Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Safi kabisa, swali langu rahisi sana tunajua wote Luka hakumuona Yesu. Katika andiko hapo juu halijawaainisha hao walio shuhudia na kuwahadithia kwa maana ya kuwa walihadithiwa na nani na kina nani waliwashuhudia. Sababu andilo la Luka la kwanza linaonyesha kabla yake wapo walio andika maandiko kinyume na wale walio wa shuhudia. Je walio shuhudia ni kina nani ? Wanafunzi wa Yesu au kina nani ?

Pili, hujajibu hoja yangu ya kunyesha ya kuwa matini inatakiwa isomeke hivi "Nimemsikia Yesu akisema kadha wa kadha" au "Nimemuona Yesu akisema kadha wa kadha" au "Ametuhadithia mwanafunzi wa Yesu kadha wa kadha"

Mungu inakuwaje afe na alifufuka au alifufuliwa na kama alifufuliwa nani alimfufua ?

Wapi Yesu anasema ya kuwa naondoka nawaachia Roho mtakatifu kwa ajili ya kuwafunulia mambo ?

Tutajuaje kama hayo ni maono na si maoni ya waja ?

Unakubali kwamba Yesu ameondoka hakuacha kitu kinachoitwa BIBLIA ?

Nisaidie maswali yafuatayo :

1. Nipe ushahidi ya kuwa Marko alifunuliwa hayo aliyo yaandika.

2. Nipe ushahidi wa kuwa ni kweli Marko ni yeye aliandika hayo aliyo yaandika.


3. Sitaki kujua aliandika lini, ila nataka ushahidi unao onyesha ya kuwa ni kweli aliandika.
Huna akili
 
Huu uzi naona baadhi ya watu kama mnauharibu kwa kujadili vitu ambavyo havihusiki na Mada husika.

Hali kama hii ilisababisha lile Jukwaa la Dini likafichwa.
 
Sasa Yesu si mnasema ni Mungu ? Mbona alikuwa ana miguu, mikono, kichwa vile navyo ni roho ? Wakristo mazwazwa sana.

Yesu mnasema ni Mungu mbona alikufa na mnasema akafufuka ? Nani alimfufua mungu wenu aliye kufa ?

Halafu kwanini maandiko yenu yote yenye utata ndiyo mnaingiza maana za kuwa yanasema Yesu ni mungu ila maandiko yaliyo nyooka yanayo thibitisha kuwa siyo mungu mnayapuuza ? Akili zenu haziko sawa.
Ndio nimekwambia , Allah ni physical being , ana mguu ,mkono,macho ,penis , makalio n.k

Jehovah ni Roho

Yesu alikuwa Mungu na Human flesh , kwa Allah hili haliwezekani kwa sababu yeye tayari ana umbo anachoweza Allah ni kujibadili maumbo ila kutumia human flesh hawezi

Kilicho uliwa ni human flesh , na Yesu mwenyewe alisema aliufufa ule mwili ukawa hai

Majina yote 99 ya Allah Muhammad kayaiga kutoka kwa Yesu
 
Nitajie wanne tu Wakristo walioandika Qur'aan. Yaani kuna muda unaandika mambo ambayo hata tukikuomba ushahidi unajua huna.

Kingine, maswali ninayo wauliza mjitahidi kuyajibu yatawasaidia sana, shauri yenu.
Unazijua surah ndefu za koran?
Huyu hapa mwamba mkristo Alie andika badae mkaja kumchinja
muhammad alikuwa hajui Ata jamaa anaandika nini yeye anakariri tu

Narrated Anas:
There was a Christian who embraced Islam and read Surat-al-Baqara and Al-`Imran, and he used to write (the revelations) for the Prophet. Later on he returned to Christianity again and he used to say: "Muhammad knows nothing but what I have written for him.
Sahih bukhari 3617
 
Pia kati ya vitabu hivi viwili Biblia na Quran kimoja ni copy and pest ya kingine na vinatofautishwa na lugha iliyotumika ndani yake na wahusika wa nyongeza.
Tofauti kubwa inatokea kwenye agano jipya!
Hapa ndo wamepigwa chenga kubwa sna
 
Unataka kusema Isa alikuwa mwarabu na Yesu myahudi?
Mambo ya isa siyajui
Ila Yesu alikuja kule ili kutimiza sheria zote
Soma bibilia yako!

Ili ujue Yesu ni nani,soma vzr Yohana 1....
 
Naomba unionyeshe kwenye Qur'aan amesema hivyo wapi ? Ukinionyesha nakuwa Mkristo.

Shida yenu mnakuwa wajinga mpaka ujinga unawashangaa, hamsomi mnapenda kusikia na kusambaza maneno.
Sasa muislam na mkiristo mwenye Elimu ni nani kwenye hii dunia?unatishia watu kusoma
 
Tillikua na jukwaani la dini nondo zilishushwa kibao kule wamelifuta

Hata hapa tukiamza shusha nondo uzi utafungwa na wengine kula ban

So kama unataka nenda katafute uone mwenyewe ya kwamba hao watu wawili tofauti

Akili unazo,nguvu unazo na uwezo unao usituchoshe
Jukwaa la dini lipo , omba access
 
Tatizo huyo jamaa aliyeanzisha hiyo dini yao alitaka kujustify uwepo wa dini yake kwa kuwalazimisha kuziua dini nyingine alizozikuta. Kitu ambacho hajafanikiwa hadi leo.
Tupo kwenye boti moja chief, hata mimi nataka kuoa muislam kindaki ndaki tatizo dini yao hairuhusu kuolewa na mtu wa dini nyingine. Japo mwanaume wa kiislam anaruhusiwa kuoa mwanamke wa kikristo na kiyahudi.

Ulichokosea ni kutomtia mimba huyo mrembo, ilitakiwa ucheze faulo tu kibabe basi upinzani ungekosa nguvu. Wangu is a doctor hata kufunga offside goal ya mimba ni ngumu.

Maajabu ni kwamba mtu akiongezewa damu hospitali haulizi kama hii ni ya mkristo au muislam. Hizi dini za kigeni zina tutenganisha kijamii badala ya kutuunganisha.
 
Ndiyo ujue sasa kuna sehemu ulikosea.

Huwa nashangaa sana kuona binti wa Kiislamu ana mahusiano na kijana wa Kikristo, maana yake huyo binti hana DINI.
Ila Binti wa kikristu ni haki ya kuanzisha mahusiano na Muislam
 
Ukifata taratibu za kuoa ukiona wameleya ubishi, Komesha ni kupiga mimba tu, alafu tulia
Hapo ndiyo utaharibu mkuu acha fikra Duni, Mimi Nina mdogo wangu wa kike jamaa alianza kumpa Mimba kwanza matokeo yake yule jamaa familia yake ikamsusia Msala wake, mpaka sasa jamaa nahisi anajuta kumpa Mimba yule mdogo wangu ambaye yeye ni mkristo wakati aliyemzalisha ni Islamic.
 
Ni rahisi sana mwanaume wa kikristo kumpenda binti wa kiislam kuliko mwanaume wa kiislam kumpenda binti wa kikristo.

Pia hata ikitokea ya mwaume wa kiislam kumpenda binti wa kikrito. Dini ya kiislam inaruhusu mwanaume wa kiislam kuoa binti wa dini ya kikristo. Ila hairuhusu binti wa kiislam kuolewa na mwanaume wa kikristo ama dini nyingine tofaut na ya kiislam.

Wanawake wa kiislam wanavutia sana wanaume wa kikristo sababu ya usafi na mavazi yao ya heshima ya kujisitiri. Ndio maana wanapendwa sana na wanaume wa kikristo shida kuwaoa ndiyo dini ya kiislam inakataa binti yao asiolewe na dini ingine
Aliyekataza ni nani na alikuwa na lengo gani?
Msipofahamu haya mtapata taabu sana
 
Ni hatari mimi marehemu baba alisema nikioa mwanamke wa kiislamu hatakaa aingie kwenye kizingiti cha mlango wake hata akiwa kaburini naogopa kweli kweli. ingawa nilipataga toto moja inajua kunidekeza hatari nikaona simfanyii poa nikamuacha nisimpotezee mda.Hizi dini bana.
Yan mzee wako kma wangu
 
Hoja yako iko wapi hapo ? Ndiyo umethibitisha Yesu ni mungu au ni njia ?
Huna akili vizuri utakuwa,unasema unamwamini nabii Issa,kwa kuwa Quran imemtaja sasa inakuwaje hujaelewa hoja kama unamuamini mfuate upate kukombolewa.
Acha ulevi.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom