Nilitapeliwa mpaka nahisi Dar es Salaam kila mtu ni tapeli

hahaha nilikutana nao na classmate wa form one miaka hyo akanijia kwa fb na package za laki 6 na wamefungua mpaka ofisi na watu wengi tuliwepo kama shule vile tunapigwa hyo elimu na mafanikio unaona haya hapa,, afu clasmate ananishawish kwa mifano hai kabs nkakubali sema nilikuwaga na mwanangu huyo namshirikisha kila mchongo tujue tunapgaje nd huo mwanangu akanambia hapo uwongo akanifungua akili kwel nilichomoka kihvo
 
Single mother hatujaona % zetu hapo....
Unatupa ngapi?
Kuna CHAPUTA na KATAA NDOA nao sijaziona % zao.
Yaani Jf humu mambo ni moto, mambo mengi kuliko upele wa takoni 😅😅😅

Kuna mkuu alishawahi kuniPM akaniambia katika kundi ambalo sitakiwi kuligusa humu ni single mamaz...hii ilikuwa baada ya mimi siku moja kutema cheche kuhusu single mamaz

Nilimuelewa

Kwa hiyo najizuia sana kutaja hilo kundi kwasababu sitaki vita na mwisho wa siku mimi pia nitakuja kuwa mama siku moja na sijui mwisho wangu 😃

CHAPUTA hao si wanaweza kuchukua 99% 🤣

Kataa ndoa hao sio wa kuwazingatia,mtu anapinga ndoa huku yupo ndani ya ndoa
 
hahaha nilikutana nao na classmate wa form one miaka hyo akanijia kwa fb na package za laki 6 na wamefungua mpaka ofisi na watu wengi tuliwepo kama shule vile tunapigwa hyo elimu na mafanikio unaona haya hapa,, afu clasmate ananishawish kwa mifano hai kabs nkakubali sema nilikuwaga na mwanangu huyo namshirikisha kila mchongo tujue tunapgaje nd huo mwanangu akanambia hapo uwongo akanifungua akili kwel nilichomoka kihvo
Hongera hukunasa mimi nilidandia mtumbwi wa vibwengo asee
 
Hao watu wakujiita wa dar kaa nao makini usiwaamini kabisa kwenye suala la biashara.. Kuna Mzee mmoja niliunganishwa na vijana wake huku mkoani nikaambiwa ni Mzee wa heshima zake ni kweli alikuwa meneja wa mabasi ya Osaka Raha hapo ubungo enzi hizo... Mzee nimefanya nae kazi namtumia mzigo mpaka wa ml 1 tunalipana vzuri tu... Tulienda hivyo hivyo mara mawasiliano yawe hafifu lkn baadae nilikuja kumsoma Mzee ni muhuni wa zaman huwezi amin alikuja kupita na 175k pesa ndogo sana akapotea hewani na biashara yetu ikaishia hapo

Mzee ally kivuyo popote ulipo huu ni mwaka wa 3 unatembea na jasho langu... Kwa Imani yangu sijapoteza ila ww ndio umepoteza.

Jamaa mwingine alijifanya ananijua sana sijui hata namba yangu aliipata wapi, alikuwa ananitumia pesa namtumia mzigo tulienda hivyo kwa miezi sita hatufaamiani zaidi ya sauti, Kuna kipindi akafunga safari akaja mpaka huku nilipo tukafahamiana kwa sura, huwezi amini nilimfungia mzigo wa laki 3, nilisumbuka sana kuipata pesa yangu mwisho wa siku alituma laki 2 kwa mbinde mpaka Leo hiyo laki nilisamehe

Visa ni vingi sana mpaka Leo uikinambia ww upo dar unakula block ya kimya kimya maana najua hapo biashara hamna zaidi ya uhalifu... So wapambanaji wenzangu kuweni makini na hao jamaa wa pande hizo hawana chembe ya utu hata kidogo
 
Kaka mimi ni mweusi wa kuzaliwa hiyo dp ndio uhalisia wa rangi yangu
Pole mkuu.

Kipindi nasoma alikuja room mate mmoja mjanja mjanja sana, kiswahili kingi na yuko sharp mdomoni. Kaa za kuleta habari za kujiunga sijui na manini huko, eti upeleke mtu tu na huyo mtu alete mtu. Kadri chain inavyoongezeka ndio unavyozidi kuwa na ukwasi wa kutosha. Kaleta na tumifano twa kuwithdraw pesa ili atuingize kingi

Kuna jamaa wakataka kuingia kwenye mfumo, ila mie nilimchana live, awaokote haohao WAMANG'ATI.
 
Umeonge
Hao watu wakujiita wa dar kaa nao makini usiwaamini kabisa kwenye suala la biashara.. Kuna Mzee mmoja niliunganishwa na vijana wake huku mkoani nikaambiwa ni Mzee wa heshima zake ni kweli alikuwa meneja wa mabasi ya Osaka Raha hapo ubungo enzi hizo... Mzee nimefanya nae kazi namtumia mzigo mpaka wa ml 1 tunalipana vzuri tu... Tulienda hivyo hivyo mara mawasiliano yawe hafifu lkn baadae nilikuja kumsoma Mzee ni muhuni wa zaman huwezi amin alikuja kupita na 175k pesa ndogo sana akapotea hewani na biashara yetu ikaishia hapo

Mzee ally kivuyo popote ulipo huu ni mwaka wa 3 unatembea na jasho langu... Kwa Imani yangu sijapoteza ila ww ndio umepoteza.

Jamaa mwingine alijifanya ananijua sana sijui hata namba yangu aliipata wapi, alikuwa ananitumia pesa namtumia mzigo tulienda hivyo kwa miezi sita hatufaamiani zaidi ya sauti, Kuna kipindi akafunga safari akaja mpaka huku nilipo tukafahamiana kwa sura, huwezi amini nilimfungia mzigo wa laki 3, nilisumbuka sana kuipata pesa yangu mwisho wa siku alituma laki 2 kwa mbinde mpaka Leo hiyo laki nilisamehe

Visa ni vingi sana mpaka Leo uikinambia ww upo dar unakula block ya kimya kimya maana najua hapo biashara hamna zaidi ya uhalifu... So wapambanaji wenzangu kuweni makini na hao jamaa wa pande hizo hawana chembe ya utu hata kidogo
Umeongea kwa hisia sana mkuu na sikupingi katika hili Dar wajanja wajanja ni wengi sana si kwa vijana hadi wazee...

Kiufupi watu waaminifu wapo mikoani, Dar uaminifu ni nadra sana wengi wana tamaa hasa wazawa wa pale
 
Back
Top Bottom