Nilistuka kumuona nyoka yuko ndani kwangu, pembeni ya mlango wa kutokea nje!

Nilistuka kumuona nyoka yuko ndani kwangu, pembeni ya mlango wa kutokea nje!

hao hawanaga shida wapo kibao majumbani mwa watu
Uwiiiiiiii! mie hadi sasa mwili unasisimka nikimkumbuka, halafu najiuliza hivi angepanda kitandani sijui ingekuwaje, hapana mie kwa upande wa huyo mdudu naogopa sana!!
 
Alichosema aggyjay ndio majibu sahihi... Lala na pakiti ya chumvi kitandani akija fungua mmwagie atakufa SAA hiyohiyo
Kwani nyoka na konokono wana miili sawa. Maana konokono ndio ukimwagia chimvu anayeyuka mda huo huo.
Mbona kama mwili wa nyoka ni mgumu kuliko wa konokono.
 
Back
Top Bottom