Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

Kosa langu hapo nini? Niongope kwa watu ambao siwajui na hawanijui? Yeye kasema hawezi save mil 1.8 kwa mwezi, nikamjibu sio lazima iwe hiyo.
Pia nashauri fanya juhudi zaidi kwa kile unachofanya, acha kulalama hapa.
Mimi wala silalami sioni cha ajabu ulichofanya! Na siwezi jenga ka nyumba cha 70M nije kutangaza hapa kama mwehu bila kuulizwa. Nyumba ya milioni 70 yenye fence na finishing ni nyumba ndogo ya kawaida kabisa haishtui.

21M umepaua, umechimba choo, umeweka grill na makorokoro kibao na bati ni za versatile that means hako kanyumba ni kadogo cha kawaida mno hakafai kuitwa dream hse. Nyumba ya maana upaue kwa versatile ama romantiles hakuna namna itapungua 20M.

Punguza maringo kijana bado sana hujafika popote.

JMT!!! Kazi iendeleee!!!!
 
Uwii uwiii uwiii
 
Hujui unachoongea, nakula pole.
Ila kwa maumivu haya uliyonayo utapata usingizi kweli?
 
Uzi wako bado unamakosa madogo sana,
Umeelezia vizuri sana lakini uliposahau ni pale unaongelea kuweka m 1.8 bila kuweka hizo zinapatikana vipi,
Lakini pia hiwa unapitia nyuzi za member ambao huwa wanaomba msaada wa kupata mawazo ya kibiashara kwa mitaji yachini kabisa kama vile mtaji wa mchicha.
 
Narudia Tena
Kama una wivu na husda usisome huu uzi maana unaweza usipate hamu ya kula.
Leo hakulaliki huko ulipo
 
Leo Kuna jambo ningependa kuwaeleza, lengo ni vijana kutokata tamaa magumu ni sehemu ya maisha. Kikubwa tuweke malengo na tupambane.

Angalizo: Kama una husda na wivu hii post usisome maana utashindwa kula leo.

Nilianza pilika za maisha mwaka 2011 soon after kugraduate, mambo yalikuwa mengi Sana Ila yalikuwa poa.

Ilipofika 2014 mwezi wa 3, nikanunua kiwanja goba njia nne kwa mil 18, ni kizuri na kikubwa. Hivyo jukumu lililokuwa mbele yangu ni kuanza kufikiria kujenga, japo pia nilikuwa na wazo la kuwa na hardware hukohuko goba kwa kuwa ujenzi kule ulikuwa na Kasi Sana.

Nilichofanya ni kuhakikishia kila mwezi naweka mil 1.8 ili mwisho wa mwaka nianze kidogo, na mwaka unaofuata mwishoni niendelee.
Mwaka wa kwanza yaani 2015 mwishoni nilikuwa nimekusanya jumla mil 21 hivyo nikaanza na foundation na kunyanyua boma. Nikalitelekeza.

Mwaka unaofuata 2016 nikaendelea na plan zangu zilezile na ilipofika December nikakusanya tena mil 21, hapa nikapiga bati kipindi hiki bati zile aina ya versatile zilishika chati jumla zilikuwa 145(zilibaki 6), pia niliiweka grills, mashimo ya choo, plumbing na wiring pesa yote ikaishia hapo.

Mwaka unaofuata 2017, vilevile nikakusanya mil 21 sikuacha lengo langu. Safari hii kazi ilikuwa kuzungusha ukuta, kupiga plasta, kununua gypsum, na tiles nikaziacha ndani humo.

Mwaka 2018 ulikuwa ni kwa ajili ya finishing, bahati mbaya sikufanikiwa kumaliza finishing Ila nikaapa 2019 lazima nimalizie.
Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mwisho na ilipofika mwezi wa 7, kila kitu kilikuwa tayari na nikahakia hapo rasmi. Jumla ilitumika mil 78.

Kuhusu hardware, Sasa hivi ni moja ya inayofanya vizuri goba kwa kuwa nilitumia ujanja wa kupita sites na kuongea na wenye nyumba na mafundi, nawapunguzia Bei kidogo wananipa kazi. SoMo kubwa usipende Sana faida kubwa, watu watakuja kwako.

Wito kile unachofanya fanya zaidi na zaidi, weka plan zako.vizuri, na Kama bado mambo hayajakaa sawa tafuta zaidi weka pembeni kidogo starehe.
Naogopa picha kwa kuwa pale najulikana sababu ya biashara zangu(gen supplies, kampuni ya mfukoni ya construction na hardware)
Nyiee watz nyie mnakuwa na mapete yenu ya majini yajawasaidia ktk mishe zenu lkn hayo wala hamyasemi. Ukitaka kusaidia MTU mueleze ukweli wote yeye ndio amue kusuku au kunyoa.
 
Back
Top Bottom