APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Hii ishu niliisikia kwa aunt,toka mwezi wa 6 hivi, nikajiunga vinzuri ila ishu ilikuja pale nilipotaka kuweka pesa, kila nikisema ngoja nikaweke pesa nakuwa bize napotezea.
Nikaipotezea kama miezi 2, mwezi wa 8 aunt akanionyesha ela zake kwenye account duuh account imeshiba kinoma inakama million 6 hivi, akaniambia haitoi mpaka pale itakapofikia million 10, nikamwambia itoe akagoma katukatu.
Akanihamasisha niweke pesa kwenye account, MUNGU sio asumani, kweli nimeenda kwa wakala kuweka pesa, nilipofika tu nimetoa laki 2 mama kanipigia simu ana shida ya laki na sabini daah nikaona bora nimtumie mama, nikajisemea kalynda ipo tu nitaweka siku nyingine.
Juzi kati nasikia watu walitaka kuhack, kumbe ni mbinu viongozi wa kalynda walitumia kuwadanganya watu,leo hii aunt presha juu haamini kilichotokea.
Namshukuru MUNGU kwa kunipa moyo wa uvumilivu, huwa sipendi kukurupukia jambo linapozuka huwa natuliaga pembeni kusoma mchezo, hata nikichelewa vipi najuwa kama jambo ni jema nitalikuta wakati mwingine, hata kipindi social network zilipokuja nilitumia miaka mingi kujiingiza.
Sisi watanzania ni mabunyenye, tunapenda kitonga sana, vitu vya bure bure ndo tunavyovihitaji, hakuna kitu cha bure kwenye hii dunia, kila kitu kinapokuja kinakuwa na lengo la kukupiga tu.
Ndo maana sasa hivi mtaani makamari ya kichina yamejaa kuliko kanisa na msikiti, ukisikiliza kila redio chota mihela, mara betting, hao wanaoleta hivyo vitu wanajua watanzania ni maboya, hawapendi kuchunguza jambo kazi kupaparikia.
Tanzania utamkuta baba anabet, mama anacheza Chota mihela, watoto wanabet, hivi kwa dizaini kama hii taifa litaendeleaje?
Serikali ilikuwa wapi kipindi chote hicho, au serikali nao wanahusika? Kama wao ndo wanatoa vibali basi pia wanashiriki kutuibia.
Siku inzi ata acha kula mavi,ndo siku atatengeneza asali, nyuki ni mdudu ameamua kuwa bize na maisha yake, ndo maana anachokifanya kinaonekana kutuletea asali. Basi kwanini tusiige kwa nyuki?
ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD.
APPROXIMATELY ONCE AGAIN.....