Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

HALAFU unajua dunia inaenda kasi sana lakini pia vijana wa leo naona kama sisi wazee tunawakimbiza kweli, hii ni kutokana na kupenda urahisi wa mambo.
Vijana ndo walipaswa kula wasicha, vijana wenzao bahati mbaya wanakimbilia kwa mashangazi halafu wanaacha ombwe kwa wenzao wa rika lao. Matokeo sisi wazee tunakuwa na kazi mara mbili.
KWANZA kudeal na rika letu AKA Mashangazi, pili turudi tena kuwasidia kwa hawa watoto wenzenu, hebu mjiongeze basi.

Mtasema ohoo mzee mhuni hapana kwa nature sisi wanaume tunapaswa kula zaidi mara moja ndo maana mwanamke kwa mwezi anatoa yai moja ili hali sisi kila siku unaweza kupiga mbilimbili zenye thamani ya mamilioni ya hela.

Sasa mmeubuka eti kataa ndoa acheni ujinga
Bado hujamshauri binti bro
 
Bado haujasema! hayo ni madhara ya kuzini kabla ya ndoa, mbaya zaidi kuzini bila hata malengo ya hiyo ndoa yenyewe (na baba mkwe).

Ukiishia kuwa tatizo ni wanawake kutembea na wanaume sawa na age za baba zao hapo sikubaliani na wewe, vp kama alitembea na mtu aliyemzidi umri wa miaka mitano then ukaja kugundua ni shemeji yako, mbaya zaidi vp kama mwanamke ametembea na zaidi ya ndugu wawili bila kujuana? (na hii inawezekana sana hasa katika jamii zilizo nje kidogo ya miji mikubwa na zenye idadi ndogo ya watu)

Wanawake acheni kutoa uroda kabla ya ndoa, period!
Bado hujamshauri binti
 
Mwambie huyo mtoto aache ujinga.

Waoane tu. Haina makombo. Ibaki siri na waache kupasha kiporo.

Baba mkwe atulie tu. Kila mtu atunze siri.
 
Anauliza ushauri gani sasa, wakati mpaka sasa inaonekana wote kashapita nao
Hiyo ni Sawa na kuandika Cc:fulani ingali kiukweli hampo pamoja 🤣🤣🤣🤣
Uzinzi na Zinaa ni mbaya sana.
Hiyo ni dhambi bhana, achomoe tu
Malizia na mtoto MZINZI
 
endelea kupambana nao wote ibilisi mwema muda wote
Atafute pengine.
Muulize Mama yako maana ndo anajua kalea mtu mpumbavu wa kiwango gani.
 
Back
Top Bottom