- Thread starter
- #81
Uwiiiiiiii! mie hadi sasa mwili unasisimka nikimkumbuka, halafu najiuliza hivi angepanda kitandani sijui ingekuwaje, hapana mie kwa upande wa huyo mdudu naogopa sana!!hao hawanaga shida wapo kibao majumbani mwa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiiiiiiii! mie hadi sasa mwili unasisimka nikimkumbuka, halafu najiuliza hivi angepanda kitandani sijui ingekuwaje, hapana mie kwa upande wa huyo mdudu naogopa sana!!hao hawanaga shida wapo kibao majumbani mwa watu
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhh!!!!!!!Na hua ni raha ukipata nyoka wa kukugonga muda wowotee...
Kwani nyoka na konokono wana miili sawa. Maana konokono ndio ukimwagia chimvu anayeyuka mda huo huo.Alichosema aggyjay ndio majibu sahihi... Lala na pakiti ya chumvi kitandani akija fungua mmwagie atakufa SAA hiyohiyo
Wanamadhara makubwa sana hao!Pole sn ,.ila nichuki za bnadam kuchukia nyoka, tumeogopeshwa sn ila nyka ana uadui WA hivyo
Ahsante roho mbaya, Miss Natafuta njoo huku upate elimu ya nyoka
hahaha, hakuwa chumbani, alikuwa karibu na mlango wa kutokea nje kabisaDah....Unashangaa nyoka kumuona chumbani....Je ungemkuta nyati bafuni siungejijojolea 😀😀😀😀😀😀
hahahahahhaha, 😀😀😀😀😀Mwagia mafuta ya taa kwenye milango yako mkuu
Alfu uache kulala peke yako bhana hahahahahaha
hiviii eeee!!!!!Kwani nyoka na konokono wana miili sawa. Maana konokono ndio ukimwagia chimvu anayeyuka mda huo huo.
Mbona kama mwili wa nyoka ni mgumu kuliko wa konokono.
mmmmmmmhhhh! nyoka habari nyingine bwana, haina mwanamme wala mwanamke wanadamu wote tunamuogopaNdo wale wale wanaume Wa dar kanyoka mpaka uite na majirani wakusaidie
Acha woga mwanaume siku utasikia koboko ananguruma kwenye paa la nyumba yako si ndo na haja zote utamalizia hapo hapommmmmmmhhhh! nyoka habari nyingine bwana, haina mwanamme wala mwanamke wanadamu wote tunamuogopa
mmmh hatari sana! ila mie ni mwanamama sio mwanammeAcha woga mwanaume siku utasikia koboko ananguruma kwenye paa la nyumba yako si ndo na haja zote utamalizia hapo hapo
yalinikutaga na mimi zamani sanaSasa mbona umecheka hivyo exburnny? mwenzio nilikosa amani kabisa
du! pole, huyu mdudu ni balaa nashangaa hata kwenye tiiviii nikiona wazungu wanavyowachezea,uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiyalinikutaga na mimi zamani sana
Mkuu muda wa kumchunguza na kumtafakari kuwa ana sumu au laa.