Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Bro sikupingi asee watoto wa kiislamu wanajua mapenzi balaa. Af ukikuta ambaye kakuelewa asee utaona umemiliki Dunia maana wanajua kabisa sisi tunataka nini na wanatupa. Big up sana kwao
 
Allah sio Jehova!
Mungu aliyejifunua kupitia Yesu ndio Jehovah,Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo(Israel)
!yuko sahihi!

Kila Mungu/mungu ana namna yake ya kujifunua kiagano kwa wanaomuabudu!

Ss Mungu,Jehovah alijifunua kupitia Yesu kwenye agano jipya!

Huwezi sema ndo huyo huyo aliyejifunua kupitia mtume Muhammad!
Ni vitu viwili tofauti.
 
Ukikua utaacha ujinga
 
Dah umenikumbusha kaka yangu alipomfata ex wangu eti niachane nae kisa ni dini tofauti tena alimfata na panga hiki kisa natamani niazishie uzi yale mahusiano nilipigwa mikanda sana home[emoji51]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole,,,,,Hi ishu sikia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida haipo kwa wazazi ila kwenye Roho zinazo monitor(wazazi wanaanza upinzani madhabau za hizo dini. Ni kugombanisha falme mbili Na hapo ndipo upinzani unajidhihirisha physically na unakuwa mkali thoroughly
 
Na utateseka sana[emoji23],



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…