karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,802
- 3,253
Sio kwa reli ya mjerumaniUmetumwa na wamiliki wa Malori weye hivi mfano mizigo makontena 100 yavutwe na kichwa 1 Cha treni kutoka Dar Hadi labda Itigi Kisha Malori yapeleke huko wilayani huoni gharama kubwa inakuwa imeokolewa au Makonte yaende Hadi Mwanza hata mafuta yakisafurishwa Kwa Reli bei inapungua kuliko Kwa Njia ya barabara, duniani kote usafiri wa Reli ni WA nafuu zaidi