Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Kwaiyo unamsaidiaje?
Baba mkwe hataki aolewe na mwanaeAnauliza ushauri gani sasa, wakati mpaka sasa inaonekana wote kashapita nao
Malizia na mtoto MZINZIHaya mje wana
Kuna dada amemwaga maji huko
Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3...
Mtoto ndio anataka kumuoa ila baba mkwe hatakiMalizia na mtoto MZINZI
Abominationnnoooooooo😁!
Asubutuuuuu 😁
Na @mahondawJe
Sabunamsaidiaje chiefHiyo ni Sawa na kuandika Cc:fulani ingali kiukweli hampo pamoja 🤣🤣🤣🤣
Na Yesu ndio huyo anarudiKuna muda unaweza kataa kabisa ukiambiwa una dhambi ukiangalia wenye dhambi zao wako katika bila wasi na madhambi yao
Vijana si hamtoi helaNdio madhara ya Watoto wa kike kutembea na Wanaume ambao kiumri ni sawa na Baba zao.
Hiyo ni dhambi bhana, achomoe tuNilitembea ba baba mkwe, alafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?