DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Am not a Precher! I prefer PhilosopherPreach preacher
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am not a Precher! I prefer PhilosopherPreach preacher
Potato PotatoAm not a Precher! I prefer Philosopher
Tomato potato..Potato Potato
Kile unachoita aibu kwa mwezako ni furaha, hilo litambue kuanzia leoKuna furaha inayoletwa na jambo ka aibu?
Mkuu siishi kwenye chungu, ninaishi tu mitaani.Mbona wako kibao mtaani wewe
Unaishi kwenyw chungu au?
SauwaTomato potato..
But Anyway Sophia is Best Than theology
Jambo limekuwa kawaidaMkuu siishi kwenye chungu, ninaishi tu mitaani.
Kusikia 'mtaani wapo kibao', unamaanisha jambo hili lipo sana katika jamii yetu, yaani: mwanamke mmoja kuweza kufanya mapenzi ama kuolewa na ndugu wawili wa damu, aidha mtoto na babake au mtu na kaka yake kwa kujua na maisha yakaendelea?
Yawezekana ikawa ni utamaduni wa eneo fulani nisikatae, lakini si mila za maeneo makubwa hapa nchini Tz.
Je waweza kutupa dokezo kidogo, wapi yanafanyika mambo hayo?
Shida broNdo maana , bint anae jitambua unanzaje date na mzee ??ona sasa yaliyo mkuta mwezunu
SauwaAendelee na mtoto mwenzake.
Ile ni ajali katika uzinifu
Maana anaweza mkimbia baba mkwe akaenda kwingne ilawa ametembea na kaka mtu au mdogo mtu.
Malipo ya uzinifu ni uvumilivu wa magumu na yenye fedheha
Lakini unazielewa 'swaga' zinazotokana na mtu kufanya mapenzi na mtu?aendelee na mwanaume wake labda kama baba mkwe ataweka pingamizi ila kama akikausha na yeye akaushe
Hio stori ya jua kali wameiba kwa waspanyola hukoWaangalie juakali ya frank na maria watakuwa na kujifunza
DuLakini unazielewa 'swaga' zinazotokana na mtu kufanya mapenzi na mtu?
Unashauri 'akaushe', enhe, moyoni linafutika?
Bamkwe akitaka kutoa nasaha zake, af unaanza kumtathimini kuanzia chini hadi juu na ukitaka apunguze ngebe zake unamkonyeza😂😂, bonge la jokes kulaleki, yaani kila aina ya gari wewe unalielewa uingizaji wake wa gea. Unakuwa ni bingwa.
Aiseeimbombo ngafu.
SauwaAiseee aiaii
Kumbe pussy is traded by money ?Vijana si hamtoi hela
Acha baba zenu wawatafunie,