Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka wa kufosi huu. Aolewe tuMtoto ndio anataka kumuoa ila baba mkwe hataki
Heading haifanani na contentHaya mje wana
Kuna dada amemwaga maji huko
Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3.
Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa
Kijana kumpeleka nyumbani kutambulisha, be-hold baba alietembea nae ndio baba mkwe wake
Sasa ananiuliza hapa afanyaje?
Je, wewe unamsaidiaje huyu binti?
Yuko sahihiBaba mkwe hataki aolewe na mwanae
HALAFU unajua dunia inaenda kasi sana lakini pia vijana wa leo naona kama sisi wazee tunawakimbiza kweli, hii ni kutokana na kupenda urahisi wa mambo.Haya mje wana
Kuna dada amemwaga maji huko
Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3.
Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa
Kijana kumpeleka nyumbani kutambulisha, be-hold baba alietembea nae ndio baba mkwe wake
Sasa ananiuliza hapa afanyaje?
Je, wewe unamsaidiaje huyu binti?
Bado haujasema! hayo ni madhara ya kuzini kabla ya ndoa, mbaya zaidi kuzini bila hata malengo ya hiyo ndoa yenyewe (na baba mkwe).Ndio madhara ya Watoto wa kike kutembea na Wanaume ambao kiumri ni sawa na Baba zao.
UweeKwa kifupi huyo dada ni kiwembe, apewe maua yake
Kwa harusiAnaolewaje na mwanae sasa
UweeeHapo ume-ua boga! 😂
HahahaaMwaka wa kufosi huu. Aolewe tu
I miss youMoney Penny Tafadhari Hebu Leo Niache Pumbafu Zako
Keshatambulishwa so ni baba mkweBaba mkwe(father-in-law) na hujaolewa bado!!! Haya maneno mkwe, shemeji, wifi, mchumba yanatumika kiholela holela tu, hata barua hujatolewa keshakua baba mkwe!!
Anzisha yako inayofananaHeading haifanani na content
Ushauri wako kwa binti ni?Yuko sahihi