Nilishangaa Waziri Mbarawa kutumia muda mwingi kuelezea mradi ambao watanzania hawautaki

😂😂😂Haiko hivyo katembee uone hata huko Katavi, Songwe, Rukwa, Ruvuma one haiko kama unavyofikiri
 
😂😂😂Haiko hivyo katembee uone hata huko Katavi, Songwe, Rukwa, Ruvuma one haiko kama unavyofikiri
Nimetembea kiasi chake, vijijini bado hawajui chochote kujiamulia, anachosema mtu wa serikali au dini ndicho hicho hicho.
 
SGR inapita katika mikoa 10. Kwa nini unaona haiwagusi watanzania wengi...!? Au bado unataka tubaki enzi za chukuchuku train......!!?
Sgr kupita kwenye mikoa mingi sio hoja , je hiyo mikoa iko kwenye production pipeline ya kulisha Sgr?
Dar mwannza sgr itarudi empty mana hakuna cha kubeba kuja Dar
 
Umesahau kuwa kuna reli ya TAZARA ambayo ndio ilikuwa lengo lake hilo; kuhudumia mikoa Pwani, Morogoro, na ya kusini nyanda za juu pamoja na nchi jirani!! Sasa TAZARA na umuhimu wake wote tumeitekeleza badala ya kuiimalisha matokeo yake ndio hayo ya kuelekeza nguzu zote kwenye SGR mradi ifike MWANZA!!
Wabunge wa mikoa ya nyanda za juu kusini wanaomba kiwanja cha Ndege kipewe jina la TULIA badala ya kuomba na kuhimiza Serikali kuimalisha reli ya TAZARA!
 
SGR yetu unajua hadi sasa imekamilila kiasi gani? Hata robo sidhani kama inafika, na unajua imekula hela kiasi gani? Deni letu sasa ni trilioni 80 na ongezeko kubwa limetokea katika SGR
Piga hesabu sasa hakuna kipande hata kimoja kilichokamilika kwa 100% na deni ni trilioni 80
Ambalo ukilinganisha na GDP yetu tayari ni halina afya
 

Kwenye huu mradi kuna upigaji wa kiwango cha 5G!!!
 
Kiwanja kiitwe Sugu international Airport!
 
Na katika bajeti ya mwaka huu hakuna mradi mkubwa wa maji wala barabara moja ktk mikoa ya kusini [emoji26][emoji26]na PM yupo anajua anashindwa kubalance distribution ya national cake [emoji706][emoji706]
 
Na katika bajeti ya mwaka huu hakuna mradi mkubwa wa maji wala barabara moja ktk mikoa ya kusini [emoji26][emoji26]na PM yupo anajua anashindwa kubalance distribution ya national cake [emoji706][emoji706]
PM anawatumbua kwanza akimaliza lazima atageukia pande hizo ni mtu makini sana
 
Waza nje ya box kijana ,akili yako haina akili
 
Kuna kaukanda kalikua na wazo la kujitenga na kuungana na Rwanda. Walijipanga muda mrefu sana. Mr. Slim ni smart sana kwenye siasa za kupora maeneo ya majirani.

Mungu anaipenda sana Tanzania pamoja na CCM kutojali mahitaji ya Watanzania zaidi ya nafsi zao wenyewe.

Barabara za vijijini zinachangia sana maendeleo makubwa na ya haraka kuliko Reli. Pakiwa na Barabara kila Miji unakua na stand na stand inaingiza mapato Mengi sana kwenye Halmashauri zetu . Reli haichangii Halmashauri yoyote kwenye mapato.
Barabara mabasi na malori yanasimama sana na kusababisha wananchi wa vijijini kuuza mazao yao Kwa wingi kuliko Reli inayosimama kwenye vitio Maalumu Tena Kwa muda mfupi.
 
Watanzania wangapi? Uliitisha kura ya maoni kuwauliza?
 
Sgr kupita kwenye mikoa mingi sio hoja , je hiyo mikoa iko kwenye production pipeline ya kulisha Sgr?
Dar mwannza sgr itarudi empty mana hakuna cha kubeba kuja Dar
SGR itabeba mpka mchanga wa dhahabu... Bado pamba, Michele, kahawa, mawese, tumbaku, karanga, sunflower seeds etc.... Tuongeze tu uzalishaji. Reli Mwanza inasarve Kagera na Mara.... The biggest population ya nchi iko lake Victoria.
 
Tuweke rekodi vizuri. Mradi wa SGR ulianza kupigiwa sana upatu na serikali ya awamu ya nne. Tofauti ni kwamba kwa mipango ya awamu hiyo mabehewa yangevutwa na vichwa vya dizeli badala ya umeme.
 
mkuu tafuta glasi ya maji baridi upoze Moyo naona unachukia sana watu flani akili ndogo!! huna cha kufanya kuwasaidia!!

think big below!!

Mzee Ruksa alisema Bongo kichwa cha Mwendawazimu,sasa mwendawazimu nani alimaanisha?

Mwendazake akasema nikiwa Rais mtalimia meno, kwa vipi binadamu alime kwa meno (ila huwa naona ng'ombe huwa anafungwa plau mdomoni analima),

Baba yetu mkubwa alisema "chama kushika hatamu" hatamu ni neno la Kiswahili kamusi inasema maana yake hatamu = kamba za kuongozea farasi, unadhani nani chama alieshika kamba akimuongoza farasi ambae ni nani? unadhani farasi anaeongozwa na chama alimaanisha nani?

Mkwere alisema "akili za kuambiwa changanya na zako" maana yake tulio wengi yani tukiambiwa kitu chochote tunakurupuka na kulipuka na kufanya maamuzi bila kuuliza wala kufikiria !!!

Ya bimkubwa iko poa kinoma nimeipenda sana "unikuna nakupuliza ukinichokoza nakuparura, ukinizingua tunazinguana!

Mkapa sikumbuki msemo wake!! nikumbushe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…