Siyo kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli.
Acha tu
Nawewe ndo wale mnaomezeshagwa matapishi mnayameza kama yalivyo,Bifu lililopo ni la kiroho zaidi. Hizi ni falme mbili tofauti. Yehova siyo Allah na Yesu siyo nabii Issa kama mnavyoaminishwaga.
Nimechoka sana leo ningekufafanulieni kwa kina
Niliteleza,ilinitokeaga[emoji23]. Sijui kwanini[emoji41]Acha kabisa ule upendo huwa nikikumbuka nasikitika maana ilikuwa ni mvutano wa pande mbili
Kabisa mkuu wanawake wa dini yetu wangekuwa wanajua mahaba tusingekuwa tunaangaika na hawa wakislamu lakini Ndio hivyo sijui tutafanyaje alafu wengi wao sio wachoyo kukupa game tofauti na hawa wakwetuBro sikupingi asee watoto wa kiislamu wanajua mapenzi balaa. Af ukikuta ambaye kakuelewa asee utaona umemiliki Dunia maana wanajua kabisa sisi tunataka nini na wanatupa. Big up sana kwao
Pole,,,,kaa tuliza akili tu,usiufosi moyo ukubali kuwa haupo naeAcha tu
Tulikuwa tukikutana tunashawishiana ujinga maana tulikuwa hatuoni tumaini mbele eti tutoleke tukaishi mbali😬😂
Duh! Hiko kisanga ni hatari sipati picha aisee hizi zinatugawa sana badala yatuunganisha me sioni sababu za family zetu kureact hivyo cos dini zote zina hubiri mambo mema na zinakataza mabayaTulipendana tukiwa kwenye mahusiano nyumbani wakagundua mbaya zaidi familia yake inajulikana ni wale wa ibada sana dini ipo kwenye damu nadhani familia yangu ikapata shaka atanishawishi nibadili dini
Mapenzi ya kihindi hayo 🤣🤣Tulikuwa tukikutana tunashawishiana ujinga maana tulikuwa hatuoni tumaini mbele eti tutoleke tukaishi mbali😬😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bro akaenda kupiga biti[emoji23]Tulikuwa tukikutana tunashawishiana ujinga maana tulikuwa hatuoni tumaini mbele eti tutoleke tukaishi mbali[emoji51][emoji23]
😃😃Mapenzi ya kihindi hayo 🤣🤣
Alikuwa mkuda sana mpaka leo hatuelewani 😬😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bro akaenda kupiga biti[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimejaribu kusoma uislamu kidogo gugo, kuna tofauti ndogo sana kati ya dini hizi mbili, ni Yesu kuwa mwana wa Mungu na nabij Issa na Mtume Mohamed sijui alitokea wapi, kwenye ukristo hayupo.Lakini zote zinatambulika kama Ibrahimism, zina vinasaba vya pamoja na ndio maana mitume karibu wote wanatajwa na vitabu vya dini hizi mbili kwa pamoja na matendo yale yale.
Hebu ukipumzika tumegee somo tujifunzeIdeally zote ni Abrahamic religions lakini uchunguzi wa kina unaonyesha Islam wanamuabudu Allah ambaye siyo Yehova ambaye ni Mungu wa Abraham. Unaweza ukasema ni majina tu, Mungu ni yuleyule lakini siyo kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]mmefuatana?Alikuwa mkuda sana mpaka leo hatuelewani [emoji51][emoji23][emoji23]
[emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514]Ukitaka kuharibu jamii basi ruhusu mahusiano ya kimapenzi baina ya imani mbili tofauti.
Ukiona mtu ana uhusiano wa kimapenzi na mtu wa imani nyingine huyo hajitambui au anajiendekeza. Huu ukweli mchungu.
Funguka mzeeMimi nilibadili dini kitambo kidogo nikiwa na miaka 17 Ukristo kwenda Uislamu.Lakini nilichokiona huko ni tofauti kabisa na nilichokuwa naamini.Hizi dini zipo tu tuzifuate lakini siyo kila unachoambiwa ukichukulie kuwa ni kweli.