Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Bifu lililopo ni la kiroho zaidi. Hizi ni falme mbili tofauti. Yehova siyo Allah na Yesu siyo nabii Issa kama mnavyoaminishwaga.

Nimechoka sana leo ningekufafanulieni kwa kina
Nawewe ndo wale mnaomezeshagwa matapishi mnayameza kama yalivyo,
Sasa yesu ndo nani, una uhakika mtoto alie zaliwa na Mary jina lake ni Yesu?

Una uhakika kuwa tukiwaleta wazazi wake walio mzaa ukawatajia hilo jina la Yesu watamufahamu?

Hivi kwamfano wewe leo unaitwa Masawe mtu wa ulaya atakuita kwa jina hilo ulilopewa na wazazi wako au atakutafutia jina lingine tofaut na hilo?
Au Samia suluhu hasan alivyoenda USA aliitwa jina tofauti na hilo la kwake?

Uhalisia; Jina la binadamu halijawahi kubadilika kutoka lugha moja hadi nyingine ndo maana Kama unaitwa Ngolo kante hata uende wapi utaitwa ngolo kante tu.
Haya mambo sijui ya jesus, Yesu yeshua na n.k ni majina ya kusadikika tu waliyo kaa watu wachache wakaanza kuyataja na wala siyo majina halisi ya mtoto wa mariam.

Neno Mungu linabadilika kutoka lugha moja hadi nyingine kwasababu siyo jina la mtu bali ni ufalme au kisasa tunaweza sema ni taasisi. Ila habari za sijui John ni yohana, Mathew ni Mathayo, juda ni Yuda. Haya ni mambo ya viumbe wachache tu walio kaa chini wakaanza kubumba hayo majina kwa lugha zingine. Leo hii akifufuka huyo methew akaja huku bongo ukamuita Mathayo wala hataelewa kama unamuita yeye.

NOTE; Hili andiko halihusiani na mambo ya dini bali limejikita kwenye muktadha wa majina asilia ya binadamu. Maana wafia dini hamchelewi kutoa povu mkiona majina yenu mliyokaririshwa na wazungu waliokuja kwa mashua mnamo karne ya 18 na 19.
 
Bro sikupingi asee watoto wa kiislamu wanajua mapenzi balaa. Af ukikuta ambaye kakuelewa asee utaona umemiliki Dunia maana wanajua kabisa sisi tunataka nini na wanatupa. Big up sana kwao
Kabisa mkuu wanawake wa dini yetu wangekuwa wanajua mahaba tusingekuwa tunaangaika na hawa wakislamu lakini Ndio hivyo sijui tutafanyaje alafu wengi wao sio wachoyo kukupa game tofauti na hawa wakwetu
 
Vitafunwa vipo
FB_IMG_16469385633105446.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulipendana tukiwa kwenye mahusiano nyumbani wakagundua mbaya zaidi familia yake inajulikana ni wale wa ibada sana dini ipo kwenye damu nadhani familia yangu ikapata shaka atanishawishi nibadili dini
Duh! Hiko kisanga ni hatari sipati picha aisee hizi zinatugawa sana badala yatuunganisha me sioni sababu za family zetu kureact hivyo cos dini zote zina hubiri mambo mema na zinakataza mabaya
 
Lakini zote zinatambulika kama Ibrahimism, zina vinasaba vya pamoja na ndio maana mitume karibu wote wanatajwa na vitabu vya dini hizi mbili kwa pamoja na matendo yale yale.
Mimi nimejaribu kusoma uislamu kidogo gugo, kuna tofauti ndogo sana kati ya dini hizi mbili, ni Yesu kuwa mwana wa Mungu na nabij Issa na Mtume Mohamed sijui alitokea wapi, kwenye ukristo hayupo.
 
Ideally zote ni Abrahamic religions lakini uchunguzi wa kina unaonyesha Islam wanamuabudu Allah ambaye siyo Yehova ambaye ni Mungu wa Abraham. Unaweza ukasema ni majina tu, Mungu ni yuleyule lakini siyo kweli
Hebu ukipumzika tumegee somo tujifunze
 
Ukitaka kuharibu jamii basi ruhusu mahusiano ya kimapenzi baina ya imani mbili tofauti.

Ukiona mtu ana uhusiano wa kimapenzi na mtu wa imani nyingine huyo hajitambui au anajiendekeza. Huu ukweli mchungu.
[emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514]

Mzee umeua.. kwanini uingie kwenye mahusiano na mtu mwenye Imani tofauti na wewe? Ina maana ya dini huyaelewi?
 
Mimi nilibadili dini kitambo kidogo nikiwa na miaka 17 Ukristo kwenda Uislamu.Lakini nilichokiona huko ni tofauti kabisa na nilichokuwa naamini.Hizi dini zipo tu tuzifuate lakini siyo kila unachoambiwa ukichukulie kuwa ni kweli.
Funguka mzee
 
Back
Top Bottom