna mwingine humu ndani naye alikuja na argument ya kwamba haoni umuhimu wa kuwa na treni na akahitaji takwimu mm nilimwona ni kituko cha mwaka kwa mtu mwenye akili timamu kubeza usafiri wa treni.wakoloni hawakuwa wajinga kujenga reli ya kati lkn leo mtu anaona reli haina umuhimu lkn anachokiona cha muhimu ni bara bara.hafahamu ili kusafirisha mizigo mizito unahitaji reli.na hajui kuwa malori ya mizigo yanharibu bar bara.