Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa


Kama jaji akikataliwa anajitoa, yule hakimu wa kesi ya Sugu angejitoa. Kwani hata sasa hiyo kesi inaendeshwa kwa kasi mpaka useme awe anapiga kalenda? Kuna majukumu yapi makubwa anaenda kuyafanyia kazi, maana mahakama ni sehemu inayofanya kazi itakavyo, kinyume kabisa na matakwa ya umma. Hakuna sehemu kuna malimbikizo ya kesi kama huko mahakamani, na sababu za ucheleweshaji huo ni za kipuuzi kabisa.Mahakama yetu ni moja ya taasisi za mfano kabisa za utendaji kazi wa kigoigoi na chini ya weledi. Huu ni ukweli ambao sina shaka nao.
 
🤣🤣Unahamisha magoli eee?!!!

Acha uongo na kumsingizia Sabaya kuwa alitukana......jiteteeni mambo yenu kamanda...Sabaya tayari yuko ndani baada ya kesi kuendeshwa...walioielewa WAMEIELEWA VYEMA TU NA SI HIVYO VISINGIZIO USEMAVYO....
 
Uko sahihi 100% Mkuu na hupenda Kukutana na Watu 'Brainy' kama Wewe hapa JamiiForums.

Leo mbona hawajitokezi Kunitusi tena?
kwani siri iko wapi boss, kila mwenye akili anaelewa ni CALCULATED, sasa sijui kama Judges wote kutoka court of appeal to High court watakubaliana na CALCULATED, ni swala la muda ila hakuna kesi hapo na ni upotevu wa muda tuu, atatoka bila matatizo
 
Meza mate kwanza utapaliwa mkuu....🤣

Siempre JMT
 
Kutahadharisha kwako HAKUHUSU KITU!!! Ukweli ni kwamba mahakama inatumiwa kisiasa kama kitengo cha maccm ili kuendeleza UDIKTETA NA UDHALIMU nchini dhidi ya raia, vyama vya siasa na vyombo vya habari lakini mahakama kama INGEKUWA HURU leo Mbowe na wenzie wangeachiwa huru. Acha kujitoa ufahamu kuhusu kitu kilicho wazi kabisa.
 
Wafuasi wake pamoja na wale Mnaonichukia pindi GENTAMYCINE nikisema tu Ukweli leo mbona hamnitukani, hamnidhihaki wala hamnishambulii kama mlivyofanya katika zile Threads zangu Mbili za kutoa ( kuwapeni ) Angalizo kama siyo Tahadhari?
Achana nao hao! Jukwaa la siasa linaendeshwa kwa Ukabila na U-chama; CCM v/s CHADEMA. Hapa hakuna tena hoja ni ishabiki wa kishamba hadi kwa Mod! Ndo maana anafuta thrd. Jukwaa limekuwa kama kijiwe cha maombi. Wakitaka CHADEMA ishinde, wanafuta msg za kuwaambia ukweli wa kushindwa. Wewe ukileta analysis ya mtego wa kesi, wanafuta wakiamini msg za ushindi zitafanyakazi. Sasa wameufyata!!!!
 

Ni sawa tu na yaliyofanyika kwenye uchaguzi, mwenye panga akiamua kuwa kichaa huwa anapishwa!

Kwa hiyo wewe ulitabiri kwamba mtu mwenye akili timamu atakuwa kichaa, sie tukaona haiwezekani, kawa kichaa kweli.
 
Kwa mbowe inatumiwa kisiasa, kwa Sabaya imetenda haki. This is the end of trickster!!!
 
Kama kweli mnakubali hukumu ya kesi moja inatumiwa kuamua hatma ya kesi nyingine Tanzania, basi mnakiri muhimili wa mahakama kwenye nchi yetu umeoza.
 
Anaenda kuungana na Sabaya
Hakuna kitu kama hicho.
Mngejua Mh. Mbowe ni nani msingefikiria hayo.
Fungua kesi, futa kesi, jumuiya ya kimataifa itambue kuwa demokrasia ipo Tanzania.
"Mabeberu" wanaleta pesa kwa kuwachezea "kiini macho".
 
Kwa ushahidi upi uliokuwepo wa kumtia hatiani Mbowe? Unamkamata gaidi kisha unamnunulia chakula na kukaa naye meza moja kula chakula huku akiwa hana pingu!? 😳😳😳😳
Sabaya si KATAMKA mwenyewe kwamba SI YEYE bali ALITUMWA na MAMLAKA yake ya UTEUZI!? Acheni kujitoa ufahamu!!!

Kwa mbowe inatumiwa kisiasa, kwa Sabaya imetenda haki. This is the end of trickster!!!
 
Hueleweki unachoandika. Just circus!
 
Ufinyu wako wa akili ndiyo sababu huwezi kuelewa. Kawalaumu waliokupeleka shule za kata.
Eti nini? Mimi nimeenda shule boss! Ndo maana English inapanda than any of your interpreted dream. French pia niliipata mikononi mwa waalimu Pas proche de votre compréhension. Naijua Sayansi na laws of universe. Nawakumbuka akina De broglie.
Twende polepole. Wewe unakumbuka nini kuonesha umekwenda shule?
 
Akikutwa na hatia, hukumu ya Ugaidi akipona sana ni Life sentence au Kunyongwa hadi kufa kisheria. CHADEMA walichukulia hii case kiutani utani, sasa wanaona mtu karibia anaelekezwa kibra.
Anyongwe tu na chadema kifutwe tunataka chama cha upinzani kinachounganisha kanda zote

Sio wachaga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…