kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
- Thread starter
- #21
alikuwa mjanja sana alinambia lipia kabisa wamalizie kufunga kitasa na mlango ilikuwa ni gheto jipya hee kesho yake kuja nakuta mtu ashahamia na umefungwa mlango tayari means kazi ilifanyika siku hyo hyo nilivoondoka tuUlivyolipia ungeomba ufunguo π π π