Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?


Wewe ni muislam au mkristo maana ulizaliwa ukawakuta wazazi wako wana dini hiyo ndio maana ukawa na dini hiyo.

Hivyo sioni ubaya mtu wa mtu mzima alie na miaka 18 kubadilisha dini kwa hiari yake mwenyewe kisa mapenzi.
 
Umesema mungu ni mmoja..mbona hapa tena huyo mungu anatumua wingi..?

#MaendeleoHayanaChama
 
Dini haina mahusiano na kupenda, kujali kwene mahusiano.
 
Dah umenikumbusha kaka yangu alipomfata ex wangu eti niachane nae kisa ni dini tofauti tena alimfata na panga hiki kisa natamani niazishie uzi yale mahusiano nilipigwa mikanda sana home[emoji51]
Ukitulia mama tudondoshee stori pls.
 
[emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514]

Mzee umeua.. kwanini uingie kwenye mahusiano na mtu mwenye Imani tofauti na wewe? Ina maana ya dini huyaelewi?
Huwa inatokea, msimlaumu.
 
Tusitake kuishi kizungu uko sahihi lakini kwanini watu hutolea mifano kwa wazungu tu vipi jamii zingine tulizoiga tamaduni zao na kudharau mpaka lugha zetu za asili tukihusisha kila kilicho chao na imani?huu upofu unaletwa na nguvu gani?!
 
Sasa ili uenjoy vizuri inatakiwa uwe mwislamu
 
Ni mtizamo wako,,
 
Majina kama Abdallah?wazungu wabaya sana!
 
Daaah naumia sana kuna shungi shungi moja nimeipoteza mwaka jana kisa dini hizi zakitumwa. Alafu hadi sim kafuta namba zake. Mungu atanipa chombo nyingine tu.
Iliatjiwa uwe muslim kwa miezi 6 tu, akishakua mke haondoki huyo.
 
Mimi nakupa kazi moja tu ukithibitisha ya kuwa Yesu siyo Nabii Issa mimi nakuwa Mkristo.

YESU SIO NABII ISSA KWA SABABU HUYO NABII ISSA NA YESU NI WANA HISTORIA TOFAUTI MPK HAPO KUANZIA KUZALIWA MPK KUFAA MPK KUFUFUKA

UKOO WA YESU NA HUYO NABII ISSA MNAEMFANANISHA NAE NI TOFAUTII
KIUFUPI HAKUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA YESU KRISTO NA NABII ISSA KAMA KUNGEKUWA NA MFANANO NAFIKIRI STORY ZINGEKUWA ZIPO PAMOJA KIUFUPI NI HISTORIA MBILI TOFAUTI KABISAKABISA UKATAE AMA UKUBALI
 
Mama yake Yesu ni nani ? Yesu alizaliwa mji gani ?

Unahoji kitoto sana, kuna mambo ya msingi ambayo katika habari hayaepukiki na ndiyo yanabeba habari nzima. Kutofautiana mahali au mfano wake ni katika sehemu ndogo sana ya habari.


Mpaka unakufa huwezi kuthibitisha ya kuwa Yesu siyo Nabii Issa kwa hoja za kielimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…