Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Dah! Upo kama me nina binti wa kislamu me ni mkristo huyu mwanamke ni mzuri ile mbaya ananipa mahaba haswa ukirudi home anivua shati, viatu sometimes nalishwa sema sasa hiv kasafiri kikazi nimemmiss ila alinipa tahadhari kuwa Wazazi wake hawapendi yeye aje aolewe na mkristo ingawa bado sijajitambulisha kwao kujulikana.Mzee baba niliwahi kuleta mada hapa "Wanawake wa waislamu wengi Wana mahaba ukilinganisha na wakristo wakristo wanakwama wapi"? kuna baadhi wakanipinga especially wanawake wa kikristo lakini uhalisia tunauona sisi Wanaume kiukweli wanawake wakislamu wanajua mahaba na wajua kumtreat mwanaume vizuri kwenye Hili lazima tuwape sifa yao na mademu wakikristo wasione wivu kuna jambo la kujifunza kwao
Bro sikupingi asee watoto wa kiislamu wanajua mapenzi balaa. Af ukikuta ambaye kakuelewa asee utaona umemiliki Dunia maana wanajua kabisa sisi tunataka nini na wanatupa. Big up sana kwao
 
wewe unaamini MUNGU mmoja
kama unaamini MUNGU mmoja
basi ALLAH na YEHOVA ni huyo huyo
kama unaamini MUNGU wa IBRAHIM(ABRAHAM)
Basi na WAISLAM tunamuamini MUNGU huyo huyo
kama ibrahimu aliamini MUNGU mmoja na WAKRSTO wanamfuata IBRAHIM
na WAISLAM tunamfata IBRAHIM tunaamini MUNGU mmoja
Sisi waislam tunapingana na wanaoabudu masanamu wanaoabudu Viumbe wanaoabudu mizimu na wanaobudu MIUNGU

FALSAFA ya UISLAM ni KUAMINI MUNGU MMOJA na KUAMINI MITUME YAKE na KUAMINI MUHAMMAD ni MTUME WAKE

na hiyo NDIYO ilikuwa FALSAFA ya YESU na NDIO
YESU alihubiri MUNGU MMOJA na akafundisha neno kwa kuwaambia yeye ni MTUME WA MUNGU amekuja kuitangaza INJIRI y MUNGU
Allah sio Jehova!
Mungu aliyejifunua kupitia Yesu ndio Jehovah,Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo(Israel)
!yuko sahihi!

Kila Mungu/mungu ana namna yake ya kujifunua kiagano kwa wanaomuabudu!

Ss Mungu,Jehovah alijifunua kupitia Yesu kwenye agano jipya!

Huwezi sema ndo huyo huyo aliyejifunua kupitia mtume Muhammad!
Ni vitu viwili tofauti.
 
Kuanzia pale kijana wa watu akabadilika ,uku mwenzie bado nampenda yani niliteseka na ninateseka mpka kesho mana ni ngumu kuachia penzi lake na yeye kuniacha hataki kutamka ila ni matukio tu kimya kimya napigwa

Nilimwambia mama hayo majibu yenu mliomjibu uyo mtoto wa watu na kaka zako mimi yananitesa sasa
Ukikua utaacha ujinga
 
Kamwe wazazi wasiingilie maisha ya watoto wakishakuwa watu wazima. Wafunge ndoa ya serikali kila mtu abaki na imani yake. Watoto wakiwa watu wazima watachagua imani yao. Tatizo tumeshalishwa matango ya kizungu na kiarabu tukakana imani zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida haipo kwa wazazi ila kwenye Roho zinazo monitor(wazazi wanaanza upinzani madhabau za hizo dini. Ni kugombanisha falme mbili Na hapo ndipo upinzani unajidhihirisha physically na unakuwa mkali thoroughly
 
Sina hata hamu na haya mambo ya dini

Kijana wa watu aliforce akaleta barua Ivo Ivo licha ya kua alijua dini ni tofauti

Walichomjibu home kwenye io barua sina hamu na mama wala hao kaka zake wanaojiita wajomba (mana mzee yupo mbali)

[emoji1][emoji1][emoji2] Kuanzia pale kijana wa watu akabadilika ,uku mwenzie bado nampenda yani niliteseka na ninateseka mpka kesho mana ni ngumu kuachia penzi lake na yeye kuniacha hataki kutamka ila ni matukio tu kimya kimya napigwa

Nilimwambia mama hayo majibu yenu mliomjibu uyo mtoto wa watu na kaka zako mimi yananitesa sasa

Kijana mkristo( licha ya kua mama ake alikua muislam akabadili dini kua mkristo)

Mimi muislam
Na utateseka sana[emoji23],



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom