Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
We jamaa mfuniko wa chemba?😂 Ni hatari sana ndo maana ukikua pisi imekaa kinjaa njaa sana hata kama housing iko poa, jua tu ndani kashatumika sanaukimbidua hivi unaona mfuniko wa chemba uko wazi unajua leo nimevamia mtumbwi wa vibwengo, mood inakata unajisomnya leo huu mtumba grade F
Nyie endeleeni kuteseka kutafuta hela kisha muhonge alafu mje JF kulalamika mmetuma hela alafu demu hajatoke,mmesomesha na upuuzi kama huo.Vaa miwani yenye tinted nzuri ukipishana nao usiwaone vzr
📌Pigia mstari!!!We jamaa mfuniko wa chemba?😂 Ni hatari sana ndo maana ukikua pisi imekaa kinjaa njaa sana hata kama housing iko poa, jua tu ndani kashatumika sana
Kama ni bure mbona hukupata hata mmojaNdo
Mmekaririshwa washamba?
Bwashee wewe tafuta tu hela , ukihitaji huduma pesa inakufanyia kazi , punguza maneno mengi na lawama , ndivyo mambo yalivyo
Comeback kama hizi ni tunu katika taifa hili 🫂Nyie endeleeni kuteseka kutafuta hela kisha muhonge alafu mje JF kulalamika mmetuma hela alafu demu hajatoke,mmesomesha na upuuzi kama huo.
Mwanamke akikuomba hela for the first time(dai 1),saikolojia inasema huyo hakupendi so anakutega aone anakuachaje kwa kukupiga ngeu.So kama mwanaume anayejielewa huwa tunarudisha kombora kwa kuomba mzigo.
Mzigo ni kitu adhimu na ndo kinapima jinsi mwanamke anavyojithamini.
Kwahiyo hiyo unayoona hapo ni vita ya kisaikolojia!!!
Usikubali kudharaulika na kutumiwa bure OMBA RETURN ON INVESTIMENT.
Na hii concept ndogo kuna majitu mpaka ya miaka 50 hayajuiNyie endeleeni kuteseka kutafuta hela kisha muhonge alafu mje JF kulalamika mmetuma hela alafu demu hajatoke,mmesomesha na upuuzi kama huo.
Mwanamke akikuomba hela for the first time(dai 1),saikolojia inasema huyo hakupendi so anakutega aone anakuachaje kwa kukupiga ngeu.So kama mwanaume anayejielewa huwa tunarudisha kombora kwa kuomba mzigo.
Mzigo ni kitu adhimu na ndo kinapima jinsi mwanamke anavyojithamini.
Kwahiyo hiyo unayoona hapo ni vita ya kisaikolojia!!!
Usikubali kudharaulika na kutumiwa bure OMBA RETURN ON INVESTIMENT.
Mbona hii ndio nzuri sana? Hata madomo zege sasa hivi wanachakata pisi kali, pesa inaongea kwa niaba yao.Mindset sijui nani akiwapa hawa mabinti wa kileo hawa?
Asilimia 95 ya watu duniani ni maskini, ikiwa hivyo si human race itaenda kuwa extinct MallerinaMasikini wakae nje ya mahusiano kuwe na upungufu ya kuita wanawake Golddiggers na malaya
Kuna wanaume wanamiaka mingi ila kwenye mambo haya ya kulinda vibunda ni weupe mpaka unajiuliza hivi hili ling'ombe mapenzi kayajulia ukubwani???!!!Na hii concept ndogo kuna majitu mpaka ya miaka 50 hayajui
Mnavosema wanaume tunatanguliza sex, ni as if nyie wenyewe hampemdi sex na hampati raha kwenye sex MallerinaMnavyotanguliza sex nyie ndo zero brains totally
Umemaliza MleuBwashee wewe tafuta tu hela , ukihitaji huduma pesa inakufanyia kazi , punguza maneno mengi na lawama , ndivyo mambo yalivyo
Meku kuor'e matondo tiki😁Umemaliza Mleu
Masembo wa mbareMeku kuor'e matondo tiki😁
Ukitumia usemi kujustify ujinga unakosa credibility ya reasoning