Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

Wafuasi wake pamoja na wale Mnaonichukia pindi GENTAMYCINE nikisema tu Ukweli leo mbona hamnitukani, hamnidhihaki wala hamnishambulii kama mlivyofanya katika zile Threads zangu Mbili za kutoa ( kuwapeni ) Angalizo kama siyo Tahadhari?
Ukweli upi kama sio pumba
 
Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuamini kuwa Tanzania kuna mahakama au mifumo ya kutenda haki.

Sabaya anaburuzwa kwa maelekezo kutoka juu kisa alimtukana Chief Hangaya tusi la nguoni enzi za mwendakuzimu alipokuwa hai.Tusi hilo huwezi hata kuliandika hapa,lilikuwa ni tusi la nguoni kwelikweli.
Sabaya hajafungwa kwa sababu ya kuwanyang'anya pesa. Kama ni kuwanyang'anywa watu ni kosa, Bashite angeponea wapi?

Sababya hajafungwa kwa sababu aliwatesa watu. Kama kutesa watu ni kosa, Bashite anayehusishwa na mauaji ya mateso, umeona anaguswa?

Sababu ni moja tu, Hangaya analipiza kisasi kwa kutukanwa na Sabaya wakati wa marehemu.

Mambo mengine, huwa tunayaouuza lakini hubeba maana kubwa kutokana na uzoefu wa muda mrefu. Aheri mchawi mwanaume kuliko mwanamke.
 
Akikutwa na hatia, hukumu ya Ugaidi akipona sana ni Life sentence au Kunyongwa hadi kufa kisheria. CHADEMA walichukulia hii case kiutani utani, sasa wanaona mtu karibia anaelekezwa kibra.
Kwa ushahidi upi alafu sikujuaga ni mjinga kiasi hiki unazani ni rahisi kama unvyodhani wataishia kumpa umaarufu
 
Akikutwa na hatia, hukumu ya Ugaidi akipona sana ni Life sentence au Kunyongwa hadi kufa kisheria. CHADEMA walichukulia hii case kiutani utani, sasa wanaona mtu karibia anaelekezwa kibra.
Si wanajifanya Wabishi, Wajuaji na wanajua Kutukana na hawapendi Ushauri wa Kimaono kutoka Kwetu 'Philosophers' wa hapa Jamvini?

Sasa Ndugu yao ( Mwamba wao ) anaishia 'mazima' huko Segerea na hawatoamini.

Leo mbona hawanitukani, hawanishambulii na hawanidhihaki kama walivyonifanyia katika hizo 'Threads' zangu Mbili za awali?
 
Hakuna Mahakama huru nchi hii.

Hii kesi ilistahili kufuwa siku nyingi tu.

Lengo ni kumuweka ndani wakiamini chama kitayumba na hii ni kwasababu akil zao ni fupi.
We pimbi kaa kimya leo unadiriki kusema hakuna mahakama huru nchi hii ? Mbona juzihapa mlishangilia nakusrma kweli mahakama zinatenda haki? Leo msumeno unatoka mbele kurudi nyuma umekula mnaanza kujambajamba hapa sijui mmekula maharage ya wapi
 
Sabaya hajafungwa kwa sababu ya kuwanyang'anya pesa. Kama ni kuwanyang'anywa watu ni kosa, Bashite angeponea wapi?

Sababya hajafungwa kwa sababu aliwatesa watu. Kama kutesa watu ni kosa, Bashite anayehusishwa na mauaji ya mateso, umeona anaguswa?

Sababu ni moja tu, Hangaya analipiza kisasi kwa kutukanwa na Sabaya wakati wa marehemu.

Mambo mengine, huwa tunayaouuza lakini hubeba maana kubwa kutokana na uzoefu wa muda mrefu. Aheri mchawi mwanaume kuliko mwanamke.
Weka ushahidi ambapo mkuu wa wilaya amtukane MAKAMU WA RAIS
 
Ukiona rais anahonga cheo ili jamuhuri ishinde , ni wazi kuwa hii ni kesi ya kubumba [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Genta hamna ushauri wowote ambao ungetoa wenye kusaidia maana hiyo kesi haijali sheria, bali ni kesi ya hila na siasa chafu. Na kutaka kujua kwamba hilo jambo liko nje ya mipaka ya kisheria, majaji wanajitoa maana wanalazimishwa kutoa hukumu isiyoendana na ushahidi unaotolewa. Tuna uwezo wa kujua hizo kesi za kihuni maana ni marudio tu hakuna jipya hapo.

Ushauri wa bure, baki na ushauri wako maana hauna msaada wowote, kwani huko mahakamani kinachoendelea ni mabishano ya kisheria kwenye jambo la kutunga.
Leo mbona hamnitukani kama ile mwanzo?
 
Tulikuwaga tunawashauri humu mawakili waulize maswali ya msingi na wakili wao msomi mzee wa PGO wakzarau wanaluliza walikamata mtuhumiwa akila supu au anatembea Hilo nalo swali? Hamna wakili hapo ni msanii tu kibatala na ndiye anayemuweka mbowe ndani muda mrefu kwa maoingamizi yasiyo na mashiko
 
Ukitulia kabisa na kama tokea mwanzoni umeangalia Kesi ilivyoanza na inavyoenda huhitaji Akili Kubwa sana kujua kuwa ni Kesi ya 'Kimkakati' zaidi na lazima lililopangwa litokee.

Kwa nia njema tu nikaja na Threads zangu Mbili ( ambazo hata hivyo mpaka leo sijui kwanini ziliunganishwa au kufutwa ) kwa Makusudi kabisa nikitaka Mjadala wa 'Kihoja' uanze ili angalau Mawakili Wasomi wanaompambania waokote okote Mawili Matatu ya Kisheria waongezee na yao waliyonayo ili Mhusika anasurike na 'Kesi Mkakati' inayomkabili GENTAMYCINE nikaishia Kutukanwa, Kushambuliwa na Kudhihakiwa.

Haya baada ya Kilichotokea kwa hatua hii tu ya awali kile nilichokisema na Kukitahadharisha ukiwa na Akili Timamu na Kusoma pia Mazingira na Mtiririko wake mnadhani Mhusika haendi Kuozea Jela na labda ni suala la muda tu?

ANGALIZO

Sijamtaja Mtu katika Uzi wangu huu bali nimeelezea tu hivyo sitaki Kuulizwa namuongelea nani na mtakayemhisi huyo mmemuhusi nyie ila siyo Mimi Mleta Mada.

Taratibu sasa tutaanza Kuelewana JF!!!!
Wakimfunga atakuwa Mandela..
Lets wait and see!!
 
Hata akinyongwa mtaani bado wapo wengi wenye spirit ya Mbowe.
Tulizeni marinda hakuna kipya chini ya jua.
Angalia na huyo Mwendawazimu mwingine hivi Tanzania au CHADEMA ingekuwa na Watu Majasiri kama usemavyo na sijui wapo wengi nchi nzima Kipindi kile cha ile Kampeni yenu ya Kipuuzi ya UKUTA wangekimbia na Kujificha hovyo Mtaani?

Wanafiki wakubwa nyie tena nakushauri tu kaa Kimya kwani huna unachokijua na Ushujaa pekee mlionao ni huu wa kuja Kujitutumua humu Mitandaoni ( Keyboard Warriors ) huku mkijificha ila nje ya hapa ni Waoga wa Kufa hakuna mfano.

Mtu wenu Mwamba Jela inakaribia Kwake.
 
Hii kesi ukiiangalia kwa jicho la kimkakati, mshindi ni Mbowe, akifungwa ni mshindi na akiachiwa ni mshindi.
 
Naona mnalazimisha kuchanganya maamuzi ya kesi ya Mbowe na Sabaya, mkiamini kabisa hatujui tofauti yake. Kesi ya Sabaya ni mashitaka ya dhahiri tena na mashahidi wa unyama ule wasiotiliwa shaka. Kesi ya Mbowe ni ya kubambikizia mmoja wapo wa waliotengeneza hiyo kesi ni Sabaya, ambaye leo hii ni mfungwa kwa ushahidi usioacha shaka, chini ya jeshi la polisi linalotumika na serikali kutekeleza unyama. Ndio maana unaona kila jaji sasa anaikimbia kesi hiyo ya Mbowe, maana serikali inalazimisha hukumu isiyoendana na ushahidi. Imeisha hiyo.
Acha kunichosha kwa Maelezo yako mengi yaliyojaa tu Upuuzi na Unafiki mtupu. Nasisitiza tena kuwa mmeshachelewa na 'Mwamba' lazima Jela akakae angalau hata kwa miaka kadhaa.

Leo mbona hamnitukani Makamanda?
 
Leo mbona hamnitukani kama ile mwanzo?

Wala hata hiyo post yako sikuiona, itakuwa kutukanwa? Kwahiyo leo hutakanwi kwa sababu unaonekana una msaada ama? Ni kwamba umejiona una influence sana kwenye hii kesi ya kubumba ama, mbona kama sikuelewi? Yaani ww huna impact yoyote kwenye hii kesi, na wala hutakaa uwe nayo zaidi ya kupiga debe kama sisi tu.
 
Back
Top Bottom