kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
- Thread starter
- #61
Umeniquote vibayaSasa umejuaje kuwa sijawahi kutapeliwa? Au ni muhimu kuja kuhadithia humu?
Dodoso langu lilikuwa kuhoji endapo tanakuri nilizoziwasilisha zimekuchekesha kwa namna njema
Na sio kuleta talanta zozote za mabishano baina yetu au wasilisho lako pia kuliwasilisha kwa mantiki ya kusema kwamba si kila jambo si kila mtu aona muhimu kuliwasilisha kwa hadhira
Ni hivyo tu madam na si marumbano ya tafakuri zetu