Andiko hili na lile la Yohana la Yohana 10 : 18 kama sikosei yanafanana wapi lipi la kweli, nieleweshe mimi ambaye sijakuelewa.Hakuna kilichokosewa ni wewe huwezi kuelewa kwa kuwa una uvuvio na majini utaelewaje sasa mambo ya kiroho
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
DuuuhHiyo siyo kweli hili jina wanalitumia kimakosa. Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu, Uyahudi na Ukristo ni Dini zilizo kuja kuzuliwa, ukiziangalia zote zimewakana mitume walio fata baadae.
Hii sio kweli kwa maana umeagizwa na Mola wako kupitia mtume wake Mohammad S.A.W kua unapotaka kuoa ama kuolewa bhas usingatie mambo makuu manne ila la muhimu zaidi ni DINI sasa kama hifati ilo bhas jua kua sio mipango ya Mungu hapo kwa maana binadamu tumepewa akili na nafsi kwamba akili iongoze nafsi na sio nafsi kuiongoza akili kwa maana nafsi inapenda mambo mepesi so ukiwa na akili utaweza kuchuja kua kua what's right and what is wrong my point is kuna nyakati shetani anacheza na akili zako so wewe mwanadamu kuweza changanua na kuyashinda majaribu waliofuzu zaidi ni wale wanaojaribiwa na mola wao na wakafuzu all in all Kuna Qadar za Allah na lastly relationships ambayo sio ndoa kati ya mwanamke na mwanaume ni haraaam ata kama dunia nzima ikifanya so shetani ana adaa akili zetu mwisho Mwenyezi Mungu atupe mwisho mema ana atuepeshe na vya haraam nyoyo zetu ziwe zenye kupenda vya halal na kufanya vya halal in shaa allahkila kitu ni mipango ya Mungu upendo sioni na siwezi kuushika ila nahisi upo kama imetokea nimependa sehemu nawezaje kujizuia maana kwa hakika hakitokei kitu bila Allah kubariki basi asingenipa upendo kwa Mwanaume dini tofauti hata hivyo tuliachana
Ngoja nikusaidie kwanza utatu Mtakatifu sio shirki kama mnavyodai.Mimi naweza kukuthibitishia ushirikina wenu toka kwenye Biblia ila wewe huwezi kuthibitisha ushirikina toka kwenye Qur'aan na Sunnah, sababu katika kazi alizotumwa kwazo Mtume ni kuwapiga washirikina kwa hali zao zote bali mitume wote walikuja kwa kazi hiyo.
Ushirikina ni nini ? Tuanzie hapa.
hiyo 1 wakorintho 15-15 inatakiwa isomwe mpaka fungu la 21, Huu unaofanya ni unafiki chief.Maswali ambayo nakuuliza yana maana sana, ila kutoyajibu ni kujipoteza wewe mwenyewe.
Allah ana mikono miwili ipo upande wa kuume, Allah ana cheka,sasa hiv viungo vingine ulivyo viongeza wewe naomba utupe ushabidi viungo kama penis, makalio. Unajua ukiandila jambo hutakiwi uandike tu ili kufurahisha nafsi yako hii haisaidii chochote wala kubadilisha ukweli.
Weka andiko lenu hapa wapi Yesu alisema yeye ni mungu na ni mwanadamu.
Siyo Yesu tu hata wewe leo hii ukifa unakufa mwili tu Roho haifi. Sasa sijui unamtofautisha vipi Yesu na wewe kimaumbile ? Tofauti yako na Yesu ni kuwa yeye ni nabii na mtume wa Allah basi.
Weka andiko linalosema Yesu aliufufua ule mwili wake.
Naomba uniambie maneno haya ameyasema nani ?
“Kwa nini unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu mmoja.’’ [Marko 10:18]
Huyu nani na alitumwa na nani ?
“Siwezi kufanya lolote peke yangu. Chochote ninachosikia, Ninahukumu na hukumu yangu ni ya haki. sitafuti mapenzi yangu mwenyewe bali mapenzi yake aliyenituma.” [Yohana 5:30]
Namalizia na hili :
Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
1 Wakorintho 15.15
Shida maswali yangu hamjibu.
Zimefika.
Nimekaa hapa nasibirivushahidi wa haya yote uliyo yaandika.Ngoja nikusaidie kwanza utatu Mtakatifu sio shirki kama mnavyodai.
Utatu Mtakatifu ni Mungu mmoja.
Mungu amejidhiri kwetu katika namna tatu kuu.
Kama huwa hamuelewi hayo mseme sio mnazusha mambo yenu tu.
Ushirikina kwenye uislamu kwanza kudai allah ndio MUNGU sio MUNGU kama mnavyodai na kudhani na kuamini,allah ni miongoni mwa miungu ya kiarabu na asili yake ni jua na mwèzi ni kati ya miungu iliyokuwa inasujudiwa na wapagani wa kiarabu enzi na enzi za ushenzi kabisa.
Muhamad alipatwa na hayo majini mapepo ndio yakampa hizo aya za kucopy na nyie mnajue.
Ushirikina wa kwanza na mkubwa mlionao ni huyo allah hayo ni mapepo tu.
Bado mengine mengi tu mnayatenda huku mtaani na unayajua.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Tuwekee mpaka hiyo 21 ili unafiki wangu uonekane.hiyo 1 wakorintho 15-15 inatakiwa isomwe mpaka fungu la 21, Huu unaofanya ni unafiki chief.
Aisee kweli siyaoni, hivi kwanini kuna Biblia yenye vitabu 66 na nyingine vitabu 73 mimi siyo mjuzi wa Biblia utanifananulia hili naweka kiporo. Kisha utaniambia Biblia ilianza lini kuandikwa kwa Mara ya kwanza.Sio hatujibu ila huyaoni hayo majibu sasa tufanyaje tukulazimishe kuyaona???
Mbabaifu wewe huna unalojuaAisee kweli siyaoni, hivi kwanini kuna Biblia yenye vitabu 66 na nyingine vitabu 73 mimi siyo mjuzi wa Biblia utanifananulia hili naweka kiporo. Kisha utaniambia Biblia ilianza lini kuandikwa kwa Mara ya kwanza.
Turudi katika majibu mnayo yatoa, majibu yenu hayaongelei maandiko yenu bali mnatoa maelezo na fasili za jumla ambazo hazina ushahidi au hazipewi nguvu na maandiko yenu, kwahiyo ni sahihi nikisema hamjibu maswali yangu kadhalika ni sahihi pia ulivyo sema siyaoni majibu yenu kwa sababu amgusi maandiko yenu.
Yesu ni nani mpka akiriwe ? Ni Mungu Muumba mbingu na ardhi au ?
Sasa Yesu si mnasema ni Mungu ? Mbona alikuwa ana miguu, mikono, kichwa vile navyo ni roho ? Wakristo mazwazwa sana.
Yesu mnasema ni Mungu mbona alikufa na mnasema akafufuka ? Nani alimfufua mungu wenu aliye kufa ?
Halafu kwanini maandiko yenu yote yenye utata ndiyo mnaingiza maana za kuwa yanasema Yesu ni mungu ila maandiko yaliyo nyooka yanayo thibitisha kuwa siyo mungu mnayapuuza ? Akili zenu haziko sawa.
Maswali ambayo nakuuliza yana maana sana, ila kutoyajibu ni kujipoteza wewe mwenyewe.
Allah ana mikono miwili ipo upande wa kuume, Allah ana cheka,sasa hiv viungo vingine ulivyo viongeza wewe naomba utupe ushabidi viungo kama penis, makalio. Unajua ukiandila jambo hutakiwi uandike tu ili kufurahisha nafsi yako hii haisaidii chochote wala kubadilisha ukweli.
Weka andiko lenu hapa wapi Yesu alisema yeye ni mungu na ni mwanadamu.
Siyo Yesu tu hata wewe leo hii ukifa unakufa mwili tu Roho haifi. Sasa sijui unamtofautisha vipi Yesu na wewe kimaumbile ? Tofauti yako na Yesu ni kuwa yeye ni nabii na mtume wa Allah basi.
Weka andiko linalosema Yesu aliufufua ule mwili wake.
Naomba uniambie maneno haya ameyasema nani ?
“Kwa nini unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu mmoja.’’ [Marko 10:18]
Huyu nani na alitumwa na nani ?
“Siwezi kufanya lolote peke yangu. Chochote ninachosikia, Ninahukumu na hukumu yangu ni ya haki. sitafuti mapenzi yangu mwenyewe bali mapenzi yake aliyenituma.” [Yohana 5:30]
Namalizia na hili :
Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
1 Wakorintho 15.15
Soma hiyo injinia usitake kupotosha
Kufufuka Kwa Wafu
12 Basi kama tumehubiri ya kwamba Kristo alifufuliwa kutoka kwa wafu, inakuwaje baadhi yenu mnasema hakuna ufufuo wa wafu? 13 Lakini kama hakuna ufufuo wa wafu, basi Kristo hakufufuliwa. 14 Na ikiwa Kristo hakufufuliwa kutoka kwa wafu, mahubiri yetu ni bure na imani yenu ni bure. 15 Na zaidi ya hayo, tunaonekana kuwa tunamshuhudia Mungu uongo, kwa sababu tumeshuhudia kumhusu Mungu ya kuwa alimfufua Kristo kutoka kwa wafu. Na kumbe hakumfu fua, kama kweli wafu hawafufuliwi. 16 Kwa kuwa kama wafu hawa fufuliwi, basi hata Kristo hajafufuliwa. 17 Na ikiwa Kristo hajafufuliwa, imani yenu ni bure; nanyi bado mngali katika dhambi zenu. 18 Pia waamini wote waliokufa wakimwamini Yesu wamepotea. 19 Na kama imani yetu ndani ya Kristo ni kwa ajili ya maisha haya tu, basi sisi tunastahili kuhurumiwa kuliko watu wengine wo wote duniani. 20 Lakini ukweli ni kwamba Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, matunda ya kwanza ya wote waliolala. 21 Kwa maana kama vile kifo kilivyokuja kwa njia ya mtu mmoja, vivyo hivyo, ufufuo wa wafu umekuja kwa njia ya mtu mmoja. 22 Kwa kuwa katika Adamu watu wote hufa, vivyo hivyo katika Kristo wote wata fanywa kuwa hai. 23 Lakini kila mmoja kwa mpango: Kristo ni mat unda ya kwanza ya ufufuo; kisha wale walio wake wakati atakapo kuja watafufuliwa. 24 Ndipo mwisho utafika, wakati ambao ataka bidhi Ufalme kwa Mungu Baba, akiisha angamiza kila mamlaka na uwezo na nguvu. 25 Kwa maana Kristo atamiliki mpaka Mungu ataka powaweka adui zake chini ya miguu yake. 26 Adui wa mwisho kuan gamizwa ni kifo. 27 “Kwa maana Mungu ameweka kila kitu chini ya utawala wake, chini ya miguu yake.” Ni wazi kwamba maneno haya, “Kila kitu kimewekwa chini ya utawala wake,” hayamjumlishi na Mungu ambaye ameweka vitu vyote chini ya Kristo. 28 Vitu vyote vikishawekwa chini ya utawala wake, ndipo naye Mwana atakuwa chini ya Mungu ambaye ameviweka vitu vyote chini yake, ili Mungu awe yote katika yote.
29 Vinginevyo, kwa nini watu wanabatizwa kwa niaba ya wafu? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, mbona watu wanabatizwa kwa niaba yao? 30 Na kwa upande wetu kwa nini tunajitia hatarini kila wakati? 31 Nakufa kila siku, nasema kweli ndugu zangu, kama ninavyojivuna kwa ajili yenu katika Kristo Yesu, Bwana wetu. 32 Kama nilipigana na wanyama wakali huko Efeso kwa sababu za kibinadamu, nimepata faida gani? Kama wafu hawafufuliwi, basi, “Tule na kunywa, kwa maana kesho tutakufa.” 33 Mtu asiwadanga nye, “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.” 34 Pateni tena fahamu, muache kutenda dhambi. Kwa maana baadhi yenu hawam jui Mungu; nasema mambo haya ili muone aibu.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Elimu ya nini kijana unayo zungumzia wewe ?
Kama kuhusu elimu ya kujitambua hakuna wanao tuzidi sisi.
Kuhusu secular si elimu ya kumtambia mtu, sababu ina ujinga na uongo mwingi. Elimu ambayo haina uwezo wa kumfundisha mtu hata namna ya kuvas nguo au kula unataka umtambie mtu ?
Natongea ukweli ya kuwa hamsomi vitabu vyenu na hamuhoji huu ndiyo ukweli mngekuwa mnahoji msinge salia katika UKRISTO, shida akili zenu mmewaachia viongozi wenu.
Mimi nakupa kazi moja tu ukithibitisha ya kuwa Yesu siyo Nabii Issa mimi nakuwa Mkristo.
Nimewawekea maandiko yenu muyaweke sawa na mtuambie yapi ya kweli na yapi ya uongo. Soma huko juu. Mimi ukiangalia majadiliano yangu na Wakristo sipendi kutumia maandiko yenu sababu yana ujinga meingi, yamejaa ushirikina, uongo, kupingana yenyewe kwa yenyewe, sasa leo nimesema nibadilishe usulubu kidogo, kinachotokea mnakimbia maandiko yenu.
Sasa nachotaka mimi ni nyinyi mtueleze haya mafundisho ya Yesu kuwa ni Mungu au Utatu nani eyafundisha ? Ni Yesu mwenyewe na kama ni Yesu wapi ameyafundisha ?
Kadhalika muelezee vipi maandiko yenu yanakinzana ? Yapi ya kuchukua je ni ysle ya wazi yanayo sema Yesu si mungu au ni yale tata yenye kusemwa yamemaanisha Yesu ni Mungu ?
Maelezo yako yanaonyesha mnampa udosari Mola na kuonyesha ya kuwa hana uwezo katika ufanyaji wa mambo yake wakati si sahihi.
Sifa za Mungu hafi wala haitaji msaada vipi Yesu atake msaada na afe ? Lakini mbona alikiri ya kuwa yeye hafanyi mambo yoyote ila kwa msaada ?
Kingine mnapo sema ni Mwana wa Mungu, mwana hii ya kinasaba au ya nini ? Ili mtoto awe wa fulani sharti linatakiwa liweje ?
Ndiyo maana tuna sema kuna mwana masumbwi na mwanamichezo, hii haimaanishi ya kuwa ni mtoto wa michezo au mtoto wa kinasaba wa masumbwi bali ni mtu aliye jikita katika mambo hayo.