Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

FB_IMG_1713582639968.jpg
 
Haya mje wana

Kuna dada amemwaga maji huko

Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3
Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa

Kijana kumpeleka nyumbani kutambulisha, be-hold baba alietembea nae ndio baba mkwe wake

Sasa ananiuliza hapa afanyaje?

Je wewe unamsaidiaje huyu binti?
Changanya kokoto na mawe mwishoni kitaeleweka
 
Haya mje wana

Kuna dada amemwaga maji huko

Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3
Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa

Kijana kumpeleka nyumbani kutambulisha, be-hold baba alietembea nae ndio baba mkwe wake

Sasa ananiuliza hapa afanyaje?

Je wewe unamsaidiaje huyu binti?
Hadithi kaitoa kutoka tamthilia ya Jua Kali,huyo atakua ndiyo Maria!!
 
Haya mje wana

Kuna dada amemwaga maji huko

Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3
Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa

Kijana kumpeleka nyumbani kutambulisha, be-hold baba alietembea nae ndio baba mkwe wake

Sasa ananiuliza hapa afanyaje?

Je wewe unamsaidiaje huyu binti?
Damn hii ngoma nzito
 
Huyo ni baba mkwe baada ya kuolewa.. kabla huyo ni mteja km wateja wengne.
 
Haya mje wana

Kuna dada amemwaga maji huko

Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3
Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa

Kijana kumpeleka nyumbani kutambulisha, be-hold baba alietembea nae ndio baba mkwe wake

Sasa ananiuliza hapa afanyaje?

Je wewe unamsaidiaje huyu binti?
Baba mkwe anasemaje ???
 
JESUS LOVES THEM AND US ALL

THEY SHOULD AVOID THAT BURDEN OF CURSE EARLY AS POSSIBLE :BASED:
 
Umewaambia habari za Yesu? Ungekuwa umeleta maswali namna ya kuwashuhudia Neema ya wokovu ni sawa. Usimtaje Yesu mahali ahusiki.
Yesu anahusika kila maharishi
Hata waenda kuzimu wakifeli wanamtaka, itakuwa jamii forum?
 
Back
Top Bottom