Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

Hizo Digits jua hakushushiwa naMungu kimiujiza ali Hustle...mpe pongezi kupata hiyo 1.8 kwanza.

ilifaa nayeye atutake radhi kwa kudhani 1.8ml kuiweka kwa mwezi ni jambo la kawaida kabisa,na anaweza kulitumia kututia moyo.

kilichotokea hapa si hicho alichokusudia 80% wamevunjika moyo.
 
Ndio Maana sio wote lazima wawe na Majumba au Magari.

Kuna binadamu wamekuja kudumu duniani na Kuna binadamu wamekuja kuishi duniani.

Ukijiona upo kundi la wanaojiuliza maswali ya Sijui nitajenga lini? Sijui nitaweza kuwa na gari, sijui ninaweza kupata milion 10 kwa mwezi ... Jua wewe umekuja kuzurura duniani na kumalizia watu oksijeni ya bure.

Mnachokose mnataka kuwe na hali sawa kwa wote. Kwamba iwe inawezekana kwa wote kuweza kusave milion 1.8 kwa mwezi. Jua kuna wanaoweza na Kuna wasioweza. Ukijiona unashangaa mtu anasevu vipi Milion 1.8 kwa mwezi Anza kujiweka kwenye Lile kundi la wanaodumu duniani na mmekuja kuzurura.

motiovational speakers.
 
safi sana mkuu. umenipa mzuka mkubwa. Nina plan kama yako ya simple two storey nyumba ya ndoto yangu kwa miaka mi4. Ninajaribu kuona kama 70m inaweza kutosha. Je mjengo wako ni gorofa?
Two storey au one storey, pia inaweza kulingana na ukubwa, Ila ukitaka ambayo ni nzuri standard for andaa kuanzia 150, ghorofa sharti liwe zuri
 
ilifaa nayeye atutake radhi kwa kudhani 1.8ml kuiweka kwa mwezi ni jambo la kawaida kabisa,na anaweza kulitumia kututia moyo.

kilichotokea hapa si hicho alichokusudia 80% wamevunjika moyo.
Kwa nini uvunjike moyo na maisha ya Mtu ambae hata humjui?
 
Jiongeleshe kila siku mkuu...mie naandikaga sehem kwa diary kila siku nasoma ...yaan iwe ibada
Hahahaha,hapa kwenye kuandika kwenye diary nlishawai fanya hivo nadhani nlitimiza tu 20%ya malengo nliyojiwekea,nkasema woooi hivi nafanya nini.Hivi kuandika inasaidia?
 
Haha inasaidia..mm nisafiri niko nayo...yaan mm.daily najiongelesha siutak umaskini...jaman it works alot ..nadhan its like meditation
 
Kwa nini uvunjike moyo na maisha ya Mtu ambae hata humjui?

kwani lengo lako kuleta uzi lilikuwa baya kiasi hicho!!!kwanini unapewa mrejesho unawaka!!!!

1.8ml kwa mwezi hiyo siyo ya kufungulia uzi hapa jf,utaonekana unatukana watu.sijui utasema ni mawazo ya kimasikini au vipi whatever.

ila wacha nikichanganue uone uko nafasi ipi maishani hapa.

kama ni reserved balance hiyo means una zaidi ya kipato cha 3mln/month.

sijui ni biashara ama ni muajiriwa,ila kama ni biashara imesha mature kabisa maana yake imekula muda mrefu zaidi kwa uwekezaji kabla ya kufika hapo,kama ni muajiriwa basi umeshafikia post za juu tu ofisini kwenu.kitu ambacho ni ukakasi kwa kundi kubwa la watanzania,viwanja vywa watz wengi wa ndoto ni 3mln-1.5 mln,wewe unatuletea story za 18ml bro[emoji15][emoji15].

hatukatai kutiana moyo,ila iwe ni kutiana moyo kweli,mambo ya nilianza na kuku mmoja wa mayai ndani ya mwaka nalisha mikoa sita,yanachanganya.

1.8 ml kwa mwezi ni pesa nyingi sana,kuiweka kwenye mfano,hata kama ulikuwa nayo,ungeipunguza kujishusha ili ukae kwenye kundi kubwa la watu.

utaenda halafu uje useme uliezeka paa kwa 17mln[emoji1787][emoji1787],halafu unasema unawapa watu moyo,ah kuweni serious bana.
 
Duh unateseka kweli kweli best pole ..ukishakubali binadamu hawafanani bas kila kitu kinakuwa kawaida
 
Safi. Huwa bado nashindwa kuelewa watu wengi humu kwamba zile nyumba mpya wanazoziona goba au wazo wanajua sijui ni za mashetani. Nyumba zile ni za watu, na watu wapo Tena wengine wa kawaida tu Ila ni bidii kwenye unachofanya

Sasa hebu eleza ulichokuwa unajihusisha nacho?
Background yako kwa ujumla isijekuwa ulipomaliza tu chuo ukakabidhiwa mtaji au biashara uendeshe au ukaajiriwa (huu ni mfano nahitaji ujikite zaidi kwenye chanzo cha mafanikio)
Kwa mfano kuna mtu alianza maisha kwa kuendesha bajaji akasevu now yupo mbali sana kajenga, kafungua biashara mtaji sio chini ya m 10.

Though hongera sana kwa kutimiza ndoto zako.
 
Nilishaeleza mbona. Mimi nachojua wengi mabingwa wa kulialia hata umueleze vipi
 
Bado bandiko lako kuna mahali linapelea. Ona mtiririko wa dereva bajaj then utanielewa.
Kamaliza chuo 2012 hakuajiriwa kwa taaluma yake na hakuwezeshwa na chochote(mtaji) kutoka kwao.
Akafanikiwa kujiajiri kwa bajaji ya hesabu(saving per day tsh 7000)
At the end of 2019 alifanikiwa kumilik nyumba yake binafsi na viwanja bila kusahau kufungua biashara mwaka jana.
Nachotaka uone hapa ni chanzo alianza anzaje hadi kufikia hapa alipo sasa na ndicho ambacho sijakiona kwako.
Kuna koment umesema mtaji wa hardware n 25M, kama ulianzia na mtaji huo baada ya kuhitimu chuo ni dhahiri kabisa upo karibu na maua na n lazima unukie. Yawezekana kuna maisha uliyapitia had kufanikisha lengo lako la kuwa na hardware na ndipo utolee ufafanuzi zaidi maana ndipo lipo la kujifunza zaidi.
 
Kwa Comment za watu humu inaonesha kusevu 2M kwa mwezi pesa nyingi mpaka wanaogopa...mimi mbona naiona kama pesa ndogo au ndio rahisi kuandika.
 
Back
Top Bottom