Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

Wala mm vya kuja navyo ninavyo vingi tu ila kiualisia sivileti coz mm mwanaume ninaekuwa nae nilivyo navyo lazima awe navyo i mean kwa age yangu.
Sana sana kwa mwanaume nabeba nguo kidogoo, vyeti vyangu, simu yangu na bichwa langu.😂 i mean akili zangu.

Lazima tuishi kwenye nyumba ya mwanaume. Hii ni sheria.
😂😂😂et bichwa langu
 
Kaka mmoja ana miaka 39 yeye kasema hawezi kuoa kisa eti mali zake katafuta mwenyewe alafu mke aje kukaa bure?

Tukamuuliza una mali gani hizo?
- Kasema amejenga nyumba ya mil 150 mwenyewe
-Ana gari mbili ya kazini na ya starehe

Hoja yake anasema eti yeye kaangaika mwenyewe, afu kirahisi mwanamke aje na mabegi tu alale aishi bure?

Huyu kaka mbinafsi kweli

Swali kwa mleta uzi na wanaume wengine hivi mama zenu walivyoolewa kwa baba zenu si walikuja tu na mabegi? sasa nyie mnaumizwa nini tukija na mabegi?[emoji23][emoji23][emoji23]

Btw hongera sana kujenga umetutia moyo.hata sisi wadada tunapambana kujenga.
Hivi kweli mwanaume wa namna hiyo yupo?
 
Mkuu tuwe realistic kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake ,kuna wenye kusave elfu moja kwa mwezi ,mwingine 20k ,mwingine 1m ,wewe 1.8m ,mwingine 10m etc.

Huyo anayesave 50k kwa mwezi ina maana ndani ya miaka mi5 ndio ana 3m ambayo haitoshi hata kukamilisha tofali za nyumba achilia mbali kununua kiwanja.

Hapo ndipo Inspirantional speaker wanapofeli,kitu kilichowork kwako kinaweza kisifanye kazi kwa mwingine.
Kwanza nimpongeze jamaa Countrywide*....(nahisi hili jina limetokana na kampuni ya Countrywide Financial ya USA iliyofilisika 2009).
Jamaa Ni fighter, inaonekana Ni building Contractor. Kutoka kugraduate 2011 mpaka kushika mill 18 mwaka 2014 sio kazi ndogo.
Nilichojifunza Ni kwamba save lakini pia angalia fursa za uwekezaji, Kama alivyosema kuwa aliweka duka la hardware. Kwamba umesave imefika laki 5 ukaona fursa ya kukuingizia laki 2 chap Basi unaichomoa hiyo 500k unaipeleka fasta ikiingiza faida unairudisha kwenye saving zako na faida yake.
 
Chai tu hizi ina maana halipi kodi hana bills za maji' umeme' kuzoa taka ' outing weeke end' women empowement grants List ni ndefu hana ndugu wenye uhitaji.....
Hahaaaaaa!! Women Empowerment Grant (WEG)
 
Nilitoa angalizo hapo kuwa Kama una wivu na husda usisome huu uzi
Unasema mipango yako (saving) ulianza baada tu ya kugraduate, je, kipato cha kukuwezesha kusave 1.8M kila mwezi bila matumizi mengine kilitokana na nini maana gata ulikuwa huna? Je ni mshahara tu? Mtu aliyetoka kugraduate anaweza kupata mshahara wa kumuwezesha kusave 1.8M monthly? (sina wivu wala chuki).
 
Chai tu hizi ina maana halipi kodi hana bills za maji' umeme' kuzoa taka ' outing weeke end' women empowement grants List ni ndefu hana ndugu wenye uhitaji.....
Jamani kwan hizo bills roughly inacost million? 😅😅
 
Unasema mipango yako (saving) ulianza baada tu ya kugraduate, je, kipato cha kukuwezesha kusave 1.8M kila mwezi bila matumizi mengine kilitokana na nini maana gata ulikuwa huna? Je ni mshahara tu? Mtu aliyetoka kugraduate anaweza kupata mshahara wa kumuwezesha kusave 1.8M monthly? (sina wivu wala chuki).
Kusave 1.8 Kila mwezi labda uwe na mshahara wa milioni sita kila mwezi na allowance nyinginezo.
 
Kupitia huu uzi nimegundua watu wana wivu mkali sana kuona mtu mwingine ana piga hatua kimaendeleo
 
Hongera sana Mkuu kwa saving iliyokufikisha hapo.

Lipo la kujifunza hata kama ni kwa kiwango tofauti cha savings.

Kwa wenye mtazamo tofauti, kubalini tu kwamba hamjui anaingiza kiasi gani kama kipato chake kwa mwezi, kwa hiyo ni rahisi kumlaumu lakini siyo sahihi kwa upande mwingine.
 
Back
Top Bottom