Abdallahking
JF-Expert Member
- Mar 19, 2018
- 3,985
- 10,840
- Thread starter
- #81
Yah, kafupi ila katamu..Dah ndo imeisha iyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah, kafupi ila katamu..Dah ndo imeisha iyo
ndio mkuu.. 🤗Mmh kameisha[emoji849][emoji849][emoji849]
SEHEMU YA 10 : HAPANA MAREFU YASIYO NA MWISHO
PART 2
Majid alitoka kuoga. Kisha tukanywa chai na kuondoka.
Nilipitia stationary kwangu. Nilikaa kwa muda kisha nikaenda nyumbani. Sikumkuta mr. Hakuwepo.
Nilijibwaga kitandani nikishangilia seke seke la majid na mkewe .
Baada ya kama nusu saa simu ya majid iliita. Nikiwa kitandani nimekaa niliongea na majid kwa uhuru sana. Huku akinielezea kuhusu mkewe kulalamika mimi kumpigia simu.
Nilimueleza kwamba ni kweli. Akaniambia kwa nini umefanya hivyo shalote?alionekana kugomba ssna. Mimi nikiwa nacheka tu.
Huku akiniambia mkewe anahasira na anaweza kuvunja ndoa.
Nilimwambia tafadhali naomba tukutane mahali tuongee nimueleweshe jambo.
Alikubali. Asijue kama mkewe anamsikiliza kwa maongezi hayo.
Na kujua tunapoenda kukutana.
Haraka aliwasha gari. Na mimi nilikurupuka nilipokuwa. Kisha nikamfuata majid. Tulikutana kwenye hotel yetu kama kawaida.
Sikutaka tuzungumze nje. Nilimwambia tuzungumze ndani. Alikubali.
Tuliingia ndani.
Nilimueleza majid kila kitu kuhusu mkewe na jones. Nilimueleza mwanzo mwisho.
Alisikitika sana na kuniambia Shaloo kwa nini umenipa penzi feki? Na kuniharibia ndoa yangu na kutembea na baba mkwe wangu?kwa nini?
Majid alilia sana na kujilaumu mno.
Nilimueleza hii ndiyo njia pekee ya kuganga moyo wangu na ninaomba tu unisamehe.
Tukiwa tunaendelea kulumbana na Majid. Mara tukishangaa mlango unagongwa. Na niliona askari wawili. Wa kike na wa kiume.
Kisha wakatuambia mko chini ya ulinzi.
Dakika chache tukisikia kishindo cha watu wakitembea.
Alikuwa ni husna.jones. wadhamini wangu wa ndoa na mama yake husna.
Walikuja pamoja wote. Na husna akidai talaka.
Ilikuwa aibu fulani ila mimi nilikuwa nashangilia fulani kujiona mshindi.
Tulifikishwa polisi. Na kuandika maelezo. Jones alikuwa akilia ssna. Na husna pia.
Baada ya maelezo tuliachiwa kwq dhamana. Na kutoka. Majid alielekea kwake na akatoa talaka.
Na mimi nikagoma kwenda nyumbani. Nikaenda kwa mdhamini. NikamueleA kwamba sasa naweza samehe jones kama atanisamehe. Jones alikuwa akilia tu. Na akisema hawezi kunisamehe kamwe.
Niliwaambia wadhamini hili ndilo nililitaka. Waone je msamaha ni jambo jepesi tu?
Jones alijilaumu sana kunikosea.
Nilikaa kwa wadhamini wiki nzima na ndipo nikawaeleza kwamba sasa nahitji kuwa na maisha yangu.
Wakasema hapana mpaka wazazi wajulishwe.
Sikutaka kukaa kikao cha aibu na wazazi wangu. Singekuwa na la kuongea. Kila walipouliza kuna shida gani niliwaambia jones anajua. Na walipomuuliza jones aliwajibu shaloo anajua.
Maisha yakabadilika. Nikaanza kuishi mwenyewe. Ila mwenye furaha sana. Husna alirudi kwao kwa talaka kabisa na kuiacha ndoa. Majid alisikitika sana.
Mzee zuberi nilimheshimu. Hakutaka kuongea na mimi mapema.
Na alitambua jambo hilo. Alisikitika sana. Maana sasa alijua yeye na mkwe wake wameshea msichana mmoja.
Na bahati mbaya sana mama husna alimueleza Husna juu yangu na dadiye. Kiliwauma sana. Waliumia sana.
Husna alikonda na kuanza kuparama. Hii ni kwa sababu ya maumivu ya ndoa yake. Lakino shaloo kuwa na baba yake pia kikimuuma.
Jones aliendelea kuwa na hasira. Sasa alilewa. Hakupenda kula. Maisha yakamuwia magumu hasa.
Story zilianza kichini chini. Watu wasiamini kwa kilichotokea. Maana walijua shaloo mimi mpole sana. Nikapiga mahesabu nitafanyaje.
Nikaanza kuhangaikia sasa future yangu. Sina jipya kwenye mapenzi na mahusiano. Nimeshachefukwa. Nimelipiza kisasi nafsi yangu kwatuuu. Nilichofanya ni kuuza ile stationary. Nikapata chance ya kwenda Denmark. Nikakaa huko miaka miwili kwa rafiki yangu huku natafuta kazi. Kisha nikamaliza miaka miwili. Nikapata rafiki wa kizungu m denmark ambaye alitaka nichukue wanangu. Nikarudi tz nikakuta Jones amechoka na pombe nikamaa naye miezi miwili huku namuomba watoto ambao walikuwa kwa mama yake. Mama yake akakubali na nikachukua wanangu
Husna mpaka leo hajaolewa.
Jones ameshajaribu mahusiano zaidi ya mara tatu. Na msichana mmoja alishi naye na kuzaa naye ila wakashindwana. Ndiye ambaye alinipokea nilipotoka denmark.
Sasa Naishi na wanangu Denmark. Jones yupo tu. Husna yupo tu.
Maisha yamekuwa Mazuri kwangu. Nimeathirika sana saikolojikali. Maana najiuliza mwanaume mzuri ni yupi?jones hakufaa. Majid hakufaa. Mzee zuberi hakufaa. Wote sio waaminifu.
Hili limenifanya nachukia sana mahusiano na kuchukia mwanaume.
…….The End………..
Dah, iko vizuri hii storySEHEMU YA TATU: KARATA YA BARADHULI
PART 2
Usiku sana muda wa saa saba nilimuamsha, nikamwambia Jones, naomba usinifiche, niambie ukweli wote kuhusu jambo nitakalo kuuliza.
Je husna ni nani? Kwanza alisema alienda kuomba kazi, mara mpenzi wa mfanyakazi mwenzake nk. Nilikasirika nikamwambia kwa nini unanidanganya? Akaniambia mke wangu sio kweli sina mahusiano naye.
Nikamwambia poa haina neno.
Tulilala, asbh nikakasirika sana, nikampigia Husna simu kumuuliza ana nini na mume wangu, alipokea simu na kusema hana mahusiano yoyote ila ni kama shemeji yake. Nilinyamaza na nikamuuliza anatoka na nani akaniambia anatoka na Damson. Nikamkumbuka Damson. Nikampigia simu, nikamuuliza shem samahani, Husna unamfahamu? Akasema ndio namfahamu, nikamuuliza ni nani? Akasema kwa nini shem unaniuliza hivyo? Nikamwambia mbona kasema ni demu wako? Kwani wewe umemuacha prisca? Maana alijua namfahamu prisca, akasema aa shem vunga. Kisha akakata simu, na mara simu yake ikawa busy sana, nikajua anaongea aiza na Husna ama Mume wangu. Haraka nikampigigia mume wangu, simu ikawa busy sana. Nikanyamaza.
Jioni mume aliporudi home akawa kaweka simu pw. Tena kwenye kila kitu, nikamuuliza kulikoni? Akasema naona tu tutakosana kisa simu, naona niweke pw. Na mimi nikamwambia so na mimi niweke sio? Na mimi nikaweka. Kisha nikaanza kugombana naye, kwanza nikampigia Prisca nikamuuliza kuhusu Husna, akaniambia Charlote naomba tu nikuambie kweli, Husna anatoka na mumeo, ila wanatabia ya kusame ni demu wa Damsosn ili usijue. Lakini Husna anatoka na mumeo, ila wewe tulia nitakukamatisha naye. Wewe nyamaza.
Prisca akanihakikishia kuwakamata. Na kweli akachonga njia mpaka akanipigia simu siku moja na kuniambia niende ofcn.Nilifika ofcn na kweli hamadi, Husna na mume wangu hawa hapa . Sikuamini, kwanza aligoma kufungua ofcn lakini nilisukuma mlango wa alminium ambao niliwaona kwa ndani .
Jones hakuamini, aliogo pa sana, niliomba tu wafungue, mwisho akafungua. Kiliniuma sana, nikamwambia Husna ni nini hiki? Hakunijibu, nikataka kumshika nimpige akaniponyoka.
Nikamwambia mume wangu ni nini unanifanyia? Akaanza kuomba msamaha, mwisho nikaona sina sababu ya kuendelea kulumbana naye, nikaondoka na kwenda nyumbani, kufika nyumbani nikalia sana, kikaniuma sana.
Akaja na kuniomba msamaha, nikamuuliza kulikoni nini anakosa? Hakuwa na jibu. Nikamuuliza mimi nikifanya hivi utajisikiaje? Hakujibu pia.
Alikuwa mpole sana. Akaniambia nisamehe mke wangu sitarudia tena naomba yaishe.
Nikamwambia poa haina neno, ila asante sana.
Kuanzia hapo nikaanza kujiuliza inakuwaje mume anabadilka hivyo. Mume niliyemjali kiasi hicho na kumuamini.
Niliogopa kuwapa watu faida, nikasema sitaondoka wala kufanya lolote, ila nitaenda kumshtaki Husna kwa mama yake.
Dah, inasikitisha sana, ila wanawake zetu wanapaswa kutuelewa kuwa tuna tamaa za kijinga, ila has nothing to do with mapenzi.SEHEMU YA 10 : HAPANA MAREFU YASIYO NA MWISHO