Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

Hii story inaakisi ukweli ndani yake kwasababu huo mfumo uliotumia nimeushuhudia kwa jamaa zangu wawili na wamefikia hatua nzuri tu....


Hapo kwenye kutaka faida kubwa ndio wengi tunapotelea
 
Yaani kanikata moto kabisa. Kuweka Laki 2 kwa mwezi kwangu ngumu. Jamaa ananiambia 1.8M
Jifunze kwa njia ngumu, inawezekana!
20210407_010847.jpg
 
Ukisave kila mwezi 50000 end of yr una 3m mkuu ukiidumbukiza kwa biashara kila wiki una uhakika wa kulaza faida ya 100k..kwa mwez hukos 300k as faida..ss hizo 300k tumia 70 tu 230 fungulia akaunti..end of yr unaenda nunua kiwanja...na sio lazima wote tununua viwanja vya 18m..kuna had 400k

Mie wala sibishani nahitaji tu kuelimishwa:

~300k ni 10% ya 3m, na hiyo umesema/mwezi. Uki-annualize hii return inakuwa ngapi vile?
Ningeomba utujuze biashara ipi inayolipa hivi uswahili njaa huku.

Nashukuru!
 
JF nielekezeni jinsi ya ku broke mtu

Ni kumuibia kila alichonacho alafu uhakikishe hapati tena mchongo...baada ya hapo lazima awe BROKE tu[emoji1787][emoji1787]

Au sijaelewa swali lako mkuu?[emoji28][emoji28]
 
Kaka mmoja ana miaka 39 yeye kasema hawezi kuoa kisa eti mali zake katafuta mwenyewe alafu mke aje kukaa bure?

Tukamuuliza una mali gani hizo?
- Kasema amejenga nyumba ya mil 150 mwenyewe
-Ana gari mbili ya kazini na ya starehe

Hoja yake anasema eti yeye kaangaika mwenyewe, afu kirahisi mwanamke aje na mabegi tu alale aishi bure?

Huyu kaka mbinafsi kweli

Swali kwa mleta uzi na wanaume wengine hivi mama zenu walivyoolewa kwa baba zenu si walikuja tu na mabegi? sasa nyie mnaumizwa nini tukija na mabegi?[emoji23][emoji23][emoji23]

Btw hongera sana kujenga umetutia moyo.hata sisi wadada tunapambana kujenga.

Tatizo la wanawake ni moja tu , ujuaji mwingi basi. Na usimseme jamaa kuwa ni mbinafsi, yeye pia anaangalia mambo yake kwa angle ambayo yeye anaona yapo sawa, sio lazima kuoa wala sio lazima kuwa na mke.
 
Huu uzi haufai kabisa unazungumzia 1.8m wakati watu kuipta 1500000 kwa mwezi ni ngumu
Kifupi hatujajifunza kitu sana sana unaturingishia upigaji wako katika nchi yetu
Ni biashara gana au kazi gani uifanye ulipwe hela nyingi kwa mwezi hadi uwe na reseve ya 1.8m baada ya kila kitu
ÑAPENDEKEZA UZI UFUTWE MARAMOJA NA MODS HATUJAJIFUNZA CHOCHOTE

Huu uzi unatakiwa ukukumbushe vitu viwili..

1. Kitu chochote kinawezekana
2. Hapa duniani ulikuja peke yako na utakufa pekeyako so kama kujipambania jipambanie mwenyewe
 
Ila kuna shida mahali....yaani tena shida kubwa sana! Mie binafsi sipendi kuwa na rafiki maskini yaani yule hohehae...sitaki..coz sina ntalojifunza kwake..hawa ndo wanafaa kuwa marafiki sasa...sio unakua na marafiki anawaza bata tuu,!
Hahaha miaka 5 si mchezo mwendo wa kujimake!
Nyumba kama uko kwenye nafasi alaf vijisenti vinakupitia we jitahidi hata kwenye
Miezi 4 umalize[emoji23][emoji23]

Ova
 
Ukiwa unatoa ushauri basi toa ushauri kwa mtanzania halisi ambaye anaishi chini ya usd 1.

Sasa ni mtz gani wa kawaida(MNYONGE) mwenye uwezo wa kusave 1.8m kwa mwezi?
Apo kama ni mwalimu wa sekondari unakula laki 8 sasa hizo savings za dizaini hiyo utatoa wapi
 
Mie wala sibishani nahitaji tu kuelimishwa:

~300k ni 10% ya 3m, na hiyo umesema/mwezi. Uki-annualize hii return inakuwa ngapi vile?
Ningeomba utujuze biashara ipi inayolipa hivi uswahili njaa huku.

Nashukuru!
Biashara zote zinalipa..ni ww kuimodify kiasi...
 
Back
Top Bottom