Si umezungusha fensi boss, fanya namna utuoneshe wenzio tuhamasikeNatamani Sana Ila watu wengi humu wanaweza kujua ni Nani. Unaweza kuta Kuna jirani yangu humu, pia nachojilaumu nilianza vibaya hasa kwenye majukwaa mengine, tushapigana Sana mabiti na kila aina ya zogo. Hivyo ni lazima niendelee kuilinda identity yangu
Sio rahisi kila mtu kujenga, Ila zidisha bidii kwenye kile kitu unafanyaMkuu ww unasave m. 1.8 kila mwezi, mwenzako hata jero ni kuisave, atajenga kweli? , Au ndo kuturingishia
Mjini kwa muhindi k/koo au mikocheni nikapange vyumba vya elfu 10 kwa mwezi nje ya mji? je nauli kutoka huko nje ya mji mpaka town si karibu elfu 8 kwa siku tu nauli ambayo ni 160,000 kwa mwezi.Mshahara huo unapanga chumba 50,000 then unataka kusave
Ulioa ukiwa na mshahara wa 350K na watoto ukazaa
Sasa hapo so bado yaleyale tu, tena utaanza kuona comment humu kuwa kumbe ni flani...Si umezungusha fensi boss, fanya namna utuoneshe wenzio tuhamasike
Inategemea....mie nimetoka chini sana underground naanguka mara mob mno...lakini nikueleza mm cd haitascratvh shida yetu kuu moja...unataka ukianza biashara april hii unataka dec uone mafanikio...subutu..kuna kuanguka kwingi mnoo..mie nawaamini hao mamotiveshino aise..ninkma ww inaonekana hyo 350k unaiona ndogo mnooo..lakini aminj nakuambia unaweza save 50000 kwa mweziMkuu kuna vitu hauwezi kujibana kwa mfano mchele au unga kilo ni kuanzia 1200 hadi 2500 huko ,nauli ya daladala mijini ni 400 ,Chakula cha mama ntilie ugali ni buku hadi 1500 ,wali 1500 hadi 2000 ,maji ya kunywa ni 500 kwa lita.
Mkaa kibaba kimoja ni buku ,nyanya moja ths 100 hadi 200 ,kitunguu 100 hadi 200 ,mafuta ya kupikia kipimo komoja 200 ,lita elfu 4500 ,mafuta ya taa kibaba 300 lita 2500 hadi 3000...Dumu la maji 100 .
Kubana matumizi ni badala ya kununua mchele wa 2500 utanunua wa 1200,badala ya kununua mafuta ya Alizeti utanunua ya kawaida(ya karanga) etc kwenye maisha huwa sikubaliani na hawa mainspirational speaker wengi story zao CD zina scratch sana na kurukaruka.
Yeye anakwambia tu anasave 1.8m lakini hakwambii anaingiza ngapi kwa mwezi.
Wewe hujajifunza ila wengine tumejifunza. Serve kulingana na uwezo wako. Yeye kajenga nyumba ya gharama hiyo kwa uwezo wake wapo wanaojenga za gharama ya juu zaidi kulingana na uwezo wao na wapo wanaojenga za gharama ya chini. Yeye kajenga kwa 5 years unamshangaa vipi wanaoinua mijengo within months tu?Huu uzi haufai kabisa unazungumzia 1.8m wakati watu kuipta 1500000 kwa mwezi ni ngumu
Kifupi hatujajifunza kitu sana sana unaturingishia upigaji wako katika nchi yetu
Ni biashara gana au kazi gani uifanye ulipwe hela nyingi kwa mwezi hadi uwe na reseve ya 1.8m baada ya kila kitu
ÑAPENDEKEZA UZI UFUTWE MARAMOJA NA MODS HATUJAJIFUNZA CHOCHOTE
Ulichagua kuishi kabla ya kutengeneza maisha...itahitaji msuri sana kuvunja Rule of the game.Mkuu 350,000/= ni familia
nitasave vipi elfu 50? Yaani kwa siku niwe natumia elfu 10? natumiaje tena? Nauli ya kwenda kazini? na mchana,asubuhi kula kazini? Hela ya kuacha nyumbani ya kula familia? Ndio elfu 10 kwa siku itatosha?
Elfu 50 kwa mwezi maana kwa mwaka ni laki 6 ili niweze kupata kiwanja nje ya mji cha mil 1.8 inababidi nisave ndani ya miaka 2.5 baada ya hapo kupata mil 3 ya kuinua banda la chumba na sebule itanichukua tena miaka mi3.
Na hapo sio nyumba ya ndoto.
Wivu sina ila roho inauma,,, acha uongo nyinyi ndo mnafanya sisi tujione wanyonge kila siku,,, mtu mwenye hela hawezi kuanzisha vinyuzi vya kujisifia kila siku humuMm sio dogo, alafu sikupata mil 11 Bali ilikuwa mil 12. Pia nilitoa angalizo Kama una wivu huu uzi usiusome
Je Gardener nao wapo hapa kujadiri ujenzi??Yes naoa kabisa kwa mshahara huo ,kama wachunga ng'ombe au gardener wanaolipwa laki kwa mwezi wanaoa ndio itakuwa 350,000/=?
Wataendelea kama huyo mdada naye ana nyumba, gari na pesa bank. Au ana kipato cha kazi au biashara. Siyo mdada yupo tu mtaani kazi yake ni kujiremba na kutoka outings na majamaa.Sasa katika umri huo anaekutana nae si inabidi waendelee pale pale? Huu ni ubinafsi.
Hakuna nilipojisifia Bali naeleza uhalisia wa maisha yangu na bahati mbaya kabisa hunifahamu na ndio maana humu wengi tunatumia fake Id kwa sababu Kama hizo.Wivu sina ila roho inauma,,, acha uongo nyinyi ndo mnafanya sisi tujione wanyonge kila siku,,, mtu mwenye hela hawezi kuanzisha vinyuzi vya kujisifia kila siku humu
Kaka mtoa uzi sidhan amemaanisha wote tusave kiwango kikubwa cha hela...muwafunguliage wake zenu vibiashara kuwaboost ..Hapo sawa mkuu, hawa inspirational speakers wanadhani watu wote tunaingiza mamilioni kama wao.
Inategemea....mie nimetoka chini sana underground naanguka mara mob mno...lakini nikueleza mm cd haitascratvh shida yetu kuu moja...unataka ukianza biashara april hii unataka dec uone mafanikio...subutu..kuna kuanguka kwingi mnoo..mie nawaamini hao mamotiveshino aise..ninkma ww inaonekana hyo 350k unaiona ndogo mnooo..lakini aminj nakuambia unaweza save 50000 kwa mwezi
Msosi hom 100k yaan hapo maharage mchele mkaa nk...hakikisha chenj inabak..maana mchele ukinunuq mashineni mchele mzurii 1100@nunua 30kgs --33000/=..maharage kilo 6 zinatosha kwa mwez 12000/=,mkaa gunia 20k,mafuta 3lts zinatisja sana kwa mwez 19000/=
150k nauli yako na kula humo humo alafu sio lazima kila siku kazin..nunua fruits zako z jero au buku siku imetoka utaenda kula kwa mkeo
50000 save
Plus mkeo na watoto wana bima
Avute subira maana pia niliwahi kulima papai bagamoyo ekari 20, hapo ndio anaweza asipate usingizi maana nitaeleza nilichopataDon't hate Get inspired
Mbona vijana wa kibongo chuki zimekuwa juu hivyo[emoji1][emoji1]
Jiongeleshe kila siku mkuu...mie naandikaga sehem kwa diary kila siku nasoma ...yaan iwe ibadaSawa nitajitahidi kusave hiyo 50 lakini kwangu naona apeche halolo ,hela haikai kabisa.
Wewe jamaa kwa hii comment nimegundua aitha unatuuzia chai ama kama unazo umetokea kwenye umaskini mkali mno sasa matako yanalia mbwata!Brother sio lazima iwe 1.8 per month, unaweza kusave kwa kiwango chako.
Bado nashindwa kuelewa kwa shughuli nazofanya nakosaje kusave 1.8 per month? Tena Sasa hivi malengo yameongezeka