kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
endelea kupambana nao wote ibilisi mwema muda wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unamsaidiaje mrembo?Uzinzi na Zinaa ni mbaya sana.
Tamaa mbaya sana. Sometimes You have to be content with what you have. Huwezi ukakimbizana na Dunia sasa kama ni kweli huyo Binti alitembea na Baba wa mpenzi wake hapo kuna ndoa tena?Vijana si hamtoi hela
Acha baba zenu wawatafunie,
Bado hujasema!endelea kupambana nao wote ibilisi mwema muda wote
Binti ana hit and run😂😂Anauliza ushauri gani sasa, wakati mpaka sasa inaonekana wote kashapita nao
Inategemea na akili za muoajiTamaa mbaya sana. Sometimes You have to be content with what you have. Huwezi ukakimbizana na Dunia sasa kama ni kweli huyo Binti alitembea na Baba wa mpenzi wake hapo kuna ndoa tena?
Olewa kilamtu ametafuna kwa mudawakeBado hujasema!
Unamsaidiaje sa?Binti ana hit and run😂😂
AtasikiaOlewa kilamtu ametafuna kwa mudawake
Kienyeji hivoAtasikia
Atafute pengine.Unamsaidiaje sa?
Ameuliza hapaMuulize Mama yako maana ndo anajua kalea mtu mpumbavu wa kiwango gani.
Ulitakaje?Kienyeji hivo
AtasikiaAtafute pengine.
UweeeSa ushauri wa nini tena jamani, vikao vya harusi vianze chap.....
Nipe namba yake nimwelekeze kwa Mtaalam wa Ushauri na saikolojia ya maishaKwahiyo unamsaidiaje mrembo?
Kwahiyo unamshaurije binti?Wote wanalaana Baba na mtoto..
Maana hawawezi kushea Mwanamke..
Wote laaana iko juu yao baba na mtoto