Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kung'ang'ana na laana si jambo jepesi hata kidogo, ni mzigo mzito Kweli Kweli, na hua inaanza na kuwachukia wanaokushauri uepukane na kikombe hicho 🐒Kwahiyo binti amuache kijana au?
but it will reach a time of realities, mikosi, uharibifu na mfululizo wa mabalaa within your life, then normal sense will start to work and it will be to late, umri umesonga, nguvu zimepungua, binadamu wa kumuomba msamaha hatakuwepo na unaweza kukufuru kwa kuhisi hakuna Mungu 🐒
ajifunze kujitegemea kimwili na kiroho lakini pia awe na hekima na busara kuamua hatma njema ya maisha yake bila kua na makando kando yenye sura ya laana, mahangaiko, uharibifu, majuto na mikosi baadae...
awe mstahimilivu, mwenye subra na maono.🐒
Nami nawaombea vijana wote wa nyakati hizi waliojaa kiburi, majivuno na tamaa, Roho Mtakatifu alainishe mioyo yao migumu sana, iweze kutambua na kuskia vyema sauti ya wito wa Mungu kwenye maisha yao.
Aimen...
Have a very beautiful Sunday 🌹