Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Unajua maana ya kuslim?Hahahaha pole aisee,, may be unge slim kwa muda.
Madhara yake sio madogo km unavyodhani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya kuslim?Hahahaha pole aisee,, may be unge slim kwa muda.
Bro sikupingi asee watoto wa kiislamu wanajua mapenzi balaa. Af ukikuta ambaye kakuelewa asee utaona umemiliki Dunia maana wanajua kabisa sisi tunataka nini na wanatupa. Big up sana kwaoDah! Upo kama me nina binti wa kislamu me ni mkristo huyu mwanamke ni mzuri ile mbaya ananipa mahaba haswa ukirudi home anivua shati, viatu sometimes nalishwa sema sasa hiv kasafiri kikazi nimemmiss ila alinipa tahadhari kuwa Wazazi wake hawapendi yeye aje aolewe na mkristo ingawa bado sijajitambulisha kwao kujulikana.Mzee baba niliwahi kuleta mada hapa "Wanawake wa waislamu wengi Wana mahaba ukilinganisha na wakristo wakristo wanakwama wapi"? kuna baadhi wakanipinga especially wanawake wa kikristo lakini uhalisia tunauona sisi Wanaume kiukweli wanawake wakislamu wanajua mahaba na wajua kumtreat mwanaume vizuri kwenye Hili lazima tuwape sifa yao na mademu wakikristo wasione wivu kuna jambo la kujifunza kwao
Hivi kwanini waislam mnapenda Sana kujiambatanisha Na Mungu wa wakristo Na wayahudi??Huna unacho kijua kuhusu Islam
Allah sio Jehova!wewe unaamini MUNGU mmoja
kama unaamini MUNGU mmoja
basi ALLAH na YEHOVA ni huyo huyo
kama unaamini MUNGU wa IBRAHIM(ABRAHAM)
Basi na WAISLAM tunamuamini MUNGU huyo huyo
kama ibrahimu aliamini MUNGU mmoja na WAKRSTO wanamfuata IBRAHIM
na WAISLAM tunamfata IBRAHIM tunaamini MUNGU mmoja
Sisi waislam tunapingana na wanaoabudu masanamu wanaoabudu Viumbe wanaoabudu mizimu na wanaobudu MIUNGU
FALSAFA ya UISLAM ni KUAMINI MUNGU MMOJA na KUAMINI MITUME YAKE na KUAMINI MUHAMMAD ni MTUME WAKE
na hiyo NDIYO ilikuwa FALSAFA ya YESU na NDIO
YESU alihubiri MUNGU MMOJA na akafundisha neno kwa kuwaambia yeye ni MTUME WA MUNGU amekuja kuitangaza INJIRI y MUNGU
Acahana nae hana analolijua!Sijasema sasa gazeti la nini
Ukikua utaacha ujingaKuanzia pale kijana wa watu akabadilika ,uku mwenzie bado nampenda yani niliteseka na ninateseka mpka kesho mana ni ngumu kuachia penzi lake na yeye kuniacha hataki kutamka ila ni matukio tu kimya kimya napigwa
Nilimwambia mama hayo majibu yenu mliomjibu uyo mtoto wa watu na kaka zako mimi yananitesa sasa
Akikua na akaitambua haki ujinga utamtokaSana hili rahisi mno. Kosa lako ni kukubali kumpenda asiye wa imani yako, ndiyo maana nasisitiza ya kuwa kuna makosa ulifanya.
Mwanamke hanaga DiniNdiyo ujue sasa kuna sehemu ulikosea.
Huwa nashangaa sana kuona binti wa Kiislamu ana mahusiano na kijana wa Kikristo, maana yake huyo binti hana DINI.
Ndo ushangaeHivi kwanini waislam mnapenda Sana kujiambatanisha Na Mungu wa wakristo Na wayahudi??
Yani mtu akisema Issa sio yesu au Allah sio Jehovah huwa mnabisha Sana kwanini?
Niambie ilikuaje?Ni mvivu kuandika mkuu na kujibu comment
Wasije wakanisomea visomo vya kichawiAcahana nae hana analolijua!
Alafu ukiwaambia "Allan siyo Yehova" utashangaa wanakugeuzia kibano kwamba umesema "Allah siyo Mungu". Jazba linaanza😅Ndo ushangae
Wakati ndo ukweli!
Hatuabudu Mungu mmoja, issa sio Yesu! Period!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole,,,,,Hi ishu sikia tuDah umenikumbusha kaka yangu alipomfata ex wangu eti niachane nae kisa ni dini tofauti tena alimfata na panga hiki kisa natamani niazishie uzi yale mahusiano nilipigwa mikanda sana home[emoji51]
Huyo asikuchanganye achana naye ajui maana ya kupenda au mapenzi kiujumla hakuna mtu yoyote anayevutika na dini ya mtu kwanza huyo hayupoKosa langu ni lipi mkuu ulishawahi zuia upendo
Nimedate nao ni 9Mmmmmh [emoji849][emoji849][emoji849] hao wakristo umedate nao wangapi mkuu??
Acha kabisa ule upendo huwa nikikumbuka nasikitika maana ilikuwa ni mvutano wa pande mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole,,,,,Hi ishu sikia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida haipo kwa wazazi ila kwenye Roho zinazo monitor(wazazi wanaanza upinzani madhabau za hizo dini. Ni kugombanisha falme mbili Na hapo ndipo upinzani unajidhihirisha physically na unakuwa mkali thoroughlyKamwe wazazi wasiingilie maisha ya watoto wakishakuwa watu wazima. Wafunge ndoa ya serikali kila mtu abaki na imani yake. Watoto wakiwa watu wazima watachagua imani yao. Tatizo tumeshalishwa matango ya kizungu na kiarabu tukakana imani zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na utateseka sana[emoji23],Sina hata hamu na haya mambo ya dini
Kijana wa watu aliforce akaleta barua Ivo Ivo licha ya kua alijua dini ni tofauti
Walichomjibu home kwenye io barua sina hamu na mama wala hao kaka zake wanaojiita wajomba (mana mzee yupo mbali)
[emoji1][emoji1][emoji2] Kuanzia pale kijana wa watu akabadilika ,uku mwenzie bado nampenda yani niliteseka na ninateseka mpka kesho mana ni ngumu kuachia penzi lake na yeye kuniacha hataki kutamka ila ni matukio tu kimya kimya napigwa
Nilimwambia mama hayo majibu yenu mliomjibu uyo mtoto wa watu na kaka zako mimi yananitesa sasa
Kijana mkristo( licha ya kua mama ake alikua muislam akabadili dini kua mkristo)
Mimi muislam
Tulipendana tukiwa kwenye mahusiano nyumbani wakagundua mbaya zaidi familia yake inajulikana ni wale wa ibada sana dini ipo kwenye damu nadhani familia yangu ikapata shaka atanishawishi nibadili diniNiambie ilikuaje?