Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

M
Wanaume wakislamu wanamatatizo yao tungepewa hiyo nafasi sisi Wanaume wakikristo tungepunguza Hilo wimbi lakuachika shida Ndio hivyo Wazazi wao wanatubania kuwaoa watoto wao
Wanamatatizo gani mkuu..yujuze kidogo
 
We acha tu. Ila cha ajabu Wanaume wa kiislam mbona wao wanachumbia tu mabinti wa Kikristo? na wanaambiwa hiyo ni thawabu ya kumleta mtu wa dini nyingine na kumleta kwenye uislam.
We acha tu. Ila cha ajabu Wanaume wa kiislam mbona wao wanachumbia tu mabinti wa Kikristo? na wanaambiwa hiyo ni thawabu ya kumleta mtu wa dini nyingine na kumleta kwenye uislam
Naona inataka kujiongezea wafuasi tu.

Cha ajabu watoto wa kiislam wanaapenda sana wakristo..Mungu ni wajabu kweli
 
Unaweza ukaongea hivyo ila wengine tupo kwenye field tunajionea ndio maana kuna siku nilimuuliza muislamu mmoja wakike jirani yangu akanipa majibu kwanini wao wanakuwa watiifu na mahaba kwa Wanaume kwa majibu aliyonipa unaona kabisa dini inamchango wake mkubwa tu
Haya, umuoe sasa.
 
Dah! Upo kama me nina binti wa kislamu me ni mkristo huyu mwanamke ni mzuri ile mbaya ananipa mahaba haswa ukirudi home anivua shati, viatu sometimes nalishwa sema sasa hiv kasafiri kikazi nimemmiss ila alinipa tahadhari kuwa Wazazi wake hawapendi yeye aje aolewe na mkristo ingawa bado sijajitambulisha kwao kujulikana.Mzee baba niliwahi kuleta mada hapa "Wanawake wa waislamu wengi Wana mahaba ukilinganisha na wakristo wakristo wanakwama wapi"? kuna baadhi wakanipinga especially wanawake wa kikristo lakini uhalisia tunauona sisi Wanaume kiukweli wanawake wakislamu wanajua mahaba na wajua kumtreat mwanaume vizuri kwenye Hili lazima tuwape sifa yao na mademu wakikristo wasione wivu kuna jambo la kujifunza kwao
Hii ni kweli ase na mimi nna pisi yangu ya kiisalamu inajua kupenda ase atari af kichwani yuko smart! Yani ukiwa nae unaeza kudhania dunia yote yako! Kuhusu ndoa hatujawah zungumza kwa u serious sana!
 
Dah! Upo kama me nina binti wa kislamu me ni mkristo huyu mwanamke ni mzuri ile mbaya ananipa mahaba haswa ukirudi home anivua shati, viatu sometimes nalishwa sema sasa hiv kasafiri kikazi nimemmiss ila alinipa tahadhari kuwa Wazazi wake hawapendi yeye aje aolewe na mkristo ingawa bado sijajitambulisha kwao kujulikana.Mzee baba niliwahi kuleta mada hapa "Wanawake wa waislamu wengi Wana mahaba ukilinganisha na wakristo wakristo wanakwama wapi"? kuna baadhi wakanipinga especially wanawake wa kikristo lakini uhalisia tunauona sisi Wanaume kiukweli wanawake wakislamu wanajua mahaba na wajua kumtreat mwanaume vizuri kwenye Hili lazima tuwape sifa yao na mademu wakikristo wasione wivu kuna jambo la kujifunza kwao
Alafu ni wasafi sana
 
Wakristo ngoja niwaambie ukweli, na hapa si watukani, yaani nyiny hamsomi na wala hamfanyi utafiti kadhalika hamuhoji.

1. Mfano huo utofauti wa kwanza, nitakuuliza. Andiko leno limetaja mji, andiko letu limetaja sehemu husika kabisa chini ya mtende. Sasa mlivyo vilaza, mkashindwa kuulizwa huo mtende ulikuwa sehemu gani na ni mji gani. Ukisoma Tafsiri ya Ibn Kathir amethibitisha ni BaytLahm (Bethelehem/The house of meat). Ndiyo maana nikasema hivi hakuna anae weza kuthibitisha hili kwa hoja na ushahidi ya kuwa Yesu siyo Issa.

2. Nukta ya pili,ukianza kuchambua andiko lenu kuanzia kwa Matayo, tuanakuja kuona kabisa Matayo hakimdiriki Yesu, tunauliza habari za Yesu alizipata wapi toka kwa nani ? Qur'aan imeeleza wazi kwamba Allah alimtoa mja wake na akawawekea mfano wa mja wake. Hapa mmoja ni muongo, yaani Nyinyi Wakristo ndiyo waongo. Kwa sababu nyingi sana, kwanza Allah hamuachi ja wake ateseke na kudhalilika na ndiyo maana akamuokoa hapo.

3. Hapa pia kuna uongo mwingi. Marko hakuwahi kumuona Yesu habari za Yesu amezitoa wapi ? Na nani ameandika Injili ya Marko ? Hapa kuna hitilafu kubwa. Kisha tunakuja kwenye mstini yenyewe.

4. Hii nukta nyingine ambayo haithibitishi ya kuwa yesu ni mwana wa Mungu. Wai Yesu alisema yeye ni mwana wa mungu ? Lakini je katika Biblia yenu tamko "mwana" limetumika kwa yesu peke yake ? Kama siyo kwanini iwe mnashadadia kwa Yesu tu ?

Kingine ili mtoto awe mtoto baba akiwepo sharti lazima awepo mama, mama wa Issa mnataka kusema alipataje ujauzito wa Yesu ?

Kingine kilugha ukisema "Mwanafulani" si lazima kuwe na mafungamano ya uzao au damu. Mfano leo hii kuna "Mwanamichezo" siyo kwamba "Michezo imemzaa fulani" bali mtu huyo ni mtu wa michezo au "Mwana masumbwi" hii ina maana mtu husika ni mtu wa masumbwi. Leo sisi binadamu tunaitwa "Wana wa Adamu" haimaanishi tumezaliwa sote na Adamu. Kwahiyo tukiwapa miaka yote mpaka mnakufa hakuna yeyote atakaye thibitisha ya kuwa Yesu ni mtoto wa Mungu, bali ni mtu wa Mungu kama ulivyo wewe yaani mtu anajishughulisha na mambo ya mungu katika ujumbe na mfano wake.

5. Hakuna sehemu yoyote ambayo Yesu alisema yeye ni Mungu, bali nyie ndiyo mnasema yeye ni Mungu, na hayo maandiko mliyoyaweka hayathibitishi ya kuwa Yesu alisema hayo. Hao wote kina John hawakumuona Yesu na waandishi wake hawajulikani. Vipi habari zao zifanyiwe kazi, tena hasa zinapingana na uhalisia ?

Nukta zilizo baki nakuja kuzimalizia...
1. Koran haitaja mji , ila binadamu ndio wamekuja kumsaidia Allah na Kuweka mji, Koran ni kakitabu bila mikono ya pembeni hakaeleweki kabisa, Isa Kwa mujibu wa Koran yenyewe haijulikani kazaliwa wapi

2. Ukiuliza habari za mathayo alizitoa wapi , kwanza ujiulize habari za Isa muhammad alizitoa wapi ? Tena habari za Isa ambae Koran inasema ni ndugu yake Musa na Haruni na baba Yao Imran

3. Nilisha kuonya usiwe una debate kitoto , wewe unaamini Muhammad alikabwa na jibril akapewa story za Isa , na wakristo wanaamini maandiko yameandikwa kwa watu kuona na kuvuviwa na Roho mtakatifu,

4. Yesu ni mwana wa Mungu na hiyo lipo wazi kabisa , na wala sio mwana kwa kuzaa ndio maana hili swala lilimsumbua Sana Allah mpaka akanza kujizalilisha na kusema atazaa na Malaika au houris ,

5. Yesu amejitambulisha kuwa Mungu sehemu nyingi Sana , na sehemu nyingine kwa matendo kabisa kama kusamehe dhambi , unapokuja kwa Imani ya kikristo Imani Yao ielewe kuhusu Mungu, ukileta Imani Yako ya Allah ambae ni physical being haiwezi ingia kwa Imani ya Jehovah ambae ni spirit

Kisa Cha Isa kwenye Koran ni cha kuchekesha sana , mara Allah alitengeneza bandia , akawadanganyishia watu mara wakaona yule bandia kafanana na original, Allah akawacha waumini uongo wake akaja miaka elfu na zaidi ndio anasema nikiwadanganya , full vituko
 
Wakristo ngoja niwaambie ukweli, na hapa si watukani, yaani nyiny hamsomi na wala hamfanyi utafiti kadhalika hamuhoji.

1. Mfano huo utofauti wa kwanza, nitakuuliza. Andiko leno limetaja mji, andiko letu limetaja sehemu husika kabisa chini ya mtende. Sasa mlivyo vilaza, mkashindwa kuulizwa huo mtende ulikuwa sehemu gani na ni mji gani. Ukisoma Tafsiri ya Ibn Kathir amethibitisha ni BaytLahm (Bethelehem/The house of meat). Ndiyo maana nikasema hivi hakuna anae weza kuthibitisha hili kwa hoja na ushahidi ya kuwa Yesu siyo Issa.

2. Nukta ya pili,ukianza kuchambua andiko lenu kuanzia kwa Matayo, tuanakuja kuona kabisa Matayo hakimdiriki Yesu, tunauliza habari za Yesu alizipata wapi toka kwa nani ? Qur'aan imeeleza wazi kwamba Allah alimtoa mja wake na akawawekea mfano wa mja wake. Hapa mmoja ni muongo, yaani Nyinyi Wakristo ndiyo waongo. Kwa sababu nyingi sana, kwanza Allah hamuachi ja wake ateseke na kudhalilika na ndiyo maana akamuokoa hapo.

3. Hapa pia kuna uongo mwingi. Marko hakuwahi kumuona Yesu habari za Yesu amezitoa wapi ? Na nani ameandika Injili ya Marko ? Hapa kuna hitilafu kubwa. Kisha tunakuja kwenye mstini yenyewe.

4. Hii nukta nyingine ambayo haithibitishi ya kuwa yesu ni mwana wa Mungu. Wai Yesu alisema yeye ni mwana wa mungu ? Lakini je katika Biblia yenu tamko "mwana" limetumika kwa yesu peke yake ? Kama siyo kwanini iwe mnashadadia kwa Yesu tu ?

Kingine ili mtoto awe mtoto baba akiwepo sharti lazima awepo mama, mama wa Issa mnataka kusema alipataje ujauzito wa Yesu ?

Kingine kilugha ukisema "Mwanafulani" si lazima kuwe na mafungamano ya uzao au damu. Mfano leo hii kuna "Mwanamichezo" siyo kwamba "Michezo imemzaa fulani" bali mtu huyo ni mtu wa michezo au "Mwana masumbwi" hii ina maana mtu husika ni mtu wa masumbwi. Leo sisi binadamu tunaitwa "Wana wa Adamu" haimaanishi tumezaliwa sote na Adamu. Kwahiyo tukiwapa miaka yote mpaka mnakufa hakuna yeyote atakaye thibitisha ya kuwa Yesu ni mtoto wa Mungu, bali ni mtu wa Mungu kama ulivyo wewe yaani mtu anajishughulisha na mambo ya mungu katika ujumbe na mfano wake.

5. Hakuna sehemu yoyote ambayo Yesu alisema yeye ni Mungu, bali nyie ndiyo mnasema yeye ni Mungu, na hayo maandiko mliyoyaweka hayathibitishi ya kuwa Yesu alisema hayo. Hao wote kina John hawakumuona Yesu na waandishi wake hawajulikani. Vipi habari zao zifanyiwe kazi, tena hasa zinapingana na uhalisia ?

Nukta zilizo baki nakuja kuzimalizia...
  • Tunaona kwenye koran inamtaja Issa, Babu yake ni Imran na Uncle zake ni Haruni na Mussa
    3;35.
    Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
    36.
    Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
    19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
    66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
  • Tunaona Huyu Isa wa Allah alikimbia msalaba , na Allah akatengeneza Issa mwingine ambae anafanana na Isa original ili Isa clone (cloning) asulubiwe(Hiki kitendo hakipo kwenye historia yoyote kabla ya Muhammad)
    • Koran 4:157. ................................ - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu...........
    • Cloning -is the process of producing individuals with identical or virtually identical DNA, either naturally or artificially
 
Shida ya hawa ni moja tu dini yao na usiombee ukapata binti wa kisalamu alafu baba yake ni shekhe kuoa hapo ni ngumu kabisa ila usijali tukishapata vizingiti vya wazazi wao ndio tuwarudia nyie
Jitahidi tu mkuu kwan kuitwa Abdallah shida nini mkuu😁😁😁
Mpaka ukataliwe huko urudi kwetu na sie tushaitwa wakina Aisha…
 
Mkuu jaribu kula kitimoto hutajutia maamuzi yako,achana na hayo mapokeo ya hizo story za huko uarabuni zinakuchosha tuu...[emoji3][emoji3]
Kitimoto ina mfanya Mwanaume kuwa "Duyuthi" sasa ulizia au tafuta maana ya tamko hilo.
 
aiseee umejieleza mwanzo mwisho ila sijaona hoja yako ngoja nikuulize kitu kwa wanasayansi wanaoandika habari za kina Isaack Newton sijui Na wanasayansi wengine wale wa zamani kwani waliwaona hao kina Isaack Newton???
Swali zuri, nimesoma elimu ya uhakiki wa habari na nina endelea kuisoma, sababu ni pana sana.

Jibu rahisi, hawakuwaona. Swali linakuja walizipataje habari zao ?

Kitambo cha kuondoka mfano Isack Newton na kuandikwa kwa mara ya kwanza ilikuwa ni lini ?

Mimi leo hii wewe nikikuomba unithibitishie ya kuwa Isack Newton aliwahi kuwepo duniani kielimu huwezi zaidi ya kuamini tu. Ila kwa upande wetu sisi huwa tunaitafuta "chain" na njia zaidi ya mona mpaka kufikia kwenye "Primary Source" kisha tunaanza kuihakiki.

Historia ya mtu/vitu inaandikwa kulingana na watu walivokua wanaona. Biblia ni kama hadithi zinasimuliwa kizazi na kizazi hivyo walioandika wameandika kwa yale maono/hadithi walizosikia ndo mana kuna baadhi ya maandiko kwenye mathayo yapo ila kwenye Marko hamna we unadhan kwann kuna utofauti??
Sasa Biblia yenu inakosa hizi sifa. Mimi nakuuliza swali la msingi, mathalani tumuongelee Marko/Mark. Yeye habari za Yesu alizipata wapi ? Kutoka kwa Yesu mpaja yeye kilipita kitambo gani ? Je alirithishwa kutoka kwa nani ?

Kingine je ni kweli Marko aliandika hiyo Injili inayoitwa ya Marko ? Au nani aliandika Injili hiyo ? Kwanini zinapingana ?

Biblia yote hiyo imeandikwa siyo kwa "Eye witness" toka kwa Yesu ndiyo maana ina pingana sana andiko moja na lingine, kingine baada ya hapo hamja ya hakiki maandiko hayo.

Kwanini habari zao zitofautiane na zote kama kweli zimetoka kwa mtu mmoja ? Usiishie tu kuandika kwamba haya yapo kwa Mathayo na haya hayapo, vipi kuhusu kutofautiana kabisa ?
YESU hakukaa chini kuandika historia yake mwenyew bali ni hadithi ambazo watu walikua wakisumuliwa wakaamua kuzitunza kama kumbukumbuku(kwa uelewa wangu) naamini hata Mtume Muhhamad S.W na yeye ana hadithi zake ambazo huwa zinasimuliwa inamaana tuseme wanaosimulia wanatudanganya kwasababu hawakuwepo??

Sahihi kabisa, na tunajua kabisa Yesu alikuwa na Wanafunzi kumi na mbili, je yupo yeyote ambaye amechukua habari za toka kwa Wanafunzi wake au kuna andiko lolote ambalo mwanafunzi wake akisimulia habari za Yesu kwa aidha kwa kusema "Nimemuona Yesu akisema kadha wa kadha" au "nimemsikia Yesu akisema kadha wa kadha" ?

Tofauti na kwa Mtume Muhammad, yeye wanafunzi wake waliyatunza na wakawasimulia wanafunzi wao kisha wakawasimulia walio kuja baada yao mpaka kufika kwetu. Hili kwenu halip.
 
Mbona unapanic..
Hiyo siyo dini ya babu yako wala mama yako wala mjomba wako.
Dini yenyewe umeletewa mkuu no matter babu wa kizazi cha pili au vipi.

Binadamu anazaliwa hana dini na sio kila imani inafaa kwa watu wote.

Siwezi kupanic kwa jambo dogo kama hili, mimi nimekupa stahiki ya kukuambia wewe mjinga sababu umeuliza swali la kijinga.

Nimecheka sana, rejea swali lako, nimekujibu kwa mujibu wa swali ulilo uliza.

Na kama ungekusudia hivi ulivyo andika pia ningepita mapito uliyo pita sasa.
 
  • Tunaona kwenye koran inamtaja Issa, Babu yake ni Imran na Uncle zake ni Haruni na Mussa
    3;35.
    Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
    36.
    Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
    19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
    66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
  • Tunaona Huyu Isa wa Allah alikimbia msalaba , na Allah akatengeneza Issa mwingine ambae anafanana na Isa original ili Isa clone (cloning) asulubiwe(Hiki kitendo hakipo kwenye historia yoyote kabla ya Muhammad)
    • Koran 4:157. ................................ - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu...........
    • Cloning -is the process of producing individuals with identical or virtually identical DNA, either naturally or artificially
Shida yako moja kijana unarudia yale yale ambayo ushajibiwa na ukakosa hoja. Sasa huu usulubu unatakiwa uubadilishe sababu unapotezea watu muda. Yaani kila siku unajibiwa jambo hilo hilo unajibiwa unakimbia unakuja tena kulirudia jambo hilo.
 
Ideally zote ni Abrahamic religions lakini uchunguzi wa kina unaonyesha Islam wanamuabudu Allah ambaye siyo Yehova ambaye ni Mungu wa Abraham. Unaweza ukasema ni majina tu, Mungu ni yuleyule lakini siyo kweli
Karudie tena kufanya huo uchunguzi wako
 
Shida wazazi wake
Ila haya mambo yanasumbua sana. Nina ndugu yangu alimpenda binti wa kiislamu, siku kafunga safari akajitambulishe baba mtu akasema hataki kafiri ndani mwake. Yule binti kaolewa sasa na muislam mwenzake ndugu yangu anang'aa tu macho. Pole sana rafiki.
 
Asante mkuu shida ya wale wanatuona sisi kama vile ni iddi amini na wana lugha chafu Sana kwetu alafu wanaume wa kislamu wengi wao Wana tabia chafu haswa kufanya Wanawake zao kinyume na maumbile
 
Back
Top Bottom