Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

Haya mje wana

Kuna dada amemwaga maji huko

Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3
Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa

Kijana kumpeleka nyumbani kutambulisha, be-hold baba alietembea nae ndio baba mkwe wake

Sasa ananiuliza hapa afanyaje?

Je wewe unamsaidiaje huyu binti?
Kanuni ni ile ile, kama ulivyomkubalia baba, mkubalie na mtoto.
 
Haya mje wana

Kuna dada amemwaga maji huko

Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3
Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa

Kijana kumpeleka nyumbani kutambulisha, be-hold baba alietembea nae ndio baba mkwe wake

Sasa ananiuliza hapa afanyaje?

Je wewe unamsaidiaje huyu binti?
Wametest mitambo? Atakuwa na sura mbili
  1. Huyo ni mwanaye
  2. Huyo ni mume mwenzake
 
Back
Top Bottom