Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Haya mje wana

Kuna dada amemwaga maji huko

Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3.

Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa

Kijana kumpeleka nyumbani kutambulisha, be-hold baba alietembea nae ndio baba mkwe wake

Sasa ananiuliza hapa afanyaje?

Je, wewe unamsaidiaje huyu binti?
 
Back
Top Bottom