Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Nature ya binadamu ni kukinai, ukimpa na kumwendekeza mwanamke na hela, utakuja kuchapiwa na muuza madafu.

Mnaiweka hela kama Mungu ndo maana mmekuwa mpaka mateja.
 
Likiwemo hili lilevi min -me
 
Likiwemo hili lilevi min -me
Bwashee mimi nilishatumia u gentleman , kuwaongelesha kwa kulamba lips, kujifanya ndio tozi la mtaa, hapa utawapata watoto ila kakikua katakana kuwa na wewe, ni mbwiga tu utaitwa una kibamia cha pesa Pumbavu wewe, utaipakia mpka mkongo ila atakojoa kwa wenye vibunda Pumbavu wewe.
 
Nature ya binadamu ni kukinai, ukimpa na kumwendekeza mwanamke na hela, utakuja kuchapiwa na muuza madafu.

Mnaiweka hela kama Mungu ndo maana mmekuwa mpaka mateja.
Hata kwenye nyumba ya Mungu kama huna pesa wewe ni takataka tu, tena bora Waislamu kwa upande wa makanisa yapo hadi yanayowatenga kwa makundi, wale wa lakilaki, wale wa hamsini hamsini, wale wa tenten na elfu tanotano, haitakiwi pesa chini ya hapo.
 
Hahaha bwashee una kazi sana bado una mindset za wazee wa ki gen z. Au pombe zinatoa consciousness ndani ya pineal gland?
 
Hata kwenye nyumba ya Mungu kama huna pesa wewe ni takataka tu, tena bora Waislamu kwa upande wa makanisa yapo hadi yanayowatenga kwa makundi, wale wa lakilaki, wale wa hamsini hamsini, wale wa tenten na elfu tanotano, haitakiwi pesa chini ya hapo.
Ni imekuwa normal kwa sababu ya capitalist society na Industrialization. Ila mababj zetu hawakuishi namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…