Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

Huu uzi haufai kabisa unazungumzia 1.8m wakati watu kuipta 1500000 kwa mwezi ni ngumu
Kifupi hatujajifunza kitu sana sana unaturingishia upigaji wako katika nchi yetu
Ni biashara gana au kazi gani uifanye ulipwe hela nyingi kwa mwezi hadi uwe na reseve ya 1.8m baada ya kila kitu
ÑAPENDEKEZA UZI UFUTWE MARAMOJA NA MODS HATUJAJIFUNZA CHOCHOTE
 
Kaka mmoja ana miaka 39 yeye kasema hawezi kuoa kisa eti mali zake katafuta mwenyewe alafu mke aje kukaa bure?

Tukamuuliza una mali gani hizo?
- Kasema amejenga nyumba ya mil 150 mwenyewe
-Ana gari mbili ya kazini na ya starehe

Hoja yake anasema eti yeye kaangaika mwenyewe, afu kirahisi mwanamke aje na mabegi tu alale aishi bure?

Huyu kaka mbinafsi kweli

Swali kwa mleta uzi na wanaume wengine hivi mama zenu walivyoolewa kwa baba zenu si walikuja tu na mabegi? sasa nyie mnaumizwa nini tukija na mabegi?😂😂😂

Btw hongera sana kujenga umetutia moyo.hata sisi wadada tunapambana kujenga.
 
Hongera sana.

Nadhani kila mtu akisevu kiwango chake kwa mwezi tutafika mahala. Mtoa mada kasevu 1.8m kwa mwezi wene unaweza kusevu 20k, 50k nk kutokana na uwezo wako.

Nashukuru san kwa andiko lako
Kiukweli inawezekana kabisa...kuna mtu alisave last yr 13m...kila mwez alikua anaweka 1m...kma mishe zako ziko vzr unaweza hata anza 500k
 
Leo Kuna jambo ningependa kuwaeleza, lengo ni vijana kutokata tamaa magumu ni sehemu ya maisha. Kikubwa tuweke malengo na tupambane.

Angalizo: Kama una husda na wivu hii post usisome maana utashindwa kula leo.

Nilianza pilika za maisha mwaka 2011 soon after kugraduate, mambo yalikuwa mengi Sana Ila yalikuwa poa.

Ilipofika 2014 mwezi wa 3, nikanunua kiwanja goba njia nne kwa mil 18, ni kizuri na kikubwa. Hivyo jukumu lililokuwa mbele yangu ni kuanza kufikiria kujenga, japo pia nilikuwa na wazo la kuwa na hardware hukohuko goba kwa kuwa ujenzi kule ulikuwa na Kasi Sana.

Nilichofanya ni kuhakikishia kila mwezi naweka mil 1.8 ili mwisho wa mwaka nianze kidogo, na mwaka unaofuata mwishoni niendelee.
Mwaka wa kwanza yaani 2015 mwishoni nilikuwa nimekusanya jumla mil 21 hivyo nikaanza na foundation na kunyanyua boma. Nikalitelekeza.

Mwaka unaofuata 2016 nikaendelea na plan zangu zilezile na ilipofika December nikakusanya tena mil 21, hapa nikapiga bati kipindi hiki bati zile aina ya versatile zilishika chati jumla zilikuwa 145(zilibaki 6), pia niliiweka grills, mashimo ya choo, plumbing na wiring pesa yote ikaishia hapo.

Mwaka unaofuata 2017, vilevile nikakusanya mil 21 sikuacha lengo langu. Safari hii kazi ilikuwa kuzungusha ukuta, kupiga plasta, kununua gypsum, na tiles nikaziacha ndani humo.

Mwaka 2018 ulikuwa ni kwa ajili ya finishing, bahati mbaya sikufanikiwa kumaliza finishing Ila nikaapa 2019 lazima nimalizie.
Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mwisho na ilipofika mwezi wa 7, kila kitu kilikuwa tayari na nikahakia hapo rasmi. Jumla ilitumika mil 78.

Kuhusu hardware, Sasa hivi ni moja ya inayofanya vizuri goba kwa kuwa nilitumia ujanja wa kupita sites na kuongea na wenye nyumba na mafundi, nawapunguzia Bei kidogo wananipa kazi. SoMo kubwa usipende Sana faida kubwa, watu watakuja kwako.

Wito kile unachofanya fanya zaidi na zaidi, weka plan zako.vizuri, na Kama bado mambo hayajakaa sawa tafuta zaidi weka pembeni kidogo starehe.
Naogopa picha kwa kuwa pale najulikana sababu ya biashara zangu(gen supplies, kampuni ya mfukoni ya construction na hardware)
...Kama ulichoandika in Kweli, kwani wakinua watafanya mini kwa picha uliyoweka JF??
 
Kaka mmoja ana miaka 39 yeye kasema hawezi kuoa kisa eti mali zake katafuta mwenyewe alafu mke aje kukaa bure?

Tukamuuliza una mali gani hizo?
- Kasema amejenga nyumba ya mil 150 mwenyewe
-Ana gari mbili ya kazini na ya starehe

Hoja yake anasema eti yeye kaangaika mwenyewe, afu kirahisi mwanamke aje na mabegi tu alale aishi bure?

Huyu kaka mbinafsi kweli

Swali kwa mleta uzi na wanaume wengine hivi mama zenu walivyoolewa kwa baba zenu si walikuja tu na mabegi? sasa nyie mnaumizwa nini tukija na mabegi?😂😂😂

Btw hongera sana kujenga umetutia moyo.hata sisi wadada tunapambana kujenga.
Wanawake wa siku hizi wapo tofauti. Wengi wao wapo kimaslahi zaidi.
Ukiona mtu mpaka 39 anatafuta kila kitu peke yake, bila mwanamke kumsupport, ujue alidharauliwa sana mpaka akajijenga.
So, simlaumu.
 
Huu uzi haufai kabisa unazungumzia 1.8m wakati watu kuipta 1500000 kwa mwezi ni ngumu
Kifupi hatujajifunza kitu sana sana unaturingishia upigaji wako katika nchi yetu
Ni biashara gana au kazi gani uifanye ulipwe hela nyingi kwa mwezi hadi uwe na reseve ya 1.8m baada ya kila kitu
ÑAPENDEKEZA UZI UFUTWE MARAMOJA NA MODS HATUJAJIFUNZA CHOCHOTE
Savage level.
 
Hongera sana mkuu.
Hii ni inspiration nzuri kwa vijana wanaotamani kajenga. Wajue inawezekana.
Ila mkuu jiandae kupokea matusi, kebehi, kejeli na kila kitu. Humu wamejaa ma-negative thinkers wanaopendelea kuona habari za kukatisha tamaa, matatizo, kulia njaa, na zinazofanana na hizo; Wasikufanye uvunjike moyo ku-share mafanikio yako humu JF. Hongera sana kwa mara nyingine mkuu!!
Ila kuna shida mahali....yaani tena shida kubwa sana! Mie binafsi sipendi kuwa na rafiki maskini yaani yule hohehae...sitaki..coz sina ntalojifunza kwake..hawa ndo wanafaa kuwa marafiki sasa...sio unakua na marafiki anawaza bata tuu,!
 
Kaka mmoja ana miaka 39 yeye kasema hawezi kuoa kisa eti mali zake katafuta mwenyewe alafu mke aje kukaa bure?

Tukamuuliza una mali gani hizo?
- Kasema amejenga nyumba ya mil 150 mwenyewe
-Ana gari mbili ya kazini na ya starehe

Hoja yake anasema eti yeye kaangaika mwenyewe, afu kirahisi mwanamke aje na mabegi tu alale aishi bure?

Huyu kaka mbinafsi kweli

Swali kwa mleta uzi na wanaume wengine hivi mama zenu walivyoolewa kwa baba zenu si walikuja tu na mabegi? sasa nyie mnaumizwa nini tukija na mabegi?😂😂😂

Btw hongera sana kujenga umetutia moyo.hata sisi wadada tunapambana kujenga.

ukiwa na hela huoi, yanini ufuge lin'gombe wakati maziwa yapo 'bwelele' yanauzwa ?

ni mwendo wa kutafuna watoto wazuri mpaka basi maana uchawi wao ni pesa tu.
 
Wanawake wa siku hizi wapo tofauti. Wengi wao wapo kimaslahi zaidi.
Ukiona mtu mpaka 39 anatafuta kila kitu peke yake, bila mwanamke kumsupport, ujue alidharauliwa sana mpaka akajijenga.
So, simlaumu.
Sasa katika umri huo anaekutana nae si inabidi waendelee pale pale? Huu ni ubinafsi.
 
Kaka mmoja ana miaka 39 yeye kasema hawezi kuoa kisa eti mali zake katafuta mwenyewe alafu mke aje kukaa bure?

Tukamuuliza una mali gani hizo?
- Kasema amejenga nyumba ya mil 150 mwenyewe
-Ana gari mbili ya kazini na ya starehe

Hoja yake anasema eti yeye kaangaika mwenyewe, afu kirahisi mwanamke aje na mabegi tu alale aishi bure?

Huyu kaka mbinafsi kweli

Swali kwa mleta uzi na wanaume wengine hivi mama zenu walivyoolewa kwa baba zenu si walikuja tu na mabegi? sasa nyie mnaumizwa nini tukija na mabegi?[emoji23][emoji23][emoji23]

Btw hongera sana kujenga umetutia moyo.hata sisi wadada tunapambana kujenga.
[emoji23][emoji23][emoji23]basi mama njoo kwangu na begi me ntakupokea, achana na huyo ambaye hataki uende kwake na begi.
 
Back
Top Bottom