Nilitaka kupigwa Kalynda ila nikastukia

Nilitaka kupigwa Kalynda ila nikastukia

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
2,035
Reaction score
2,715
Hii ishu niliisikia kwa aunt,toka mwezi wa 6 hivi, nikajiunga vinzuri ila ishu ilikuja pale nilipotaka kuweka pesa, kila nikisema ngoja nikaweke pesa nakuwa bize napotezea.

Nikaipotezea kama miezi 2, mwezi wa 8 aunt akanionyesha ela zake kwenye account duuh account imeshiba kinoma inakama million 6 hivi, akaniambia haitoi mpaka pale itakapofikia million 10, nikamwambia itoe akagoma katukatu.

Akanihamasisha niweke pesa kwenye account, MUNGU sio asumani, kweli nimeenda kwa wakala kuweka pesa, nilipofika tu nimetoa laki 2 mama kanipigia simu ana shida ya laki na sabini daah nikaona bora nimtumie mama, nikajisemea kalynda ipo tu nitaweka siku nyingine.

Juzi kati nasikia watu walitaka kuhack, kumbe ni mbinu viongozi wa kalynda walitumia kuwadanganya watu,leo hii aunt presha juu haamini kilichotokea.

Namshukuru MUNGU kwa kunipa moyo wa uvumilivu, huwa sipendi kukurupukia jambo linapozuka huwa natuliaga pembeni kusoma mchezo, hata nikichelewa vipi najuwa kama jambo ni jema nitalikuta wakati mwingine, hata kipindi social network zilipokuja nilitumia miaka mingi kujiingiza.

Sisi watanzania ni mabunyenye, tunapenda kitonga sana, vitu vya bure bure ndo tunavyovihitaji, hakuna kitu cha bure kwenye hii dunia, kila kitu kinapokuja kinakuwa na lengo la kukupiga tu.

Ndo maana sasa hivi mtaani makamari ya kichina yamejaa kuliko kanisa na msikiti, ukisikiliza kila redio chota mihela, mara betting, hao wanaoleta hivyo vitu wanajua watanzania ni maboya, hawapendi kuchunguza jambo kazi kupaparikia.

Tanzania utamkuta baba anabet, mama anacheza Chota mihela, watoto wanabet, hivi kwa dizaini kama hii taifa litaendeleaje?

Serikali ilikuwa wapi kipindi chote hicho, au serikali nao wanahusika? Kama wao ndo wanatoa vibali basi pia wanashiriki kutuibia.

Siku inzi ata acha kula mavi,ndo siku atatengeneza asali, nyuki ni mdudu ameamua kuwa bize na maisha yake, ndo maana anachokifanya kinaonekana kutuletea asali. Basi kwanini tusiige kwa nyuki?

ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD.
APPROXIMATELY ONCE AGAIN.....
 
Halafu ukutwe waliopigwa kwenye hiyo kalynda ni wasomi wenye digrii zao vichwani wengine mastaz, wamekariri madesa tu
Kuna dogo, ana digrii, mwajiriwa, alijiunga tarehe 6/10. Sijui amenusurika au na yeye kaliwa kichwa!

Alielekezwa na msomi mwenzie wa digrii ambaye pia ni mwajiriwa.

Hongera walioshinda na poleni walioshindwa kwenye huo ujinga.
 
Mwenyewe kuna mtu alikuwa ananishawishi sana kujiunga daily ananitumia Link za kujiunga halafu hakomi hii mara ya tatu anagwa na makampuni ya dizain hyo na ni msomi na masters yake kufanya biashara hataki anataka Hela za kudownload
 
Hii ishu niliisikia kwa aunt,toka mwezi wa 6 hivi, nikajiunga vinzuri ila ishu ilikuja pale nilipotaka kuweka pesa, kila nikisema ngoja nikaweke pesa nakuwa bize napotezea.

Nikaipotezea kama miezi 2, mwezi wa 8 aunt akanionyesha ela zake kwenye account duuh account imeshiba kinoma inakama million 6 hivi, akaniambia haitoi mpaka pale itakapofikia million 10, nikamwambia itoe akagoma katukatu.

Akanihamasisha niweke pesa kwenye account, MUNGU sio asumani, kweli nimeenda kwa wakala kuweka pesa, nilipofika tu nimetoa laki 2 mama kanipigia simu ana shida ya laki na sabini daah nikaona bora nimtumie mama, nikajisemea kalynda ipo tu nitaweka siku nyingine.

Juzi kati nasikia watu walitaka kuhack, kumbe ni mbinu viongozi wa kalynda walitumia kuwadanganya watu,leo hii aunt presha juu haamini kilichotokea.

Namshukuru MUNGU kwa kunipa moyo wa uvumilivu, huwa sipendi kukurupukia jambo linapozuka huwa natuliaga pembeni kusoma mchezo, hata nikichelewa vipi najuwa kama jambo ni jema nitalikuta wakati mwingine, hata kipindi social network zilipokuja nilitumia miaka mingi kujiingiza.

Sisi watanzania ni mabunyenye, tunapenda kitonga sana, vitu vya bure bure ndo tunavyovihitaji, hakuna kitu cha bure kwenye hii dunia, kila kitu kinapokuja kinakuwa na lengo la kukupiga tu.

Ndo maana sasa hivi mtaani makamari ya kichina yamejaa kuliko kanisa na msikiti, ukisikiliza kila redio chota mihela, mara betting, hao wanaoleta hivyo vitu wanajua watanzania ni maboya, hawapendi kuchunguza jambo kazi kupaparikia.

Tanzania utamkuta baba anabet, mama anacheza Chota mihela, watoto wanabet, hivi kwa dizaini kama hii taifa litaendeleaje?

Serikali ilikuwa wapi kipindi chote hicho, au serikali nao wanahusika? Kama wao ndo wanatoa vibali basi pia wanashiriki kutuibia.

Siku inzi ata acha kula mavi,ndo siku atatengeneza asali, nyuki ni mdudu ameamua kuwa bize na maisha yake, ndo maana anachokifanya kinaonekana kutuletea asali. Basi kwanini tusiige kwa nyuki?

ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD.
APPROXIMATELY ONCE AGAIN.....
Kwahio na ww sas hv ungekuwa msibani/ miongoni mwa walio kula khasara.....sio?
 
Tena kwa viwango vikubwa ajabu wanaocheza pia Ni wasomi wazuri tu Kuna mtu namfahamu Ni engineer wa mstaafu na mwingine mama mfanyakaz wa bank ya nbc alimwaga pesa qnet na klynda walipigwa had nawaonea hurumaa
Mabenk waache kucheza hiyo michezo kama kweli inafaida ?
 
Nilichojifunza kwenye hii issue ni kwamba watanzania wengi bado ni wajinga sana
Kabisa.
Nimeona video ya mahojiano ya dogo fulani eti anasoma udaktari Kampala universitu anadai kapigwa kama mls 5 na anadaiwa na maprofesa wake watatu nao aliwashawishu wakajiunga na wanafunzi kibao. Anadai kuna hadi wanasiasa na viongozi wa serikali wakubwa walikuwa wanakutana pale.
Anasema sasa hivi anaishi kama digidigi kwakuwa ameingiza wanafunzi wengi na alikuwa kila akiwafanyoa seminar pale chuoni kalynda wanamrushia tshs200000
 
Back
Top Bottom