Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?


Huyo Mussa mwenyewe alitabiri kufa kwa YESU na kufufuka kwake yaani wewe mbona unaelewa ila unajikazaa

Yaani unataka kuonekana ushindwii na kumbe umeumbuka pole sana
 
Hiyo siyo kweli hili jina wanalitumia kimakosa. Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu, Uyahudi na Ukristo ni Dini zilizo kuja kuzuliwa, ukiziangalia zote zimewakana mitume walio fata baadae.

Kabla ya kusema ibrahim alikua dini gani naomba niambie
Ukristo umeanza mwaka gani
Uislamu umeanza mwaka gani

Ila tambua kwamba Ibrahim aliishi kabla ya Ukristo wala Uislamu haujaingia duniani
 

Sio ushirikina hizo ni nguvu za ROHO MTAKATIFU HUWEZI KUISOMA BIBLIA KIRAHISI HIVYO LAZIMA UPIGWE UPOFU


UNAFIKIRI BIBLIA NI KAMA KITABU CHENU KINACHOTUMIKA KUUA WATU NA KUWAPA MAJINI WATU

BIBLIA NI UVUVIO WA ROHO MTAKATIFU BIBLIA NI MOTO MOTO NI UPANGA UKATAO HUKU NA HUKU UKIWA NA MAPEPO KAMA YAKO HUWEZI KUPATA UJASIRI WA KUISOMA NA KAMA UTAISOMA LAZIMA UCHANGANYIKIWE MAANA YALE MAANDIKO YAKO NA NGUVU ZA MUNGU HALISI NA NDIO MAANA KILA KILICHOANDIKWA NDANI YA BIBLIA KINATIMIA NA LAZIMA KITIMIE
 

Weka andiko lote acha kuweka nusu nusu

Huna hata aibu hebu soma vizuri unafikiri hapa upo kwenye muhadhara mnapodanganyaga watu
 

Ww mwenyewe hauna point huwezi lazimisha niamini kuwa Yesu ni nabii Issa wakat kitabu ninachokiamini mm hakijui chochote kuhusu huyo nabii Issa wenu

Kama unaona ukristo ni uzushi ww inakuhusu nn wakati tunao amini ni sisi

Ww unaamini vilivyo andikwa kwenye Quran nje ya hapo huamjni chochote ndio na wakristo tulivyo tunaamini kwenye Biblia

Huyo nabii Issa mnamfahamu nyie sababu kaandikwa kwenye Quran ambayo mm siijui
 

Unapoteza nguvu buree jamaa anakaza ubongo ko hawezi kuelewa hataa iwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kweli, Hawa wafia dini wana matatizo sana
Ila anachotakiwa kujua hata anachofundisha hapa hakuna mtu anamuelewa
 
Hiyo kuzimu uliona ilivyotetemeka jina lake lilivyotajwa ? Hata waganga pia wanatoa mapepo .. umesema shetani anajua yesu ni Mungu ni andiko gani shetani amethibitisha hivyo sana sana alimjaribu tu kupima imani yake . Imani yake kwa nani na yeye ni Mungu [emoji1787]

Kibaya zaidi nyie wenyewe wakristo kuna madhehebu mnapingana kuhusu uhalali wa yesu kuwa Mungu

Tunaposoma Biblia tunakuta mara nyingi sana Yesu anaitwa Mwana
wa Adamu. Kwa mfano: Mathayo 8:20, 9:6, 12:40, 14:28, 16:27, 17:22, 24:30 na 26:45. Marko 2:10, 9:31 na 14:21-40. Luka 9:44. Yohana 5:27 na
Matendo 7:56.

Kama Mwana wa Kondoo ni kondoo – Mwana wa mbuzi huwa ni mbuzi
vile vile Mwana wa Adamu ni binadamu. Haieleweki ni kwa sheria na
kanuni gani Mwana wa Adamu anapachikwe jina la Mungu au Mwana wa
Mungu? 4. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, Mwana wa Daudi, Mwana wa Ibrahim.
(Mathayo 1:1)
 
Biblia ni tamu Sana ukisoma,
Koran mstari na mstari haviendani jamaa alikuwa kila akiamka anaweka verse tena haiendani na verse iliyopita , mtaani wakimzingua anaweka Verse ya kuwachamba, wake zake wame mfumania anakula house girl anaweka verse ya kumruhusu kula house girl, akatamani Mke wa mtoto wake anaweka verse ya kumruhusu kuchukua mke wa mtoto wake , full demonic
 
Mungu ana nafasi tatu so Mungu wako watatu sio Mmoja sio ? [emoji1787] So Mungu mwana ni yesu na Mungu baba ni yupi ? Huyo baba ake Yule aliyekuumba wewe ni yupi ?

Ni yesu ndio amekuumba wewe ?
 
Mkristo Imani yake Yesu ni Mungu kinyume Cha hapo sio mkristo

Huwa nawapa angalizo Sana unapokuja kwenye kuhoji mambo ya Yesu Jua hili kwanza

Allah = physical being creature
Jehovah = Spirit.

Ukihoji na kuwa na nature ya mungu wako kichwani hutaelewa kamwe
 
Mungu ana nafasi tatu so Mungu wako watatu sio Mmoja sio ? [emoji1787] So Mungu mwana ni yesu na Mungu baba ni yupi ? Huyo baba ake Yule aliyekuumba wewe ni yupi ?

Ni yesu ndio amekuumba wewe ?
Anza kuelewa hapa kwanza

Allah = physical being creature
Jehovah = Spirit

Ukisha elewa ndio uliza swali
 
Anza kuelewa hapa kwanza

Allah = physical being creature
Jehovah = Spirit

Ukisha elewa ndio uliza swali
Sprit a supernatural being or an essance

Sprit often malevolent being that is bodiless but can become visible


Being not beings [emoji3]



Kuhusu hapo juu Allah sio physical being Kulingana na theolojia ya Kiislamu, Mungu hana mwili wala jinsia I'm sorry to say this hafananishwi na kitu chochote sasa sielewi umesemaje ni physical being
 
Umesema Mkiristo imani yake Yesu ni Mungu kwahyo huyu yesu ndio kawaumba ? sasa huyu Yesu ametumwa na baba ake kwahyo huyo baba ake ni Mungu ? Kama ni ndio ina maana kuna Mungu zaidi ya mmoja si ndio

Ukinitajia mambo ya nafsi tatu hapo ni watu watatu
 
Allah nature yake ni physical being , kulingana na waislamu nguli wanasema Allah ana mguu ,mikono , USO, vidole n.k na waislamu wanasema pia mguu wake na umbo lake halifanani na kitu chochote


Allah pia anakazia anasema akitaka mke anachukua Malaika au hori ndio ujue ni mwanaume na Koran yote Allah anajiita he na sio she
 
Kama umeshaelewa utofauti wa Allah na Jehovah hapo sawa

Shida gani unapata Mungu akikwambia ata yupo mara 1000 ?
Unataka kumpangia kuwa unavyotaka wewe au?
 
Mbona Ni suala la kucheza na timing tu!! Mimi waliteta hizo Mambo nkampanga binti akapangika!! Nkavaa kanzu na jina nkapewa ndoa ikafungwa !! Tumezaa mtoto mmoja nkamwmbia twende kanisani haya Ni maisha yetu na Motoni au peponi utaenda mwenyewe !!
 
Dooh umesikia kwa muislamu gani ? maana kuna sura ktk Quran inaeleza Allah hafananishwi na chochote sasa unavyoniambia miguu mikono nashangaa sana na hayo mambo ya mke pia utakuwa Umesikia nilidhani umesoma mahali kwenye vitabu vyetu
 
Kama umeshaelewa utofauti wa Allah na Jehovah hapo sawa

Shida gani unapata Mungu akikwambia ata yupo mara 1000 ?
Unataka kumpangia kuwa unavyotaka wewe au?
Utafauti niliouona ni kwamba mnasema Mungu wenu ana nafsi tatu kwa maana wapo watatu


Mimi simpangii Mungu wako wangapi ila kwa imani yangu Mungu ni mmoja na wala hana mshirika
 
Utafauti niliouona ni kwamba mnasema Mungu wenu ana nafsi tatu kwa maana wapo watatu


Mimi simpangii Mungu wako wangapi ila kwa imani yangu Mungu ni mmoja na wala hana mshirika
Ndo hivyo wewe una Allah na hafanani na Jehovah ,
Mungu ni mmoja tu nafsi zake tatu zisikupe shida zote ni divine ,

Mungu wako Allah kuwa physical kunamfanya mambo mengi aone hayawezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…