Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Yes had nije nijenge nyumba for my own aise..its a must nakipimp balaaKomaa tu boss
Ova
Yes had nije nijenge nyumba for my own aise..its a must nakipimp balaaKomaa tu boss
Ova
Kujenga kuamua tu sema ukijenga inabidi uwe bahiri kweli mtu wa ku make hahahYes had nije nijenge nyumba for my own aise..its a must nakipimp balaa
Sure mkuu...Kujenga kuamua tu sema ukijenga inabidi uwe bahiri kweli mtu wa ku make hahah
Ova
Duh😳Tatizo la wanawake ni moja tu , ujuaji mwingi basi. Na usimseme jamaa kuwa ni mbinafsi, yeye pia anaangalia mambo yake kwa angle ambayo yeye anaona yapo sawa, sio lazima kuoa wala sio lazima kuwa na mke.
Mkuu wewe ni mmoja kati ya wa Tz wanyonge?kwani lengo lako kuleta uzi lilikuwa baya kiasi hicho!!!kwanini unapewa mrejesho unawaka!!!!
1.8ml kwa mwezi hiyo siyo ya kufungulia uzi hapa jf,utaonekana unatukana watu.sijui utasema ni mawazo ya kimasikini au vipi whatever.
ila wacha nikichanganue uone uko nafasi ipi maishani hapa.
kama ni reserved balance hiyo means una zaidi ya kipato cha 3mln/month.
sijui ni biashara ama ni muajiriwa,ila kama ni biashara imesha mature kabisa maana yake imekula muda mrefu zaidi kwa uwekezaji kabla ya kufika hapo,kama ni muajiriwa basi umeshafikia post za juu tu ofisini kwenu.kitu ambacho ni ukakasi kwa kundi kubwa la watanzania,viwanja vywa watz wengi wa ndoto ni 3mln-1.5 mln,wewe unatuletea story za 18ml bro[emoji15][emoji15].
Hongera, umejitahidi kuwa na nidhamu.
Tatizo kubwa kwa wengi sio kupata pesa bali matumizi ya pesa au namna ya kuitunza pesa.
Ukiweza kusave au kutumia angalau 20% mpaka 30% kwenye uwekezaji uko kwenye njia sahihi. Kimsingi elimu ya namna ya kumanage fedha we ngi inawasumbua na inawagharimu bila kujua.
Ukiuliza hapa wangapi wanarekodi yao ya mapato na matumizi kwa mwezi, pengine wengi hawajui, pesa zao zinatumikaje? Hajui kiasi gani anatumia kwenye starehe nk
Ni kama roho za chuki hivi au za kimasikini..Kabisaaaaa hlf hajajitangazaa ni ametoa km motivation kwa wengneee pyuuuuu yaani binadamuuuu utadhan wao wanavyoletaga nyuzi humu waga wanajitangazaaaa
Bora wewe mkuu unamtazamo chanya...Tujifunze kuwa positive , hizi pesa ndogo unazipata zinaweza kufanya vitu vikubwa hadi ukashangaa , tupunguze gharama unnecessary hasa mademu, kuvaa nguo za gharama ,mastarehe yasio kuwa ya lazima,kumiliki masimu ya gharama ,ishi sehemu inayoendana na kipato chako
Mimi simpendi mtu anayesema nyuma ya utajiri wa fulani kuna mamno mengine...hahaha na ww jaribu basi kuwa tajiri ucombine na hayo mambo...nasemaga siku zote utajiri ni juhudi za hali ya juu za mtu binafsi...majority tunafeli kwenye savings.. hapo tu...Ni kama roho za chuki hivi au za kimasikini..
Kuna watu maisha yao yote wameaminishwa kuwa na maisha mazuri au mali nilazima uwe mtu wa vitendo viouvu, kama biashara haramu, wizi, utapeli n.k
Lakini si kweli wapo watu wengi wanaopambana na hali zao kujikwamua na kutimiza malengo.
Muhimu zaidi ni kuuchukia umasikini na kukataa kuwa wanyonge...
Maana umasikini ni adui ,ukiachilia mbali maradhi na ujinga.
Mkuu naomba hii ilete kama thread kule jukwaa la ujenzi tupeane Siri maanake....Gharama za ujenzi siyo kubwa kabisa, ila wizi kwenye ujenzi ndiyo mkubwa. Nyumba ya ukubwa wa mita 17 kwa 15 itahitaji kama milioni 18 tu hivi kununua vifaa vyote vya ujenzi; sasa kutana na mafundi wa kukuibia ndipo ugundue.
Mkuu acha hizo. Unawakatisha tamaa vijana.
Watu wengi wana ule mtazamo wa Bora Tukose Wote, yani ile mentality ya kwanini niteseke peke yangu.Wewe sio mgeni humu JF. Ukileta Stori kama hii tegemea povu. Hapa lete thread Una siku mbili hujala,umefukuzwa kwenu uhame, huna Kodi utaona iyakavyochangiwa kwa furaha.
Angalia watu wanvyoshangilia wanaotumbuliwa na mama Samiha as if mtu akifukuzwa kazi yeye kipato kinakuwa.
Watu wengi wanashindwa kusave kwasababu hawana malengo au wana malengo hewaMimi simpendi mtu anayesema nyuma ya utajiri wa fulani kuna mamno mengine...hahaha na ww jaribu basi kuwa tajiri ucombine na hayo mambo...nasemaga siku zote utajiri ni juhudi za hali ya juu za mtu binafsi...majority tunafeli kwenye savings.. hapo tu...
Maelezo Mkuu kwa faida ya wengine pia..Jifunze kwa njia ngumu, inawezekana!View attachment 1745414
mimi nilitumia miezi sita chombo ikawa mwake mwake sasa wewe miakaa 5 unatupigia keleleLeo Kuna jambo ningependa kuwaeleza, lengo ni vijana kutokata tamaa magumu ni sehemu ya maisha. Kikubwa tuweke malengo na tupambane.
Angalizo: Kama una husda na wivu hii post usisome maana utashindwa kula leo.
Nilianza pilika za maisha mwaka 2011 soon after kugraduate, mambo yalikuwa mengi Sana Ila yalikuwa poa.
Ilipofika 2014 mwezi wa 3, nikanunua kiwanja goba njia nne kwa mil 18, ni kizuri na kikubwa. Hivyo jukumu lililokuwa mbele yangu ni kuanza kufikiria kujenga, japo pia nilikuwa na wazo la kuwa na hardware hukohuko goba kwa kuwa ujenzi kule ulikuwa na Kasi Sana.
Nilichofanya ni kuhakikishia kila mwezi naweka mil 1.8 ili mwisho wa mwaka nianze kidogo, na mwaka unaofuata mwishoni niendelee.
Mwaka wa kwanza yaani 2015 mwishoni nilikuwa nimekusanya jumla mil 21 hivyo nikaanza na foundation na kunyanyua boma. Nikalitelekeza.
Mwaka unaofuata 2016 nikaendelea na plan zangu zilezile na ilipofika December nikakusanya tena mil 21, hapa nikapiga bati kipindi hiki bati zile aina ya versatile zilishika chati jumla zilikuwa 145(zilibaki 6), pia niliiweka grills, mashimo ya choo, plumbing na wiring pesa yote ikaishia hapo.
Mwaka unaofuata 2017, vilevile nikakusanya mil 21 sikuacha lengo langu. Safari hii kazi ilikuwa kuzungusha ukuta, kupiga plasta, kununua gypsum, na tiles nikaziacha ndani humo.
Mwaka 2018 ulikuwa ni kwa ajili ya finishing, bahati mbaya sikufanikiwa kumaliza finishing Ila nikaapa 2019 lazima nimalizie.
Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mwisho na ilipofika mwezi wa 7, kila kitu kilikuwa tayari na nikahakia hapo rasmi. Jumla ilitumika mil 78.
Kuhusu hardware, Sasa hivi ni moja ya inayofanya vizuri goba kwa kuwa nilitumia ujanja wa kupita sites na kuongea na wenye nyumba na mafundi, nawapunguzia Bei kidogo wananipa kazi. SoMo kubwa usipende Sana faida kubwa, watu watakuja kwako.
Wito kile unachofanya fanya zaidi na zaidi, weka plan zako.vizuri, na Kama bado mambo hayajakaa sawa tafuta zaidi weka pembeni kidogo starehe.
Naogopa picha kwa kuwa pale najulikana sababu ya biashara zangu(gen supplies, kampuni ya mfukoni ya construction na hardware)
Kwahiyo kauli yako inamaanisha kama una kula laki nane hauwezi ku save nakujiwekea malengo yako?Apo kama ni mwalimu wa sekondari unakula laki 8 sasa hizo savings za dizaini hiyo utatoa wapi
Kawaida ya maskini roho mbaya tuuNdio tatizo la watu humu mkuu, Ila tunaenda sawa