Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Karma is bitch.
Mapenzi ni upofu ila mwisho wa siku unaweza kuona bila kutarajia, wakati unataka muwe familia mmoja yeye anaweza mengine. Nilimpenda sana huyu binti mpaka maisha yangu yamepunguzwa kwake baada ya akiba yangu kumpa ili tu tuwe wote.
Mwanaume nikaona mke ndio huyu nika jitosa kwao na wazazi wakanipa baraka tukapeleka posa na kutangaza ndoa, kimbembe kikaanza hapo sasa. Vituko kibao sijui tuwachane, kuna kipindi tupo kwenye mipango ya harusi miezi 6 sija wai kumuona wala kwao mawasiliano.
Nilifika kwao ila wazazi wake waliniomba nitafute mwengine maana aibu kwao kwa hayo mpaka wenyewe hawaja wasiliana naye.
Niliumia sana na nilipata aibu sana ikapita miaka 6 kuanza kunitafuta tena bahati mbaya au nzuri kwao na kwetu ni majirani kupata namba, anaanza kubembembeleza wakati kazailishwa na mume wa mtu na mtoto ni mkubwa mpaka wanapelekeshana ustawi wa jamii .
Kinacho muumiza zaidi kabaki anatangatanga huku akiona mimi na maisha mazuri ya furahaa na familia.
Prof. Jay-Nikusaidiaje