Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Duh aiseeš„“š„±Wewe jamaa kwa hii comment nimegundua aitha unatuuzia chai ama kama unazo umetokea kwenye umaskini mkali mno sasa matako yanalia mbwata!

Kumbe shida ni wewe huna hela.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tutafuteni hela jamani ona tunavyotiana aibu.
Kosa langu hapo nini? Niongope kwa watu ambao siwajui na hawanijui? Yeye kasema hawezi save mil 1.8 kwa mwezi, nikamjibu sio lazima iwe hiyo.Wewe jamaa kwa hii comment nimegundua aitha unatuuzia chai ama kama unazo umetokea kwenye umaskini mkali mno sasa matako yanalia mbwata!
Utakuwa ni mkulima wa kwanza kufaidika na kilimo cha papai..niko hapa nitasoma mstar kwa mstari...then nitajua kama kuna uhalisiaAvute subira maana pia niliwahi kulima papai bagamoyo ekari 20, hapo ndio anaweza asipate usingizi maana nitaeleza nilichopata
Ongeza juhudi zaidi kwa kile ambacho unafanyaNilipoona tu "kuweka 1.8M kila mwezi" nkaishia hapohapo.
Sikufaidika na ndio maana sikuendelea tena, Ila sikupata hasara.Utakuwa ni mkulima wa kwanza kufaidika na kilimo cha papai..niko hapa nitasoma mstar kwa mstari...then nitajua kama kuna uhalisia
Hapo sawa...papai sio aise..kiupepo kikikaza tu vitu chaliiiiiš¤Sikufaidika na ndio maana sikuendelea tena, Ila sikupata hasara.
Ina swimming poolLeo Kuna jambo ningependa kuwaeleza, lengo ni vijana kutokata tamaa magumu ni sehemu ya maisha. Kikubwa tuweke malengo na tupambane.
Angalizo: Kama una husda na wivu hii post usisome maana utashindwa kula leo.
Nilianza pilika za maisha mwaka 2011 soon after kugraduate, mambo yalikuwa mengi Sana Ila yalikuwa poa.
Ilipofika 2014 mwezi wa 3, nikanunua kiwanja goba njia nne kwa mil 18, ni kizuri na kikubwa. Hivyo jukumu lililokuwa mbele yangu ni kuanza kufikiria kujenga, japo pia nilikuwa na wazo la kuwa na hardware hukohuko goba kwa kuwa ujenzi kule ulikuwa na Kasi Sana.
Nilichofanya ni kuhakikishia kila mwezi naweka mil 1.8 ili mwisho wa mwaka nianze kidogo, na mwaka unaofuata mwishoni niendelee.
Mwaka wa kwanza yaani 2015 mwishoni nilikuwa nimekusanya jumla mil 21 hivyo nikaanza na foundation na kunyanyua boma. Nikalitelekeza.
Mwaka unaofuata 2016 nikaendelea na plan zangu zilezile na ilipofika December nikakusanya tena mil 21, hapa nikapiga bati kipindi hiki bati zile aina ya versatile zilishika chati jumla zilikuwa 145(zilibaki 6), pia niliiweka grills, mashimo ya choo, plumbing na wiring pesa yote ikaishia hapo.
Mwaka unaofuata 2017, vilevile nikakusanya mil 21 sikuacha lengo langu. Safari hii kazi ilikuwa kuzungusha ukuta, kupiga plasta, kununua gypsum, na tiles nikaziacha ndani humo.
Mwaka 2018 ulikuwa ni kwa ajili ya finishing, bahati mbaya sikufanikiwa kumaliza finishing Ila nikaapa 2019 lazima nimalizie.
Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mwisho na ilipofika mwezi wa 7, kila kitu kilikuwa tayari na nikahakia hapo rasmi. Jumla ilitumika mil 78.
Kuhusu hardware, Sasa hivi ni moja ya inayofanya vizuri goba kwa kuwa nilitumia ujanja wa kupita sites na kuongea na wenye nyumba na mafundi, nawapunguzia Bei kidogo wananipa kazi. SoMo kubwa usipende Sana faida kubwa, watu watakuja kwako.
Wito kile unachofanya fanya zaidi na zaidi, weka plan zako.vizuri, na Kama bado mambo hayajakaa sawa tafuta zaidi weka pembeni kidogo starehe.
Naogopa picha kwa kuwa pale najulikana sababu ya biashara zangu(gen supplies, kampuni ya mfukoni ya construction na hardware)
Sio Kiduku Lilo huyu kaja na IDEA NYINGINEEELeo Kuna jambo ningependa kuwaeleza, lengo ni vijana kutokata tamaa magumu ni sehemu ya maisha. Kikubwa tuweke malengo na tupambane.

Tatizo sio upepo, Kuna mbegu fupi. Tatizo ni udongo, na papai kuozaHapo sawa...papai sio aise..kiupepo kikikaza tu vitu chaliiiii[emoji36]
Haina, swimming pool ni gharama Sana. Sikafika hukoIna swimming pool
Yote hayo nayafahamu mkuu...acha kbs..kwanzA soko ni ishu..ukiwaleta watu wachume anaondoka na papai10 anaogopa kudodaTatizo sio upepo, Kuna mbegu fupi. Tatizo ni udongo, na papai kuoza
CCM ni ilee ileeeee ooooh ni ileeeeeeeeeeee.....
Acha utani wa mawe[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]