Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

Huu uzi haufai kabisa unazungumzia 1.8m wakati watu kuipta 1500000 kwa mwezi ni ngumu
Kifupi hatujajifunza kitu sana sana unaturingishia upigaji wako katika nchi yetu
Ni biashara gana au kazi gani uifanye ulipwe hela nyingi kwa mwezi hadi uwe na reseve ya 1.8m baada ya kila kitu
ÑAPENDEKEZA UZI UFUTWE MARAMOJA NA MODS HATUJAJIFUNZA CHOCHOTE
Kuna kazi ambayo mshahara wake ni mkubwa kiasi kwamba unatumia 25% tu kukidhi mahitaji ya lazima na 75% inabakia na ndiyo unayofanyia mambo mengine.
Labda mwenzetu kabahatika kua na hiyo kazi yenye mshahara huo na kaweka malengo na nidhamu ya hali juu ndiyo maana amepiga hatua.
 
Yaani kanikata moto kabisa. Kuweka Laki 2 kwa mwezi kwangu ngumu. Jamaa ananiambia 1.8M
Kila mtu na uwezo wake na nguvu aliyojaliwa. Siyo lazima ufanane naye ila ukifanya kwa nidhamu kama yeye alivyofanya utafikia malengo na mafanikio yako sawasawa na uwezo wako. Tafsiri ya mafaniko siyo kulingana na mtu fulani bali ni kupiga hatua ingine zaidi ya ulivyokuwa jana. Kazi ya tembo na kazi ya sisimizi hazilinganishwi isipokuwa zinatafsiriwa kulingana na asili ya kila mmoja wao
 
Safi. Huwa bado nashindwa kuelewa watu wengi humu kwamba zile nyumba mpya wanazoziona goba au wazo wanajua sijui ni za mashetani. Nyumba zile ni za watu, na watu wapo Tena wengine wa kawaida tu Ila ni bidii kwenye unachofanya
Mimi mpaka sasa hivi sijawahi kufanya saving, ila kila hela ninayopata nawekeza. Hii ni njia mbadala wa kuweka nidhamu ya fedha na kufikia malengo, mambo ni mengi aisee hasa jamii inayotuzunguka
 
Back
Top Bottom