Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

Kwanza ongera sna kwa kutimiza NYUMBA ya ndoto yako.maneno bila kapicha bado hakajanoga.itapendeza picha za msingi hadi finishing najua utakuwa nazo ili kutufanya tuwe na wivu ktk maendeleo.ila pia 1.8m kuweka kipindi kilichopendwa uko vzuri
Msingi nimejenga 2015, Hadi Leo niwe natunza picha tu?
 
Hongera sana mkuu.
Hii ni inspiration nzuri kwa vijana wanaotamani kajenga. Wajue inawezekana.
Ila mkuu jiandae kupokea matusi, kebehi, kejeli na kila kitu. Humu wamejaa ma-negative thinkers wanaopendelea kuona habari za kukatisha tamaa, matatizo, kulia njaa, na zinazofanana na hizo; Wasikufanye uvunjike moyo ku-share mafanikio yako humu JF. Hongera sana kwa mara nyingine mkuu!!

Mkuu tusidanganyane hapa ,angeweka wazi je kwa mwezi anaingiza Tsh nagpi mpaka aweze kuweka 1.8m? Usikute anaingiza mili 5 kwa mwezi halafu anatoa insipiration kwa wanaongiza 250,000/= kwa mwezi.

Mishahara ya vijana wengi inajulikana ,ukiacha wa TRA/TPA na makampuni yanayofanana na hayo ,wengi ni 350,000/= mpaka 1,200,000/= mshahara kwa mwezi.

Sasa mtu kama huyu ukiondoa matumizi ya kifamilia atabakiza Tsh nagpi ya kuweza kusave ili aweze kujenga nyumba? Mtu kama huyu only mkopo ndio utakaomuwezesha kujenga na si kusave kutoka kwenye mshahara.

Kwakuwa nyinyi mna kipato kikubwa cha kuweza kusave msifikiri kila mtu anakipato cha kuweza kusave,wengi wa wafanyakazi akipata mshahara akiweza kudumu nao kwa wiki 3 basi huyo ni mtumiaji mzuri lakini hii mishahara ya wafanyakazi ukiingia leo baada ya siku 5 ushaisha wote halfu mtu kama huyo ndio unamwambia asave.

Wewe kwenye ushuhuda wako wako wa kujenga nyumba ulisema hivyo hivyo mara mwzi huu nikapata milioni 3 ,mara mwezi nikapata milioni 5 hivi ni mfanyakazi gani myonge anayepata mamilioni yote hayo kwa mwezi?

Kwa watu wenye mishahara midogo only mkopo ndio utakaomtoa na kumfanikisha kujenga nyumba na sio kusave pesa kwa mwezi.

Kama wewe ni inspirational speaker ebu nipigie mahesabu ya kusave ili niweze kununua kiwanja na kujenga nyumba kwa mshahara wa 350,000/= kwa mwezi ,nimepanga chumba cha eflu 50(kodi unalipa miezi 6 kwa pmoja) kwa mwezi ,nina mke na mtoto mmoja wa umri wa kusoma,maji ,umeme,chakula,ada etc
 
Brother sio lazima iwe 1.8 per month, unaweza kusave kwa kiwango chako.
Bado nashindwa kuelewa kwa shughuli nazofanya nakosaje kusave 1.8 per month? Tena Sasa hivi malengo yameongezeka
 
Mimi sio motivational Bali nimetoa uhalisia wa maisha yangu. Hujapenda?

Mimi nilichojifunza ni kwamba kuna mambo yanahitaji uthubutu na commitment ya hali ya juu, na ujenzi ni mojawapo. Cha muhimu ni kuanza, utashangaa mambo yanaenda.

Mimi mwezi wa nane mwaka 2018 nilikua niko kwenye nyumba ya kupanga, nyumba imechoka, inavuja, space ndogo nikaona huu ujinga. Bahati mimi nilikua nna kiwanja tayari, na tuhela kidogo mwezi wa tisa nikavamia site nna hela ya msingi tu! Hivi tunavyoongea nipo kwangu.
 
Brother sio lazima iwe 1.8 per month, unaweza kusave kwa kiwango chako.
Bado nashindwa kuelewa kwa shughuli nazofanya nakosaje kusave 1.8 per month? Tena Sasa hivi malengo yameongezeka

Kipato changu kwa mwezi ni 350,000/= nisave Tsh ngapi niweze kununua kiwanja na kujenga nyumba?
 
Hardware Daah.. Hii Kitu Inanifanya Nisilale.
 
Mkuu tusidanganyane hapa ,angeweka wazi je kwa mwezi anaingiza Tsh nagpi mpaka aweze kuweka 1.8m? Usikute anaingiza mili 5 kwa mwezi halafu anatoa insipiration kwa wanaongiza 250,000/= kwa mwezi.

Mishahara ya vijana wengi inajulikana ,ukiacha wa TRA/TPA na makampuni yanayofanana na hayo ,wengi ni 350,000/= mpaka 1,200,000/= mshahara kwa mwezi.

Sasa mtu kama huyu ukiondoa matumizi ya kifamilia atabakiza Tsh nagpi ya kuweza kusave ili aweze kujenga nyumba? Mtu kama huyu only mkopo ndio utakaomuwezesha kujenga na si kusave kutoka kwenye mshahara.

Kwakuwa nyinyi mna kipato kikubwa cha kuweza kusave msifikiri kila mtu anakipato cha kuweza kusave,wengi wa wafanyakazi akipata mshahara akiweza kudumu nao kwa wiki 3 basi huyo ni mtumiaji mzuri lakini hii mishahara ya wafanyakazi ukiingia leo baada ya siku 5 ushaisha wote halfu mtu kama huyo ndio unamwambia asave.

Wewe kwenye ushuhuda wako wako wa kujenga nyumba ulisema hivyo hivyo mara mwzi huu nikapata milioni 3 ,mara mwezi nikapata milioni 5 hivi ni mfanyakazi gani myonge anayepata mamilioni yote hayo kwa mwezi?

Kwa watu wenye mishahara midogo only mkopo ndio utakaomtoa na kumfanikisha kujenga nyumba na sio kusave pesa kwa mwezi.

Kama wewe ni inspirational speaker ebu nipigie mahesabu ya kusave ili niweze kununua kiwanja na kujenga nyumba kwa mshahara wa 350,000/= kwa mwezi ,nimepanga chumba cha eflu 50(kodi unalipa miezi 6 kwa pmoja) kwa mwezi ,nina mke na mtoto mmoja wa umri wa kusoma,maji ,umeme,chakula,ada etc
ingawa hujaniuliza mimi ila kwa kipato cha 350,000 pekee bila mishemishe nyingine hata nipewe miaka mia sitajenga nikiwa na familia, ila ningekuwa bachela ningejenga baada ya miaka kumi labda, tena nyumba mbovu, ila umenena vyema, mikopo nidyo kutoka kwa watu kama siis wa mishahara zinayocheza 350,000 hadi 1,300,000 kwa mwezi
 
Mimi nilichojifunza ni kwamba kuna mambo yanahitaji uthubutu na commitment ya hali ya juu, na ujenzi ni mojawapo. Cha muhimu ni kuanza, utashangaa mambo yanaenda.

Mimi mwezi wa nane mwaka 2018 nilikua niko kwenye nyumba ya kupanga, nyumba imechoka, inavuja, space ndogo nikaona huu ujinga. Bahati mimi nilikua nna kiwanja tayari, na tuhela kidogo mwezi wa tisa nikavamia site nna hela ya msingi tu! Hivi tunavyoongea nipo kwangu.
Safi. Huwa bado nashindwa kuelewa watu wengi humu kwamba zile nyumba mpya wanazoziona goba au wazo wanajua sijui ni za mashetani. Nyumba zile ni za watu, na watu wapo Tena wengine wa kawaida tu Ila ni bidii kwenye unachofanya
 
Sasa inafuatana na kazi yako mkuu. Kama tu unaweza kukusanya milioni 1.8 kwa mwezi. Si mchezo,mshahara wa mtu haufikii huko
 
Mkuu tusidanganyane hapa ,angeweka wazi je kwa mwezi anaingiza Tsh nagpi mpaka aweze kuweka 1.8m? Usikute anaingiza mili 5 kwa mwezi halafu anatoa insipiration kwa wanaongiza 250,000/= kwa mwezi.

Mishahara ya vijana wengi inajulikana ,ukiacha wa TRA/TPA na makampuni yanayofanana na hayo ,wengi ni 350,000/= mpaka 1,200,000/= mshahara kwa mwezi.

Sasa mtu kama huyu ukiondoa matumizi ya kifamilia atabakiza Tsh nagpi ya kuweza kusave ili aweze kujenga nyumba? Mtu kama huyu only mkopo ndio utakaomuwezesha kujenga na si kusave kutoka kwenye mshahara.

Kwakuwa nyinyi mna kipato kikubwa cha kuweza kusave msifikiri kila mtu anakipato cha kuweza kusave,wengi wa wafanyakazi akipata mshahara akiweza kudumu nao kwa wiki 3 basi huyo ni mtumiaji mzuri lakini hii mishahara ya wafanyakazi ukiingia leo baada ya siku 5 ushaisha wote halfu mtu kama huyo ndio unamwambia asave.

Wewe kwenye ushuhuda wako wako wa kujenga nyumba ulisema hivyo hivyo mara mwzi huu nikapata milioni 3 ,mara mwezi nikapata milioni 5 hivi ni mfanyakazi gani myonge anayepata mamilioni yote hayo kwa mwezi?

Kwa watu wenye mishahara midogo only mkopo ndio utakaomtoa na kumfanikisha kujenga nyumba na sio kusave pesa kwa mwezi.

Kama wewe ni inspirational speaker ebu nipigie mahesabu ya kusave ili niweze kununua kiwanja na kujenga nyumba kwa mshahara wa 350,000/= kwa mwezi ,nimepanga chumba cha eflu 50(kodi unalipa miezi 6 kwa pmoja) kwa mwezi ,nina mke na mtoto mmoja wa umri wa kusoma,maji ,umeme,chakula,ada etc
Ukisave kila mwezi 50000 end of yr una 3m mkuu ukiidumbukiza kwa biashara kila wiki una uhakika wa kulaza faida ya 100k..kwa mwez hukos 300k as faida..ss hizo 300k tumia 70 tu 230 fungulia akaunti..end of yr unaenda nunua kiwanja...na sio lazima wote tununua viwanja vya 18m..kuna had 400k
 
Back
Top Bottom