Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Unatongoza wanaume wenzio mkuu
 
Kosa la Kwanza ni hili kudhani Pesa zako zitakupa mapenzi
If unahitaji ngono yes, Pesa zitakupa ngono Mpaka ukimbie but ikiwa unataka mapenzi weka Pesa zako pembeni
Rejea: all eyez on me ya 2pac
Dada umenisaidia umemjibu vizuri
 
Nipe mwongozo haraka iwezekanavyo mkuu
 
Hawa wapinzani wa jadi wanajuana..!! 😹
Siwezi kubishana na punguani anaumwa schizophrenia, na ana matatizo ya afya ya akili huyo. Imekaa kama ndezi tu humu jukwaani
 
Bora huko kwa watoto umeombwa hela mbuzi, mishangazi ya JF mbona utakimbia kabisa na JF yenyewe 🤣🤣🤣
Humu wanawake wana njaa mbaya na ni wabovu ndo maana wamekimbilia ID feki. Nikiona mtu ana date na mwanamke wa jf Namwona mshamba kabisa, yaani demu limeona lije humu kwasababu halina uzuri huo kwenye maisha halisi
 
Umetongoza wanawake 10 wote wanataka hela..

Hujapata picha tu kutokana na hio experience kuwa kuwa na mwanamke unahitaji hela?..

Eti unaenda kutafuta mwanamke asiyetaka hela, wapi huko?!
 
Umetongoza wanawake 10 wote wanataka hela..

Hujapata picha tu kutokana na hio experience kuwa kuwa na mwanamke unahitaji hela?..

Eti unaenda kutafuta mwanamke asiyetaka hela, wapi huko?!
Ni ujuha wa hali ya juu, mwanamke kuonesha kutaka hela wazi wazi tena siku ya Kwanza, bila kuwa na aibu nitaonwaje?

Mwanamke anayejua thamani yake hata weka kuomba hela kama kipaumbele katika mahusiano, huyo ni hana tofauti na malaya wa mitaani
 
Nimekuuliza wapi huko kuna mwanamke asiyehitaji pesa?! Lol ..
 
Nimekuuliza wapi huko kuna mwanamke asiyehitaji pesa?! Lol ..
Sijui ndo maana nikasema jamii za wanawake aina yako zimetawala sana, ni nyie ambao hamna akili za kujitegemea na kudhani capital yenu ni miili yenu ambayo mnaishia kudhalilika tu.

Baada ya miaka kwenda unakuja kujutia kuchezewa na kutumika kwa vijisenti ambavyo havina manufaa yoyote.
Ni wanawake type zenu mnaorasimisha tabia chafu na mpasuko katika ndoa maana naweka vitu trivial kama vipaumbele
 
Kama hujui pa kuwapata hao wanawake wasiotaka hela plus experience yako ya kutongoza wanawake kumi na wote wakataka hela, should tell you something unless bichwa lako halijui ku analyse mambo!
 
Ungekuwa wewe ungekubali upigwe Free Poumbou?

Tena wewe chiwawa unaonekana tapeli huchelewi kuleta michezo ya mkopo wa kausha damu..!! 😹
vitoto vinaendekeza pesa sana na sahivi kuna usumbufu wa kulipia simu za mkopo na wengine wanatoa k kisa kianzio cha simu za mkopo,na wasumbufu balaa kila muda vinataka pesa ili simu zisifungwa,ni janga kwa taifa yaani sahivi simu tu za mkopo tupo hapa sijui tukifika gari na nyumba za mikopo itakuwaje.
 
Kama hujui pa kuwapata hao wanawake wasiotaka hela plus experience yako ya kutongoza wanawake kumi na wote wakataka hela, should tell you something unless bichwa lako halijui ku analyse mambo!
Unadhani am a fool to play games on y'all Golddiggers?

Am never into drama and can smell a bad bitch miles away
 
Sio nauli, ni kwamba hata kama nitamlipia nauli anataka hela tu... Yaani anakujaribu kama vile mgodi wa dhahabu
Hili jambo ni pana sana kaka, wanawake wengi ukikutana nao mtandaoni ni wanafikiri unataka kuwatumia, so na wao wanakutumia pia. Nikimcheki mdada kwa mitandao namuacha ye ndio aamue tuwe wapenzi ama tufanye biashara , wengi wanaenda kwenye transactions. Wanasemaga mpenzi utampata mtaani kwako au sehemu ya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…