Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

Acha kwenda jela, hata apigwe risasi hapo kwa Mkapa mchana kweupe, hakuna jipya kwenye hilo, yote ni marudio tu, na hakuna mtu anahitaji maana wako man.
Acha kunichosha kwa Maelezo yako mengi yaliyojaa tu Upuuzi na Unafiki mtupu. Nasisitiza tena kuwa mmeshachelewa na 'Mwamba' lazima Jela akakae angalau hata kwa miaka kadhaa.

Leo mbona hamnitukani Makamanda?
 
Mandela alikaa jela miaka 27 ANC ilikufa???wanajisumbua
Logically what exactly are you trying to Justify? Are you sure that the Late Nelson Mandela spent those 27 years behind Bars because he was a Terrorist like the Swahili Chagga you support?
 
Halafu 'Makamanda' leo mbona mnachangia 'Kihuruma' sana tofauti na mlivyokuwa mkichangia kwa 'Kunitukana' katika zile 'Threads' zangu Mbili nilizomuanzishia huyu 'Mwamba' wenu ili Kuwatahadharisha?

Yaani kabisa Philosopher King GENTAMYCINE nihisi Jambo au nionye kuhusu Jambo fulani halafu lisije kutokea? Thubutu....!!

Kitu pekee ambacho nawashauri ni Kumpambania tu Mtu wenu 'Mwamba' asifungwe miaka mingi kama ambavyo dalili zinaonyesha ili angalau hata afungwe tu kati ya miaka Mitatu au Minne.

'Makamanda' leo mbona hamnitukani?
 
'Makamanda' leo mbona hamnitukani?
 
Leo utasema maneno yote ila 'Mwamba' wenu ( wako ) Jela Kwake Wala haikwepeki na ni Suala la muda tu.

'Makamanda' leo mbona hamnitukani?
 
Mkuu ni matumaini yangu umeshajiandaa kwa 'Matusi' yao kwani hicho ndicho wanakiweza ila siyo kutumia Akili vizuri Kufikiri kama ulivyofanya hapa.

Na sijui kwanini leo hawanitukani tena.
 
Logically what exactly are you trying to Justify? Are you sure that the Late Nelson Mandela spent those 27 years behind Bars because he was a Terrorist like the Swahili Chagga you support?
Nachukua nafasi hii kutangaza KUKUDHARAU MOJA KWA MOJA KATIKA KIPINDI CHAKO CHOTE KIFUPI ulichobakiwa nacho hapa duniani .
 
Hakuna Mahakama huru nchi hii.

Hii kesi ilistahili kufuwa siku nyingi tu.

Lengo ni kumuweka ndani wakiamini chama kitayumba na hii ni kwasababu akil zao ni fupi.
Sabaya kafungwa lakini na hizi hizi so hata mbowe akigungwa mahakama bado ni huru
 
Yaani kwa Upuuzi wako huu naamini kuna 'Majuha' kadhaa hapa watakuamini na kujipa Moto.

Endelea tu Kuwadanganya na Kujidanganya ila wenye Akili tumejua 'Mwamba' yameshamkuta.
 
Hukushambuliwa, bali ulielezwa ukweli...

Kwamba, kesi hii Jaji au hakimu yeyote hahitaji kuwa amebobea kisheria kujua kuwa ni ya kutunga, ni baseless kisheria...

Mpaka sasa ukweli unabaki kuwa huu hata kama watampeleka jela...

Kwani kesi hii ina tofauti gani na ile ya Yesu Kristo miaka 2021 iliyopita...?

Honestly, haina tofauti kwa sababu zote ni za kutunga kwa kutumia ushahidi wa uongo...

Kwa kuwa walidhamiria kuwa iwe kwa jua au kwa mvua, Yesu Kristo lazima ahukumiwe kifo. Na kweli ilikawa vile. Lakini haikuondoa ukweli kuwa Yesu alishitakiwa kwa uongo na kwa hiyo hata hukumu yake ikawa ni ya kukomoa tu, haikuwa ya haki...

Vivyo kwa huyu jamaa (Mbowe) mfanano wa kesi take umejengwa ktk msingi wa uongo. Likely, watamhumkumu kifungo jela. Lakini watakuwa wamehukumu mtu asiye na hatia...
 
Akikutwa na hatia, hukumu ya Ugaidi akipona sana ni Life sentence au Kunyongwa hadi kufa kisheria. CHADEMA walichukulia hii case kiutani utani, sasa wanaona mtu karibia anaelekezwa kibra.
Hivi Mandela alishitakiwa kwa kesi ipi?
 
Ukiona rais anahonga cheo ili jamuhuri ishinde , ni wazi kuwa hii ni kesi ya kubumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo mnalijua leo? Na nilivyowatahadharisha kule nyuma kupitia zile 'Threads' zangu Mbili mlikuwa hamjalitambua hili?

Mmeyataka wenyewe acheni anyooshwe.
 
Hawashauriki Mkuu hivyo acha tu yawakute ili Siku zingine Watu 'Neutral' kwa Mawazo na Fikra kama Sisi tukiwa tunawashauri kwa Kuwapenda wawe wanatuelewa na siyo kukimbilia Kututukana Kazi ambayo ndiyo wanaiweza na wamebarikiwa nayo.
 
Ujinga mtupu ..japo sipendelei akili za kushikiwa lkn sio kwa maamuzi ya jaji kutupa shauri kwa kutumia maelezo badala ya vifungu vya sheria...wewe Gentanin ningekuona wa maana km ungeleta facts za kisheria zaidi ya porojo tu....
 
Wakimfunga atakuwa Mandela..
Lets wait and see!!
Hukumu ya Mandela nayo ilikuwa ni ya Kimkakati na 'Political Oriented' kama ya huyu 'Mwamba' wenu?

Endeleeni tu kujipa Moyo ila hachomoki.
 
Hii kesi ukiiangalia kwa jicho la kimkakati, mshindi ni Mbowe, akifungwa ni mshindi na akiachiwa ni mshindi.
Yaani uende Kuozea Jela halafu uwe Mshindi? Sishangai kwani hata Mawakili wenu nao wana Uwezo huu huu mdogo wa kufanya Logical and Critical Arguments ndani ya Courtroom aliko 'Mwamba' wenu na hatimaye sasa dalili zote za Yeye kuyaanza Maisha mapya Segerea zimeanza Kujitokeza na ni Suala la muda tu ila sioni kama kwa Kesi ilivyo na 'Mkakati' uliopo atachomoka.
 
'Makamanda' leo mbona hamnitukani?
 
Acha kwenda jela, hata apigwe risasi hapo kwa Mkapa mchana kweupe, hakuna jipya kwenye hilo, yote ni marudio tu, na hakuna mtu anahitaji maana wako man.
Kamanda leo unaandika Kihuruma na Kilokole sana Kulikoni? Leo Matusi yako ( yenu ) hayako Viganjani Kwenu ili muendelee Kunitukana kama mlivyonifanyia huko nyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…